egf-tz.blogspot.com
Eastern Grade Farm: Wafanyabiashara wagoma kununua mazao ya kilimo
http://egf-tz.blogspot.com/2015/04/wafanyabiashara-wagoma-kununua-mazao-ya.html
Friday, April 10, 2015. Wafanyabiashara wagoma kununua mazao ya kilimo. Wafanyabiashara wagoma kununua mazao ya kilimo. Wafanyabiashara wagoma kununua mazao ya kilimo. Wafanyabiashara ya mazao ya kilimo wilayani mpwapwa wamegoma kununua mazao mbali mbali kutoka kwa wakulima kutokana na kile wanachodai kuwa tabia ya viongozi wa halmashauri ya wilaya hiyo kupandisha tozo za ushuru wa mazao kiholela bila kuwashirikisha. Posted by Elias and vailet. Eastern Grade Farm (T) Ltd. Digital clock - DWR. UFUGAJI WA ...
egf-tz.blogspot.com
Eastern Grade Farm: Our Visions
http://egf-tz.blogspot.com/p/our-visions.html
To be the most effective private sector apex company pursuing a modernized and. Commercialized agriculture in East Africa. Subscribe to: Posts (Atom). Digital clock - DWR. Eastern Grade Farm (T) Ltd. View my complete profile. JIUNGE NA ' SUA' UNIVERSITY. KILIMO CHA NYANYA CHUNGU. Iv) NYANYA MSHUMAA. Zao hili pia hujulikana kwa jina la Nyanya Chungu, Ngogwe au Ntongo. Huu ni m. UFUGAJI WA KUKU WA MAYAI NA UPATIKANAJI WA VIFARANGA. JINSI YA KUTENGENEZA CHAKULA CHA SAMAKI. Mali mpya kwa wakulima. Ili kulima...
egf-tz.blogspot.com
Eastern Grade Farm: Sugar production -Tanzania
http://egf-tz.blogspot.com/2015/04/sugar-production-tanzania.html
Wednesday, April 1, 2015. Posted by Elias and vailet. Eastern Grade Farm (T) Ltd. Subscribe to: Post Comments (Atom). Digital clock - DWR. Eastern Grade Farm (T) Ltd. View my complete profile. JIUNGE NA ' SUA' UNIVERSITY. KILIMO CHA NYANYA CHUNGU. Iv) NYANYA MSHUMAA. Zao hili pia hujulikana kwa jina la Nyanya Chungu, Ngogwe au Ntongo. Huu ni m. UFUGAJI WA KUKU WA MAYAI NA UPATIKANAJI WA VIFARANGA. JINSI YA KUTENGENEZA CHAKULA CHA SAMAKI. UFUGAJI WA KUKU: BANDA LA KUKU WA KIENYEJI. Mali mpya kwa wakulima.
egf-tz.blogspot.com
Eastern Grade Farm: NORWAY YADHAMIRIA KUWEKEZA LINDI KATIKA SEKTA YA GESI NA UVUVI
http://egf-tz.blogspot.com/2015/03/norway-yadhamiria-kuwekeza-lindi-katika.html
Thursday, March 26, 2015. NORWAY YADHAMIRIA KUWEKEZA LINDI KATIKA SEKTA YA GESI NA UVUVI. Balozi wa Norway Nchini,Bi Ingunn Klepsvik (Katikati) akikagua baadhi ya mabwawa ya ufugaji samaki manispaa ya Lindi walipotembelea mradi wa uvuvi katika Ziara ya Mameya wa miji ya Norway waliokubali kujenga urafiki na manispaa za Lindi na Mtwara,Kushoto ni Abdilah Salum mmiliki wa mabwawa hayo na Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Lindi Dr Nasor Hamid. Mabwawa yanayotumika kwa ufugaji wa samaki. Na ABDULAZIZ ,Lindi. Miji m...
egf-tz.blogspot.com
Eastern Grade Farm: KILIMO CHA CHA UMWAGILIAJI CHA FANIKIKIWA MKOANI ARUSHA
http://egf-tz.blogspot.com/2015/03/kilimo-cha-cha-umwagiliaji-cha.html
Thursday, March 26, 2015. KILIMO CHA CHA UMWAGILIAJI CHA FANIKIKIWA MKOANI ARUSHA. Skimu ya Maji ya Kabambe iliyojengwa katika Wilaya ya Monduli kata ya Majengo kuwasaidia wakulima kupata maji kwa ajili ya kilimo cha Mahindi, Ndizi na Mbogamboga, ikiwa ni sehemu ya miradi inayoratibiwa na ASDP na kusimamiwa na wadau wa maendeleo IFAD . Mojawapo ya Shamba la Nyanya linalotumia Skimu ya Maji ya Kabambe inayoratibiwa na Miradi ya ASDP katika Wilaya ya Monduli. Posted by Elias and vailet. Digital clock - DWR.
