keronyingi.blogspot.com
Usumbufu usio wa lazima! | keronyingi
http://keronyingi.blogspot.com/2015/05/usumbufu-usio-wa-lazima.html
Usumbufu usio wa lazima! Usumbufu usio wa lazima! Hii ni barabara ya Ulaya iliyopo maeneo ya Cheyo Tabora. Katika maunganiko ya barabara ya Ulaya. Na barabara inayoelekea Chuo cha ardhi, Cheyo. Ili kupusha usumbufu kwa mtumia barabara japo wangeweka alama kubwa kama hizi katikati ya barabara ili mtumiajia asisumbuke kwenda mpaka yalipo maunganiko ya barabara ya Kilimatinde na kukuta barabara imefungwa hivyo kumlazimu kurudi tena alipotokea. Alama kiduchu ya mchepuko inaoneka kulia mwa barabara. Nembo ya ...
keronyingi.blogspot.com
Mshahara wa mbunge ni sawa mishahara ya miaka mitatu ya mwalimu | keronyingi
http://keronyingi.blogspot.com/2011/12/mshahara-wa-mbunge-ni-sawa-mishahara-ya.html
Mshahara wa mbunge ni sawa mishahara ya miaka mitatu ya mwalimu. Mshahara wa mbunge ni sawa mishahara ya miaka mitatu ya mwalimu. Mh John Shibuda Mbunge pekee wa CHADEMA. Anayetetea maslahi nono ya wabunge. Imeelelezwa kuwa baada ya wabunge kupandishiwa posho za vikao, sasa mishahara yao ya mwezi inaweza kumlipa mwalimu kwa miaka mitatu. Hivi karibu Mh Spika Anne Makinda. Alitangaza kupandishwa kwa posho za wabunge kwa siku kutoka sh 70,000/=. Mpaka sh 200,000/=. Ni sh 200,000/=. Share on Google Plus.
keronyingi.blogspot.com
Zahara Muhidin Michuzi kura hazikutosha dhidi ya Irene Uwoya Tabora | keronyingi
http://keronyingi.blogspot.com/2015/08/zahara-muhidin-michuzi-kura-hazikutosha.html
Zahara Muhidin Michuzi kura hazikutosha dhidi ya Irene Uwoya Tabora. Zahara Muhidin Michuzi kura hazikutosha dhidi ya Irene Uwoya Tabora. Zahara Muhidin Michuzi akiwa nje ya ukumbi wa uchaguzi leo mapema. Leo hii mchana binti ya mpiga picha na blogger maarufu nchini anayeambatana na rais Kikwete. Katika ziara zake, Muhidin Issa Michuzi. Alishindwa kupata kura za kutosha kumwezesha kushinda nafasi ya ubunge wa vijana kupitia tiketi ya CCM mkoa wa Tabora baada ya msanii wa filamu Bi Irene Uwoya. Au Dar es ...
keronyingi.blogspot.com
H-Mbizo ashuti video ya Mvute mvute! | keronyingi
http://keronyingi.blogspot.com/2011/02/h-mbizo-ashuti-video-ya-mvute-mvute.html
H-Mbizo ashuti video ya Mvute mvute! H-Mbizo ashuti video ya Mvute mvute! Tunguri juu ya tunguri. Msanii wa muziki wa kizazi kipya maarufu kama Bongo Flava Hamisi Mbizo. Hatimaye leo hii jumamosi ameanza kuchukua picha za video ya wimbo wake mpya Mvute mvute. Hmbizo ambaye amewahi kutamba na nyimbo kama Mchumba na Kunguru. Hiki ndicho kilinge cha bwana Ndemele. Hii ni shilingi ishirini nyekundu na yenye picha rais mstaafu. Shilingi mia moja ya noti nyekundu. Hawa, Bambo na Samia baada ya kumaliza shooting.
keronyingi.blogspot.com
Wanajeshi mashoga wa Ki marekani | keronyingi
http://keronyingi.blogspot.com/2011/07/wanajeshi-mashoga-wa-ki-marekani.html
Wanajeshi mashoga wa Ki marekani. Wanajeshi mashoga wa Ki marekani. Halooo jamani shostito Anti Jay! Pichani ni askari jeshi wa Marekani wakiwa katika gwaride lenye dhamira ya kuonesha ushoga usio na kificho katika jeshi la Marekani jijini San Diego 16 Julai 2011. Gwaride hilo lilipewa jina la SAN DIEGO'S GAY PRIDE. Share on Google Plus. Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA. DUH ALAFU JESHI HILO HILO NDIO LINATUPA MISAADA!
