tanzania-leo.blogspot.com
Tanzania Leo
http://tanzania-leo.blogspot.com/2012/10/adhari-na-sababu-za-kushuka-kwa-kilimo.html
Saturday, October 6, 2012. ADHARI NA SABABU ZA KUSHUKA KWA KILIMO CHA KAHAWA KIUCHUMI. Wadau mbalimbali,kulia Venance Mallel akiangalia moja ya miche ya kwanza kupandwa na Missionary Mkoani Kilimanjaro. Mche wa kahawa ambao una miaka mingi. Vicky Swai (40) mkazi wa kijiji cha Mbeera Kata ya Machame Uroki Wilayani Hai ambaye ni mjane na mama wa watoto watano kwa muda mrefu alitegemea kilimo cha kahawa,lakini baada ya kushuka kwa uzalishaji. Kumeathiri kwa kiwango kikubwa maendeleo yake kiuchumi. Hata hivy...
tanzania-leo.blogspot.com
Tanzania Leo
http://tanzania-leo.blogspot.com/2013/04/sakata-la-machinga-kutii-kauli-ya.html
Sunday, April 28, 2013. SAKATA LA MACHINGA KUTII KAULI YA MBUNGE MSIGWA , LACHUKUA SURA MPYA IRINGA. Polisi Iringa wakiwa katika eneo la Mashine tatu ,kuondoa mawe na magogo ambayo yalitumika kuziba barabara hiyo kama sehemu ya kushinikiza serikali kuwaruhusu kuendelea kufanya kazi ya umachinga eneo hilo lisiloruhusiwa. Kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya Iringa ikiwa imekutana mchana huu kwa kikao cha dharula kufuatia Machinga kutekeleza kauli ya mbunge Msigwa ya kuvunja sheria. Hilo baada ya mbunge.
tanzania-leo.blogspot.com
Tanzania Leo: May 2012
http://tanzania-leo.blogspot.com/2012_05_01_archive.html
Wednesday, May 30, 2012. TANZANIA YAPATIWA MKOPO WA ZAIDI YA MILLION 30 NA BENKI YA BADE. Waziri wa fedha wa Tanzania Dr,Wiliam Mgimwa akiwa mkurugenzi wa benki ya Badea Abdelaziz Khelef wakibadilishana mikataba ya mkopo mara baada ya kutia saini. Waziri wa fedha wakiwa wanaongozana na waandishi kwa ajili ya kuongea nao. Mdada wa libeneke la kaskazini akisalimiana na waziri wa fedha. Waziri wa fedha zazibar Yusuphy mzee akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari mara baada ya mkopo huo kutolewa. Mkuru...
tanzania-leo.blogspot.com
Tanzania Leo: FAMILIA YA WALEMAVU WATANO YAOMBA MSAADA.
http://tanzania-leo.blogspot.com/2012/12/familia-ya-walemavu-watano-yaomba-msaada.html
Friday, December 21, 2012. FAMILIA YA WALEMAVU WATANO YAOMBA MSAADA. Watoto wa tano wa familia moja ambao ni walemavu wa viungo eneo la chome Wilayani Sama wakiwa kwenye picha ya pamoja. Familia ya watoto watano wenye ulemavu Wilayani Same Mkoani Kilimanjaro wameomba jamii kujitokeza kusaidia kutokana na. Ulemavu wa viongo ambao umekuwa ukiwakabili kwa muda mrefu sasa, na kuwafanya kuishi katika hali ngumu kimaisha. Watoto hao ni Joseph. 8220;Baada ya mume wangu kufariki nilikuwa nailelea familia mwenyew...
tanzania-leo.blogspot.com
Tanzania Leo: April 2012
http://tanzania-leo.blogspot.com/2012_04_01_archive.html
Saturday, April 28, 2012. MAFUNZO YA SIKU NNE YA UCHAMBUZI WA SERA NA BAJETI YALIYOKUWA YANAFANYIKA KWA WAANDISHI MKOANI KILIMANJARO YAMALIZIKA LEO. Mwezeshaji wa mafunzo hayo Adam Ndokeji akifafanua jambo na waandishi wa vyombo mbalimbali waliohudhiria mafunzo hayo. Washiriki kwenye mafunzo hayo wakimsikiliza mwezeshaji kwa makini. Mmiliki wa Mtandao huu wa www.tanzania-leo.blogsport.com odrick Mushi akifafanua jambo kwenye mafunzo hayo. Friday, April 27, 2012. Taarifa hizo zimewasilishwa kwenye kamati ...
