fitalutonja.blogspot.com
uhuru na haki: 08/21/08
http://fitalutonja.blogspot.com/2008_08_21_archive.html
Uhuru wa habari ni ukombozi. Aug 21, 2008. Huwa ninalia ninapowakumbuka wapigania haki za wanyonge kama Lenin, Fredrick Angle, Dk.Carl Marx, Josef Stalen na wengine wegi huwa ninawakumbuka sana japo sitakufahamisha ni kitu gani walikifanya katika kupigania haki za binadamu kutoka kwa Mabepari ninajua bila shaka unawajua umuhimu wao katika jamii. Watu hawa sasa wanafurahia katika dunia hii hawajui kuwa dunia hii ni ya kupita tu na makao yetu ya kudumu yako mbinguni kwa baba yetu Mungu, kule mbinguni ndio ...
fitalutonja.blogspot.com
uhuru na haki: UDOM Uchafu Kunuka
http://fitalutonja.blogspot.com/2010/04/udom-uchafu-kunuka.html
Uhuru wa habari ni ukombozi. Apr 9, 2010. Kikuu cha Dodoma ni chuo kipya ambacho kimejaa misukosuko na mikasa ya kila aina. Kama wewe unaishi bali na huwa unakiona chuo hiki katika runinga basi huwezi jua mambo yaliyopo katika chuo hiki. Yawezekana pia huwa unakisikia kwenye vyombo vya habari mbalimbali vikisifiwa na viongozi wetu akiwemo rais wetu ambaye hachoki kukisifia kila anapoulizwa kuhusiana na serikali imeleta maendeleo gani hasa katika sekta ya elimu. Wanafuzi wanaingia madarasani bila kuonga h...
fitalutonja.blogspot.com
uhuru na haki: 08/20/08
http://fitalutonja.blogspot.com/2008_08_20_archive.html
Uhuru wa habari ni ukombozi. Aug 20, 2008. Ninaimani kubwa sana Watanzania tunaweza kujikomboa na kuwa huru kifikra, kimawzo, kiuchumi, kisansi, kijamii, kisaikoloa nk, ili tujikomboe yatupasa kufikria ni viongozi gani wanatufaa? Ambao watasimama kutetea haki zetu na rasilimali zetu? Hakika tukijua hilo hapo ndipo tutajikomboa na kuwa huru katika haki zetu, lakini tusipojua hilo daima tutaendelea kudhulumiwa haki zetu kwani viongozi wetu hawana na huruma nasisi pamoja na watoto wetu. Zawadi ni kudhamiana...
fitalutonja.blogspot.com
uhuru na haki: Mugabe: Kamwe sitamwamini Mzungu
http://fitalutonja.blogspot.com/2009/01/mugabe-kamwe-sitamwamini-mzungu.html
Uhuru wa habari ni ukombozi. Jan 4, 2009. Mugabe: Kamwe sitamwamini Mzungu. Asema wazungu kwao si Afrika. 8220;KAMWE sitamwamini Mzungu hata siku moja, mweupe pekee wa kumwamini ni yule aliyekufa, wazungu kwao si Afrika, Afrika ni ya Waafrika hivyo basi Zimbanwe ni ya Wazimbabwe”. Rais huyo alisema hayo wakati alipoamru wazungu wapokonywe ardhi walikuwa wanaimiliki nchini Zimbabwe na wapewe wazawa wa nchi hiyo. Anachoamini Mugabe ni kwamba Afrika ni kwa ajili ya Waafrika, msimamo wa aina hiyo umekuwa uki...
fitalutonja.blogspot.com
uhuru na haki: Taifa linaangamia taratibu chukua hatua
http://fitalutonja.blogspot.com/2008/11/taifa-linaaangamia-taratibu-chukua.html
Uhuru wa habari ni ukombozi. Nov 2, 2008. Taifa linaangamia taratibu chukua hatua. SALAAM Rais wangu Jakaya Mrisho Kikwete, nakusalimia ewe mtukuka mwenye nyingi rehema, mwenye upendo na nchi yako na watanzania wote hakika unaupendo mkubwa na nchi yako ndiyo maana huachi kufanya ziara kuizungukia nchi yakoTanzania kila sehemu ili kujua hari ya watu wako mlezi wa Tanzania na juzijuzi ulikuwa Mbeya, haya yote ni kutokana na kuipenda nchi yako. Rais wangu Jakaya nakupa pole sana kwa Masaibu yaliyokukuta kwa...
