zainathy.blogspot.com
Mkombozi wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe
http://zainathy.blogspot.com/2006/05/kwa-kasi-hii-tutakwisha.html
Mafanikio daima ni kwa wale wenye Kujaribu bila kujali mara ngapi wanaanguka ". Sunday, May 28, 2006. Kwa kasi hii tutakwisha! Pamoja na juhudi za Serikali za kujaribu kuondoa tatizo la njaa, tatizo hilo limeonekana kutaka kuota mizizi huku likisaidiwa na tatizo la kupanda kwa bei ya mafuta. Tatizo la kupanda kwa bei ya mafuta limekuja wakati mbaya ambapo bado kuna tatizo la upungufu mkubwa wa chakula. Zainab Yusuph Leo: 5/28/2006 11:35:00 AM. 3 Maoni ya Wasomaji:. People incurr when they drive because o...
zainathy.blogspot.com
Mkombozi wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe
http://zainathy.blogspot.com/2005_06_01_archive.html
Mafanikio daima ni kwa wale wenye Kujaribu bila kujali mara ngapi wanaanguka ". Thursday, June 30, 2005. Jambo hili limekuwa likinitatiza sana na hatimaye nikibaki bila kuwa na jibu la uhakika kuwa kiwango cha uzee wa mtu kinapimwa na umri au maumbile{ nikimaanisha miondoko, mikunjamano ya uso pamoja na ya mwili}. Zainab Yusuph Leo: 6/30/2005 12:55:00 PM. Thursday, June 09, 2005. Dhana hii imepitwa na wakati! Mkombozi wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe! Zainab Yusuph Leo: 6/09/2005 11:58:00 AM.
zainathy.blogspot.com
Mkombozi wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe
http://zainathy.blogspot.com/2006_05_01_archive.html
Mafanikio daima ni kwa wale wenye Kujaribu bila kujali mara ngapi wanaanguka ". Wednesday, May 31, 2006. Je haya hana ukweli? Kweli maneno haya kuhusu kuwepo manabii wengi siku za mwisho tumeyasikia sana, mimi nina tatizo moja na naomba kusaidiwa kama kweli muda huo ndio umefika kwani kutokana na habari hii. soma hapa. Zainab Yusuph Leo: 5/31/2006 12:05:00 PM. Monday, May 29, 2006. Mkombozi wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe. Zainab Yusuph Leo: 5/29/2006 06:32:00 PM. Sunday, May 28, 2006. Baadhi ya madhara...
zainathy.blogspot.com
Mkombozi wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe
http://zainathy.blogspot.com/2005_07_01_archive.html
Mafanikio daima ni kwa wale wenye Kujaribu bila kujali mara ngapi wanaanguka ". Tuesday, July 19, 2005. Hivi ni kweli misaada ya mikopo iyasaidia kuondoa umaskini? Pamoja na watu kuzungumzia suala hili kwa kirefu zaidi huku asilimia kubwa wakiamini kuwa ni kweli fedha wanazokopeshwanchi zinazoendelea na benki ya dunia zitasaidia kuondoa umaskini. Hivi kuna maendeleo gani iwapo watatukopesha kwa vigezo vya kuwabinafsishia vitega uchumi vyetu,ambavyo ndio njia pekee ya kuweza kutupatia maendeleo? Zainab Yu...
zainathy.blogspot.com
Mkombozi wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe
http://zainathy.blogspot.com/2005_11_01_archive.html
Mafanikio daima ni kwa wale wenye Kujaribu bila kujali mara ngapi wanaanguka ". Friday, November 04, 2005. Wamarekani ni akina nani kwa Watanzania? Zainab Yusuph Leo: 11/04/2005 11:39:00 AM. Blogu ya lugha mseto. JIKUMBUSHE KAZI ZANGU ZA ZAMANI.
zainathy.blogspot.com
Mkombozi wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe
http://zainathy.blogspot.com/2005_04_01_archive.html
Mafanikio daima ni kwa wale wenye Kujaribu bila kujali mara ngapi wanaanguka ". Saturday, April 30, 2005. Juhudi za dhati za wanawake. Mmoja kati ya wana-Blogi wa kiswahili ( Bw. Ramadhani Msangi. Katika siku za karibuni, nitaendelea kuwataarifu zaidi juu ya kile kitakachokuwa kikiendelea wakati tukiuelekea mkutano huo unaokwenda kwa jina la Blogher. Zainab Yusuph Leo: 4/30/2005 01:21:00 PM. Thursday, April 28, 2005. Mimi huwa sishangai mtu anaposema kuwa anakunywa pombe kwa starehe bali nashangaa pale a...
zainathy.blogspot.com
Mkombozi wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe
http://zainathy.blogspot.com/2005_08_01_archive.html
Mafanikio daima ni kwa wale wenye Kujaribu bila kujali mara ngapi wanaanguka ". Wednesday, August 24, 2005. Sote tuliwapenda,lakini Mungu aliwapenda zaidi! Ndivyo wengi wapenzi wa muziki wa kizazi kipya,Ndugu, jamaa marafiki na wengine wote wanaomfahamu hawa hapa. Hakika kweli wametuachia huzuni,lakini sababu mungu alimpenda zaidi hatuna budi kushukuru. Mungu azilaze roho zao mahali pema peponi. AMIN. Zainab Yusuph Leo: 8/24/2005 06:26:00 PM. Friday, August 05, 2005. Monday, August 01, 2005.
zainathy.blogspot.com
Mkombozi wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe
http://zainathy.blogspot.com/2006_06_01_archive.html
Mafanikio daima ni kwa wale wenye Kujaribu bila kujali mara ngapi wanaanguka ". Saturday, June 24, 2006. Binti huyu nae aangaliwe! Hili bado linawaumiza wanawake wengi hususani walio vijijina hasa katika zama hizi za Ari,nguvu na kasi mpya ambayo inatakiwa kumpa maisha bora kila mtanzania. Nazungumzia suala la wanafunzi waliozaa kutokubaliwa kurudishwa mashuleni, ikiwa Elimu ndio msingi mkubwa wa maisha na ndio njia mojawapo ya kujiletea maendeleo je bila hiyo elimu binti huyu atawezana kweli na kasi hii.