habarimakini.blogspot.com
HabariMakini
http://habarimakini.blogspot.com/2015/08/nimekusogezea-picha-za-boti-ya-kifahari.html
Habari za kina na uhakika. Thursday, August 13, 2015. Nimekusogezea picha za boti ya kifahari ya mmiliki wa klabu ya Chelsea. Bilionea wa Kirusi ambae pia ni mmiliki wa klabu ya Chelsea. Hajaishia tu kupenda kununua wachezaji mastaa waje kucheza katika klabu yake bali anapenda kumiliki vitu vizuri na vya thamani, Abromavich. Ana miliki vitu mbalimbali vya thamani. August 12 nimeona nikusogezee picha za boti binafsi ya Bilionea anayeimiliki klabu ya Chelsea. Aliwahi kuja kupanda mlima Kilimanjaro Tanzania.
habarimakini.blogspot.com
HabariMakini
http://habarimakini.blogspot.com/2015/08/napoleone.html
Habari za kina na uhakika. Wednesday, August 5, 2015. Kaiunganisha Tanzania na Marekani, ni time ya kumjua vizuri Ernest Napoleon. Ni Mtanzania ambaye amethubutu na akaweza japo hajafika, alikua mtangazaji wa. Mwanzoni mwa miaka ya 2000 na baadae akaondoka Tanzania, kakaa Marekani na akachukua huu ujuzi. Subscribe to: Post Comments (Atom). 0754 33 50 51. 0656 50 71 30. View my complete profile. Huyu ni mbadala wa Javier Hernandez katika klabu y. Usain Bolt kwenye headlines tena Beijing China Mw. Picha z...
habarimakini.blogspot.com
HabariMakini: Habari Picha
http://habarimakini.blogspot.com/p/habari-picha.html
Habari za kina na uhakika. HARUSINI : NEEMA NA ALLY SHEDRACK. PICHA ZA MRADI WA UJENZI WA BARABARA YA MABASI YAENDAYO KASI UNAOENDELEA BARABARA YA MOROGORO (MOROGORO ROAD) KATIKA ENEO LA KIMARA JIJINI DAR ES SALAAM. Subscribe to: Posts (Atom). 0754 33 50 51. 0656 50 71 30. MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (UDSM) KWA MWAKA WA MASOMO 2016/17* *NAMES OF SELECTED CANDIDATES TO JOIN THE . View my complete profile. Pichaz za kwanza nje Red Carpet mpaka ndani kwenye.
habarimakini.blogspot.com
HabariMakini
http://habarimakini.blogspot.com/2015/08/kauli-ya-di-maria-kuhusu-manchester.html
Habari za kina na uhakika. Friday, August 7, 2015. Kauli ya Di Maria kuhusu Manchester United bado inawashangaza walio wengi. Kauli ya Angel Di Maria. Infanya watu wazidi kujiuliza maswali mengi na yasiyo na majibu, muda mchache baada ya kuthibitika kujiunga na klabu ya Paris Saint Germain. Ya Ufaransa Di Maria. Amesema klabu ya PSG. Ni kubwa kuliko klabu yake ya zamani ya Manchester United. Au kaamua tu kuzungumza kwa sababu kahama Man United. Ni kubwa kwa jumla ya miaka 137 huku PSG. 0754 33 50 51.
habarimakini.blogspot.com
HabariMakini
http://habarimakini.blogspot.com/2015/08/hii-ni-sababu-iliyomtoa-rafael-da-silva.html
Habari za kina na uhakika. Thursday, August 13, 2015. Hii ni sababu iliyomtoa Rafael da Silva Man United, Van Gaal anahusika. Ikiwa zimepita siku kadhaa toka aliyekuwa beki wa pembeni wa klabu ya Manchester United. Ya Uingereza Rafael da Silva. Aondoke klabuni hapo na kutimkia katika klabu ya Olympique Lyon. Inayoshiriki Ligi Kuu Ufaransa. Kwa ada ya uhamisho inayokadiriwa kufikia pound milioni 2.5. Louis van Gaal mbele, nyuma akiwa na beki Rafael. Hawapendi wachezaji wa kibrazil, Rafael. Ilikuwa ikinole...