tanzania-leo.blogspot.com
Tanzania Leo
http://tanzania-leo.blogspot.com/2012/03/chuo-uandishi-wa-habari-na-utangazaji.html
Friday, March 16, 2012. CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI ARUSHA(AJTC) CHAFANYA MAHAFALI YAKE YA NNE. Viongozi wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji(AJTC)wakiwa pamoja na Mgeni Rasmi wa tatu kutoka kushoto,. Ambaye ni mwanahabari Mkongwe nchini na mkufunzi kutoka shirika la utangazaji la Uingereza Joseph Msami,wa pili kutoka kushoto ni Mkurigenzi wa mafunzo wa Chuo hicho Joseph Mayagilla. Wahitimu wakiimba wimbo kwa huzuni mbele ya wagenu na wanafunzi wanaobaki chuoni(hawapo pichani).
tanzania-leo.blogspot.com
Tanzania Leo: WAHINDI WADAIWA KUIWEKA SERIKALI MFUKONI.
http://tanzania-leo.blogspot.com/2013/03/wahindi-wadaiwa-kuiweka-serikali-mfukoni.html
Wednesday, March 6, 2013. WAHINDI WADAIWA KUIWEKA SERIKALI MFUKONI. Kiwanda cha nondo chaua watanzania/chajeruhi kwa uji uji wa chuma. Waandishi watakiwa kwenda na kibali cha serikali ili kuhojiana na uongozi. Lucas Mtoka (30) aliyekuwa mfanyakazi wakiwanda hicho cha Sayona Steel Ltd kama anavyoonekana na majeraha yaliyotokana na kulipukiwa na ujiuji na moto ndani ya kiwanda hicho huku mwenzao mmoja akipoteza maisha. NA MWANDISHI WETU,. Baadhi ya wafanyakazi waliohojiwa na mwandishi wa habari hizi kwa ma...
tanzania-leo.blogspot.com
Tanzania Leo: SUALA LA USAFI WA MOSHI LISICHUKULIWE KISIASA...
http://tanzania-leo.blogspot.com/2013/04/suala-la-usafi-wa-moshi-lisichukuliwe.html
Sunday, April 28, 2013. SUALA LA USAFI WA MOSHI LISICHUKULIWE KISIASA. Round about iliyopo Mjini hapa.ambapo watu mbalimbali wanaodondosha uchafu wanakamatwa na kutozwa faini huku kukuwepo na malalamiko ya kunynyaswa kwa kutozwa shilingi 50,000. Baadhi ya wafanyabisshara wadogo maarufu kama machinga wakiwa wamepanga bidhaa zao chini wakisubiri wateja. Baadhi ya soko lilipo nje ya Kata za katikati ya Mji. Suala la usafi Moshi lizingatiwe. Katika mji huu kuna mawakala wanne ambao ndio waliopewa jukumu la k...
tanzania-leo.blogspot.com
Tanzania Leo: July 2012
http://tanzania-leo.blogspot.com/2012_07_01_archive.html
Tuesday, July 31, 2012. MAKUMBUSHO YA BUJORA,MOJA YA VIVUTI VILIVYOSAHAULIKA LICHA YA KUTOA FURSA YA AJIRA KWA WASANII. Charles Madatta,kwa niaba ya Fabian Mhoja ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji. Wa Makumbusho hayo akionyesha nyumba walizokuwa wakiishi enzi hizo,na wasukuma. Moja ya nyumba ambazo zilikuwa zikitumia na wafalme wa Kisukuma kwa ajili ya kukutana na kucheza ngoma za asili ya kisukuma. Akizungumza na blog hii,Charles Madatta,kwa niaba ya Fabian Mhoja ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji. Jamii inayozun...