egf-tz.blogspot.com
Eastern Grade Farm: Mkutano wa Sita wa Baraza la mwaka la wadau wa Tasnia ya Nyama Tanzania
http://egf-tz.blogspot.com/2015/04/mkutano-wa-sita-wa-baraza-la-mwaka-la.html
Monday, April 6, 2015. Mkutano wa Sita wa Baraza la mwaka la wadau wa Tasnia ya Nyama Tanzania. Msajili wa Bodi ya Nyama Tanzania anawatangazia wadau wote wa Tasnia ya Nyama nchini kwamba kutakuwa na Mkutano wa Baraza la Mwaka hivi karibuni. Msajili wa Bodi ya Nyama Tanzania anawaalika. Wa Baraza la Mwaka la Wadau wa Tasnia ya Nyama hapa nchini ambao utafanyika tarehe 15/04/2015 na 16/04/2015,. Lonency 88, saa 2:30 asubuhi. Mamlaka zote za Serikali za Mitaa za Tanzania Bara,. Posted by Elias and vailet.
egf-tz.blogspot.com
Eastern Grade Farm: Agriculture - Tanzania
http://egf-tz.blogspot.com/2015/04/agriculture-tanzania.html
Monday, April 6, 2015. Posted by Elias and vailet. Eastern Grade Farm (T) Ltd. Subscribe to: Post Comments (Atom). Digital clock - DWR. Eastern Grade Farm (T) Ltd. View my complete profile. JIUNGE NA ' SUA' UNIVERSITY. KILIMO CHA NYANYA CHUNGU. Iv) NYANYA MSHUMAA. Zao hili pia hujulikana kwa jina la Nyanya Chungu, Ngogwe au Ntongo. Huu ni m. UFUGAJI WA KUKU WA MAYAI NA UPATIKANAJI WA VIFARANGA. JINSI YA KUTENGENEZA CHAKULA CHA SAMAKI. UFUGAJI WA KUKU: BANDA LA KUKU WA KIENYEJI. Mali mpya kwa wakulima.
egf-tz.blogspot.com
Eastern Grade Farm: Wilaya ya Kwimba yakabiliwa na Njaa
http://egf-tz.blogspot.com/2015/04/wilaya-ya-kwimba-yakabiliwa-na-njaa.html
Monday, April 6, 2015. Wilaya ya Kwimba yakabiliwa na Njaa. Wilaya ya KWIMBA mkoani MWANZA inahitaji msaada wa zaidi ya Tani Elfu Kumi za chakula ili iweza kukabilina na tatizo la njaa ambalo limeikumba wilaya hiyo. Mkuu wa wilaya ya KWIMBA - PILI MOSHI amethibitisha wilaya hiyo kuhitaji msaada wa haraka wa chakula kufuatia hali ya ukame uliosababisha kukauka kwa mazao mbalimbali. Posted by Elias and vailet. Eastern Grade Farm (T) Ltd. Subscribe to: Post Comments (Atom). Digital clock - DWR. UFUGAJI WA K...
egf-tz.blogspot.com
Eastern Grade Farm: Eneo linalofaa kwa ufugaji
http://egf-tz.blogspot.com/2015/03/eneo-linalofaa-kwa-ufugaji.html
Monday, March 30, 2015. Eneo linalofaa kwa ufugaji. Eneo linalofaa kwa ufugaji. Baadhi ya maeneo yanayofaa ni yale mashamba ya mpunga, na maeneo yaliyo karibu na vyanzo vya. Maji Zifuatazo ni sifa za maeneo yanayofaa:. 1 Udongo: Mfinyanzi husaidia kupunguza gharama za ujenzi wa bwawa na maji kwakuwa. Linaweza kutuamisha maji na kuruhusu maji yasipotee. Likiwa la kichanga bwawa ni lazima. Lijengewe au kuwekwa nylon sheet ili kuzuia upotevu wa maji. Unaweza ukahamisha udongo. 2 Chanzo cha maji ya uhakika.