habarimakini.blogspot.com
HabariMakini
http://habarimakini.blogspot.com/2015/08/tanzania-yazidi-kuporomoka-viwango-vya.html
Habari za kina na uhakika. Friday, August 7, 2015. Tanzania yazidi kuporomoka viwango vya kimataifa vya FIFA. Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imezidi kushuka katika viwango vya ubora wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA). Na sasa imeshuka kwa nafasi moja zaidi na kushika nafasi ya 140. Algeria ndiyo inayoongoza kwa Afrika kwa kushika nafasi ya 19 ikifuatiwa na Ivory Coast inayoshika nafasi ya 21. Subscribe to: Post Comments (Atom). 0754 33 50 51. 0656 50 71 30. View my complete profile. Ricar...
habarimakini.blogspot.com
HabariMakini
http://habarimakini.blogspot.com/2015/08/mabadiliko-ya-tabia-ya-nchi-kupata-dawa.html
Habari za kina na uhakika. Wednesday, August 5, 2015. Mabadiliko ya tabia ya nchi kupata Dawa? Rais wa Marekani, Barack Obama. Rais wa Marekani, Barack Obama amezindua kile alichokiita hatua muhimu zaidi ya kupambana na mabadiliko ya tabia nchi. Amesema kizazi hiki ni cha mwisho chenye kushughulikia suala hilo na kwamba imelazimu Marekani kuchukua hatua. Obama amesisitiza hatua kali kuchukuliwa haraka, kupunguza gesi ya ukaa inayotoka katika viwanda nchini Marekani, theluthi moja, ifikiapo mwaka 2030.
habarimakini.blogspot.com
HabariMakini
http://habarimakini.blogspot.com/2015/08/picha-za-mtoto-wa-whitney-houston-akiwa.html
Habari za kina na uhakika. Wednesday, August 5, 2015. Picha za mtoto wa Whitney Houston akiwa kwenye jeneza ni biashara? Amefariki akiwa na miaka 22 baada ya kuugua muda mrefu kutokana na kudondoka bafuni.sababu ikidaiwa ni kuzidiwa na dawa za kulevya alizokua akitumia. August 3 ilikuwa siku ya mazishi yake, baada ya kumalizika familia yake imeamua kuuza picha za marehemu Bobbi Kristina akiwa ndani ya jeneza kwa dola 100,000 sawa na zaidi ya 200,000,000 za Kitanzania. Yaliyopo New Jersey, Marekani. Ashle...
habarimakini.blogspot.com
HabariMakini
http://habarimakini.blogspot.com/2015/08/ricardo-kaka-anaamini-arsenal-ina.html
Habari za kina na uhakika. Thursday, August 13, 2015. Ricardo Kaka anaamini Arsenal ina nafasi ndogo ya kumpata mchezaji huyu. Aliyewahi kuwa mchezaji bora wa Dunia mwaka 2007 ambae pia amewahi kuvichezea vilabu vya AC Milan. Anaamini mshambuliaji wa Real Madrid. Hawezi kuachwa na klabu yake akajiunge na Arsenal. Na kama atauzwa kwenda Arsenal. Basi watakuwa wamepata bahati. Ricardo Kaka wakipeana mikono na Karim Benzema. Bado anawindwa na klabu ya Orlando City. Inayoshiriki Ligi Kuu Marekani. Nimekusoge...
habarimakini.blogspot.com
HabariMakini
http://habarimakini.blogspot.com/2015/08/hii-ni-good-news-kwa-mashabiki-wa-kike.html
Habari za kina na uhakika. Tuesday, August 4, 2015. Hii ni good news kwa mashabiki wa kike wa Manchester United (Pichaz). Siku kadhaa zimepita toka klabu ya Manchester United. Ya Uingereza itangaze jezi zake mpya na kampuni itakayokuwa inatengeneza jezi hizo, August 3 nimekutana na story nyingine tena kwa ajili ya mashabiki wa kike wanaoipenda Mancheater United. 8230; Zamani tulizoea kuona mashabiki wa kike wa Manchester United Tanzania. Ambayo ndio yenye mkataba na Man United. 0754 33 50 51. Ashley Youn...