tuktz.org
Taasisi ya Uongozi wa Kikristo Tanzania - Imani
http://tuktz.org/imani
Mwanzo & Asili ya Dini. Mkristo & Ukristo. Matendo,Matunda au Sheria? Mwanzo & Asili ya Dini. Mkristo & Ukristo. Matendo,Matunda au Sheria? Ingawa kwa Kiswahili neno imani lina maana mbalimbali (k.mf. “huruma”), ile kuu inahusiana na kitenzi kuamini, kinachofanana na kusadiki. Hapo ni kukubali ukweli wa jambo lisiloweza kuthibitishwa. Kwa msingi huo, au wa namna hiyo, mtu anaweza kushikilia jambo bila ya uthibitisho mwingine, ingawa pengine Ukristo unatia maanani pia akili katika ujuzi wa ukweli. Kati ya...
tuktz.org
Taasisi ya Uongozi wa Kikristo Tanzania - Yesu ni Nani?
http://tuktz.org/yesu-ni-nani-3
Mwanzo & Asili ya Dini. Mkristo & Ukristo. Matendo,Matunda au Sheria? Mwanzo & Asili ya Dini. Mkristo & Ukristo. Matendo,Matunda au Sheria? Yesu wa Nazareti ni nani kwako? Maisha yako hapa duniani na ya milele yanaguswa na jibu lako kwa swali hili? Nani, kwa maoni yako, ni…. Mtu wa ajabu kupita watu wote katika nyakati zote? Nani aliyejitokeza kuwa mtu mashuhuri kwa vipindi vyote? Mtu aliyefanya matendo mema kwa wanadamu kupita mwingine? Mtu aliyeishi maisha matakatifu kuliko yeyote aliyewahi kuishi?
tuktz.org
Taasisi ya Uongozi wa Kikristo Tanzania - Mwanzilishi
http://tuktz.org/mwanzilishi-na-mmiliki
Mwanzo & Asili ya Dini. Mkristo & Ukristo. Matendo,Matunda au Sheria? Mwanzo & Asili ya Dini. Mkristo & Ukristo. Matendo,Matunda au Sheria? Elia Gabriel Mahenge ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Taasisi ya Taifa ya Uongozi wa Kikristo Tanzania (TUK). Nia na kusudi la tovuti hii ni kujenga watu katika misingi imara ya ukristo na kueneza Ukristo kila mahali. Nina shauku na ninaona mzigo ambao Mungu ameweka ndani yangu, injili hii niliyo ipata bure na wengine iwafikie vivyo hivyo . Hapo kwanza nalikuwa mtukanaji...
tuktz.org
Taasisi ya Uongozi wa Kikristo Tanzania - Habari
http://tuktz.org/category/habari
Mwanzo & Asili ya Dini. Mkristo & Ukristo. Matendo,Matunda au Sheria? Mwanzo & Asili ya Dini. Mkristo & Ukristo. Matendo,Matunda au Sheria? Posts in the ‘Habari’ Category. Sasa Yametimia – Jiunge. Napenda kukutaarifu sasa kua huduma ya Kupokea Neno la Mungu na Jumbe za mafundisho na Kuimarisha Ndoa kwa mfumo wa meseji kupitia Simu yako ya kiganjani umekamilika. Jiunge! August 5, 2015. Huduma ya Neno & Ndoa. July 27, 2015. Sarah Mvungi: Rose Muhando hajielewi. July 27, 2015. May 1, 2015. Mwenyekiti wa Jum...
tuktz.org
Taasisi ya Uongozi wa Kikristo Tanzania - Shuhuda
http://tuktz.org/category/shuhuda
Mwanzo & Asili ya Dini. Mkristo & Ukristo. Matendo,Matunda au Sheria? Mwanzo & Asili ya Dini. Mkristo & Ukristo. Matendo,Matunda au Sheria? Posts in the ‘Shuhuda’ Category. January 16, 2015. January 16, 2015. Shuhuda ni Kitu gani? November 17, 2014. Leave a Comment (0). Subscribe to TUK Daily Posts. By signing up, you agree to our Terms of Service. Makala za hivi karibuni. Sasa Yametimia – Jiunge. August 5, 2015. Huduma ya Neno & Ndoa. July 27, 2015. Maoni ya hivi karibuni. Maktaba ya makala za nyuma.
tuktz.org
Taasisi ya Uongozi wa Kikristo Tanzania - Maisha ni Nini
http://tuktz.org/maisha-ni-nini
Mwanzo & Asili ya Dini. Mkristo & Ukristo. Matendo,Matunda au Sheria? Mwanzo & Asili ya Dini. Mkristo & Ukristo. Matendo,Matunda au Sheria? Mmojawapo kati ya michoro maarufu ya msanii Paul Gauguin wa kipindi cha baada ya uimpreshonisti. Maana ya maisha ni mojawapo kati ya masuala kuhusu thamani, madhumuni na umuhimu wa binadamu kuwepo duniani na wa maisha kwa jumla. Suala hilo linaweza kujitokeza katika maswali mengi tofauti yanayohusiana, kama vile Mbona tumekuwepo? Na Ni nini maana ya haya yote? Maswal...
tuktz.org
Taasisi ya Uongozi wa Kikristo Tanzania - Walimu
http://tuktz.org/wachungaji
Mwanzo & Asili ya Dini. Mkristo & Ukristo. Matendo,Matunda au Sheria? Mwanzo & Asili ya Dini. Mkristo & Ukristo. Matendo,Matunda au Sheria? Lengo kuu la Huduma hii ni kueneza Injili ya Yesu Kristo kwa watu wote. . Mch wa VCCT Mbezi. Here at VCC we are committed to God and one another to honor God and building one another through worship and the ministry of the Word is our highest goal as we gather together . 255)714 503638,762 441719 & 754 4442632. Subscribe to our Posts. Kua Kibiashara,Tangaza Nasi.
tuktz.org
Taasisi ya Uongozi wa Kikristo Tanzania - Maisha Yajayo
http://tuktz.org/maisha-yajayo
Mwanzo & Asili ya Dini. Mkristo & Ukristo. Matendo,Matunda au Sheria? Mwanzo & Asili ya Dini. Mkristo & Ukristo. Matendo,Matunda au Sheria? Nini Thawabu Yako Katika Maisha Yajayo? Je unaamini juu ya Maisha baada ya haya tuishiyo sasa? Biblia inaandika Yobu 30:23″Kwani utanileta hata kifo, Niifikie nyumba waliyoandikiwa wenye uhai wote” na Ahadi hii ya kifo tunaiona toka mwanzo na vitaby kadha wa kadha ndani ya Biblia. Je tumaini lako nini baada ya Kifo? MTU AKIFA, KUNA NINI BAADAYE? Kwa bahati nzuri, seh...
tuktz.org
Taasisi ya Uongozi wa Kikristo Tanzania - Maombi
http://tuktz.org/maombi
Mwanzo & Asili ya Dini. Mkristo & Ukristo. Matendo,Matunda au Sheria? Mwanzo & Asili ya Dini. Mkristo & Ukristo. Matendo,Matunda au Sheria? Kwa Lugha ya kawaida Ombi ni uhitaji, Maombi ni Kuwa na Uhitaji ama Mahitaji ya kitu fulani lakini ni lazima awepo muomba na Muombwa, Kibiblia Maana ya maombi ni kusema na Mungu au kuhitaji msaada toka kwa Mungu. Isaya 43:26, Unikumbushe, na tuhojiane; eleza mambo yako, upate kupewa haki yako. Dan 9:1 Daniel katika wakati wake alisoma kitabu alichokuwa ameandika nabi...