keronyingi.blogspot.com
Mashine za kuchana, kuranda na kusafisha mbao ON SALE! | keronyingi
http://keronyingi.blogspot.com/2011/12/mashine-za-kuchana-kuranda-na-kusafisha.html
Mashine za kuchana, kuranda na kusafisha mbao ON SALE! Mashine za kuchana, kuranda na kusafisha mbao ON SALE! Limeleta Mashine za kuchana magogo, kuranda na kusafishia mbao pamoja na misasa, routers na spindle moulders. Vyenye ubora wa hali ya juu kutoka England,Germany, Italy na France. Pia wanapokea order kwa mashin e ambazo hazipo katika stock. Kwa mahitaji yako tembelea duka lao lililopo Temeke. Share on Google Plus. July 18, 2012 at 2:17 PM. Uwezo wa kuchana na kuranda uko vip vip- 0758 000488?
keronyingi.blogspot.com
USAFIRI UNAOTUMIKA KUSAFIRISHA ABIRIA MKOANI GEITA ENEO LA BUSERESERE NI HATARISH | keronyingi
http://keronyingi.blogspot.com/2015/06/usafiri-unaotumika-kusafirisha-abiria.html
USAFIRI UNAOTUMIKA KUSAFIRISHA ABIRIA MKOANI GEITA ENEO LA BUSERESERE NI HATARISH. USAFIRI UNAOTUMIKA KUSAFIRISHA ABIRIA MKOANI GEITA ENEO LA BUSERESERE NI HATARISH. Gari Aina ya Pro Box Ikiwa. Wakazi wa Mkoa wa Geita. Na katoro wapo katika hatari kubwa ya maisha yao kutokana na usafiri wanaoutumia kutoka eneo moja kwenda jingine.Mwakilishi wa kikundi cha usalama barabarani Fungo Agustus. Abiria wakiwa wamekusanywa kwenye buti eneo la kubebea mizigo huku wakiwa sambaba na watoto wadogo. Mashine za kuchan...
keronyingi.blogspot.com
Kwa nini serikali inamtenga Chief Abdallah Fundikira linapokuja suala la uhuru wa Tanganyika? | keronyingi
http://keronyingi.blogspot.com/2011/12/kwa-nini-serikali-inamtenga-chief.html
Kwa nini serikali inamtenga Chief Abdallah Fundikira linapokuja suala la uhuru wa Tanganyika? Kwa nini serikali inamtenga Chief Abdallah Fundikira linapokuja suala la uhuru wa Tanganyika? Mtemi Abdallah Fundikira wa pili toka kushoto. Tulipoadhimisha miaka 50 ya uhuru. Pale uwanja wa taifa na baadaye IKULU pakawa na utoaji wa nishani kwa wawakilishi wa walioshiriki kupigania uhuru. Pale yalitajwa majina 14 kwa mshangao wangu na wa ukoo mzima wa Fundikira. Hatukusikia jina la Chifu Abdallah Said Fundikira.
keronyingi.blogspot.com
Basi la Shabiby laharibika porini, wafanyakazi watoa lugha zisizo staarabu kwa abiria! | keronyingi
http://keronyingi.blogspot.com/2015/06/basi-la-shabiby-laharibika-porini.html
Basi la Shabiby laharibika porini, wafanyakazi watoa lugha zisizo staarabu kwa abiria! Basi la Shabiby laharibika porini, wafanyakazi watoa lugha zisizo staarabu kwa abiria! Gari lenye namba za usajili T 607 CVL likiwa limeegeshwa pembezoni mwa barabara baada ya kuharibika. Leo hii asubuhi nikitokea Singida. Kwenda Dar kwa basi la Shabiby Line. Lenye nambari za usajili T607. Iliondoka stendi ya Misuna. Singida mnaomo saa 12.48(moja kasoro 12). Dereva wa gari hilo katikati akiwa kajiegesha katika jiwe.