fitalutonja.blogspot.com
uhuru na haki: 08/22/08
http://fitalutonja.blogspot.com/2008_08_22_archive.html
Uhuru wa habari ni ukombozi. Aug 22, 2008. Tanzania mbona wanakutamani kila sehemu ya dunia? Mabeberu na Mabepari wametoa macho juu yako, huku wakija kwa nguvu wakitaka kukudhulumu haki yako wengine wanajifanya kuwa rafiki zako ili wakudhulumu raslimali zako ulizonazo, wanakudanganya kwa kukupa zawadi ndogo ili kukupumbaza, wakuibie. Ninajiuliza ni kitu gani ulichonacho mpaka wanakutamani na kutaka kukuibia? Aaah kumbe ni raslimali zako ndizo wanazitamani! Basi unasitahili pole na kuhurumiwa sana Tanzania.
fitalutonja.blogspot.com
uhuru na haki: Migomo na Maandamano siku hizi Tz hapakaliki
http://fitalutonja.blogspot.com/2008/11/walimu-wakielekea-karimjee-kwenda.html
Uhuru wa habari ni ukombozi. Nov 2, 2008. Migomo na Maandamano siku hizi Tz hapakaliki. CHAMA cha Wafanyakazi ni umoja wajumuiya ya wafanyakazi katika sekta yoyote iliyohalali na inayofanya kazi kulingana na taratibu za nchi, kwahiyo chama ni kama raia nchini aliye na haki ya kujipatia mali au haki yake, vilevile kutetea haki zake mbele ya baraza na kulindwa na sheria ya nchi. Kwahiyo umoja huo mkubwa uliwatisha sana Wamiliki wa viwanda, serikali pamoja na matajiri wa huko ambapo kwa kuhofia nao waliamua...
fitalutonja.blogspot.com
uhuru na haki: 08/27/08
http://fitalutonja.blogspot.com/2008_08_27_archive.html
Uhuru wa habari ni ukombozi. Aug 27, 2008. Nguvu ya Fikra ni Ukombozi Daima. Watanzania wanadhulumiwa haki yao. TANZANIA ni nchi yenye kila aina ya rasilimali. Ina madini, misitu, mbunga za wanyama, maziwa mbalimbali kama vile Victoria, Nyasa, Tanganyika n.k. Vile vile ina Mlima Kilimanjaro ambao ni mlima mrefu kupita milima yote barani Afrika. Sifa nyingine ya nchi yangu Tanzania ni nchi ya amani kuzidi nchi nyingine ulimwengu kote. Ama kweli mimi ninajivunia kuwa Mtanzania. Mwalimu aliona mbali sana...
fitalutonja.blogspot.com
uhuru na haki: Uhuru wa Habari ni haki ya kila mtu
http://fitalutonja.blogspot.com/2008/10/uhuru-wa-habari-ni-haki-ya-kila-mtu.html
Uhuru wa habari ni ukombozi. Oct 10, 2008. Uhuru wa Habari ni haki ya kila mtu. Mtangazaji David wa idhaa ya kiswahili BBC enzi hizo alikuwa akitangaza kwa aina ya mvuti wa pekee kila mtu aliyemsikiliza hakutaka hata kuzima radio yake kwa kwa sauti yake ambayo ilikuwa ikimvutia kila mtu, lakini baada ya kufanya kazi huko Uingereza baadae aliamua kurudi Radio Tanzania Dar es Salaam (RTD) ambayo sasa hivi ni TBC Taifa. Subscribe to: Post Comments (Atom). View my complete profile. Uhuru wetu ni fikra.
fitalutonja.blogspot.com
uhuru na haki: 08/29/08
http://fitalutonja.blogspot.com/2008_08_29_archive.html
Uhuru wa habari ni ukombozi. Aug 29, 2008. Wakati umefika wa kujiuliza, kujitafiti, kujinasua na kujikomboa kutoka kwa hawa wanyonyaji makupe wanaotumia jasho letu kutunyonya ili wao waendelee kuwa matajiri, yatupasa kujiuliza kwa kina na fikra za kimaendeleo sasa tufanyeje? Kwani wa kutukomboa sasa hayupo tena kwani Azimio la Arusha mtetezi wa haki halipo tena! Tusiposimama imara kwa hili wataendelea kumdhalilisha baba wetu wa Taifa kwa kuvunja haki za utawala bora wenye kujali kila masilahi ya umma.