tabatagospelchoir.blogspot.com
TABATA GOSPEL CHOIR: UZINDUZI WA ALBUM-TABATA GOSPEL CHOIR
http://tabatagospelchoir.blogspot.com/2011/10/uzinduzi-wa-album-tabata-gospel-choir.html
Sunday, October 16, 2011. UZINDUZI WA ALBUM-TABATA GOSPEL CHOIR. Mpendwa katika bwana shaloom,. Kwaya ya Tabata Gospel inatarajia kufanya uzinduzi wake wa kwanza jijini Mwanza mnamo tarehe. Mwanza. Katika ziara hii kwaya inategemea kuhudumu katika eneo la shinyanga kambarage katika sikukuu ya christmas ya 2011 na baadae kwenda Geita pia kwa huduma ya Mwaka mpya 2012. Tunamwomba Bwana Yesu atamalaki katika kutimiza jukumu hili alilotuachia tulitimize, la kueneza injili kwa kila kiumbe. Wait a Minute Pastor.
tabatagospelchoir.blogspot.com
TABATA GOSPEL CHOIR: NEW GOSPEL MUSIC ALBUM
http://tabatagospelchoir.blogspot.com/2011/04/re-new-gospel-music-album.html
Friday, April 8, 2011. NEW GOSPEL MUSIC ALBUM. Dear all. Shalom! For the group, this will be the third album to be released, UMECHOKA SANA and HUKUMU INAKUJA were the previous albums. We would like to inform you that, the inauguration will be soon advertised to various media. We can do all things through him who strengthen us. Stay blessed in Jesus Name. Labels: Gospel is the power of God unto salvation. Subscribe to: Post Comments (Atom). Dar es Salaam, Tanzania. View my complete profile.
hans4real.blogspot.com
Anselm: Kambi ya Makapera yapata pigo
http://hans4real.blogspot.com/2011/04/kambi-ya-makapera-yapata-pigo.html
It's all about me,myself and I. Monday, April 18, 2011. Kambi ya Makapera yapata pigo. Ijumaa ya tarehe 15/04/2011 Kambi ya makapera ilipata pigo kubwa baada ya Mdau wake maarufu na wa siku nyingi Khatibu Mackenga kufunga pingu za maisha na Bi Fatma Ally nyumbani kwa Wazazi wa Bi Harusi huko Mbezi kwa Msuguri na kufuatiwa na bonge moja la M'sherehe uliofanyika katika ukumbi wa Briged Mess Lugalo jeshini siku ya tarehe 16/04/2011. Bwana harusi aki'speed up tukio la kuanguka signature katika cheti cha ndoa.
hans4real.blogspot.com
Anselm: August 2010
http://hans4real.blogspot.com/2010_08_01_archive.html
It's all about me,myself and I. Wednesday, August 18, 2010. Simba kwisha habari yao! Simba kwisha habari yao,hivi ndivyo ninavyoweza kusema. Team ya Simba hatimaye jana imekubali kichapo cha mabao 3-1 kutoka kwa Vijana wa mitaa ya Twiga na Jangwani Dar-es-salaam Young Africans katika mchezo wa kugombania ngao ya hisani uliofanyika katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar-es-salaam. Wakati kwa upande wa Simba Mohamed Banka ndiye pekee aliyepata penalt,huku penalt ya Emanuel Okwi ilipanguliwa kiufundi na Kipa wa ...
hans4real.blogspot.com
Anselm: November 2010
http://hans4real.blogspot.com/2010_11_01_archive.html
It's all about me,myself and I. Sunday, November 7, 2010. Huyu aliingia kwenye 18 za wale wanaoitwa ma'vehicle inspectors. Huyu alifumwa na Camera yetu akikata mitaa hata wasiwasi hana. Hongera Dk Jakaya Mrisho Kikwete. Rais JK akiupungia mkono umati uliofurika uwanjani wa Uhuru juzi Jumamosi wakati akiingia kwa ajili ya kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM na baada ya kuwashinda wenzake 6 waliokuwa wakiwania nafasi hiyo ya juu ya uongozi wa nchi. Thursday, November 4, 2010.
hans4real.blogspot.com
Anselm: June 2010
http://hans4real.blogspot.com/2010_06_01_archive.html
It's all about me,myself and I. Friday, June 11, 2010. WOZZA 2010 - South Africa. Leo ni siku kubwa sana kwa Wananchi wa Afrika Kusini kwani yale mashindano makubwa kabisa ya mpira wa miguu(football kwa kingereza) a.k.a kabumbu yanazinduliwa rasmi ikiwa ni mara ya kwanza kufanyika ndani ya bara la Africa. Hili ndo Kombe la Dunia la FIFA la sasa ambalo Wanaume kutoka Mataifa taalamu kwa kusukuma gozi la ng'ombe 32 watakuwa wakichuana kuligombania. Thursday, June 10, 2010. Siku hiyo nilikuta shughuli ya uj...
hans4real.blogspot.com
Anselm: Watanzania wanapochoka na maisha bora ya kila mmojawao
http://hans4real.blogspot.com/2011/03/watanzania-wanapochoka-na-maisha-bora.html
It's all about me,myself and I. Thursday, March 31, 2011. Watanzania wanapochoka na maisha bora ya kila mmojawao. Mtanzania huyu baada ya kushindwa kununua sukari iliyokuwa inauzwa Tsh 2000/= aliamua kuja na ujumbe wake huu. Hawa kwa hayo machache waliyoya'list hapo waliamua kuja na proposal hii. Na hawa baada ya kuchunguzachunguza na kupata habari ya kazi nzuri zilizofanyika huko Libya waliamua kuja na ujumbe huu. Subscribe to: Post Comments (Atom). Kiluvya - Hondogo, Dar-es-salaam, Tanzania.
hans4real.blogspot.com
Anselm: Usela unapopitiliza huwa haipendezi
http://hans4real.blogspot.com/2011/04/usela-unapopitiliza-huwa-haipendezi.html
It's all about me,myself and I. Friday, April 1, 2011. Usela unapopitiliza huwa haipendezi. Jumamosi ya tarehe 26 March 2011 kulitolewa tuzo kwa Wanamuziki waliofanya vizuri katika msimu wa 2010/2011 maarufu kama Kilimanjaro Music Awards. Katika sherehe hizo zilizofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee,Msanii Abas Hamis Kinzasa Maarufu kama 20% alifanikiwa kutwaa tuzo 5 peke yake na kuweka record ya Msanii aliyetwaa tuzo nyingi kwa mpigo tokea tuzo hizo zianzishwe miaka 12 iliyopita. Blog hii inamtambu...