rugeray.blogspot.com
Rayz of Diamond: J. K. NDANI YA MWANZA
http://rugeray.blogspot.com/2010/08/j-k-ndani-ya-mwanza.html
My Blog, your Blog, it is our Blog.". Monday, August 23, 2010. J K NDANI YA MWANZA. Kipenga cha Kampeni za Wagombea wa nafasi za Urais, Ubunge na Udiwani katika mwaka huu wa uchagazi, ndivyo hivyo kimeshapulizwa. Chama tawala.Chama cha Mapinduzi CCM kupitia kwa Mgombea wake urais Jakaya Kikwete na mgombea mwenza wake Ghalib Bilal imeshazindua rasmi kampeni zake huko jijini Dar es Salaam. Watu wakajitokeza kwa wingi kuwashuhudia Wagombea hao wa CCM:. Maeneo waliyoahidi kuyafanyia kazi zaidi ni kuboresha m...
rugeray.blogspot.com
Rayz of Diamond: December 2010
http://rugeray.blogspot.com/2010_12_01_archive.html
My Blog, your Blog, it is our Blog.". Friday, December 17, 2010. Round of 16 draw. AS Roma v FC Shakhtar Donetsk. AC Milan v Tottenham Hotspur FC. Valencia CF v FC Schalke 04. FC Internazionale Milano v FC Bayern München. Olympique Lyonnais v Real Madrid CF. Arsenal FC v FC Barcelona. Olympique de Marseille v Manchester United FC. FC København v Chelsea FC. Monday, December 6, 2010. Kwa Mwaka huu 2010, Tanzania iliwakilishwa na mwanadada Aneth Kushaba:. Na kisha akawepo mwanadada mwingine Leah Muddy:.
rugeray.blogspot.com
Rayz of Diamond: KINYANG'ANYIRO CHA USPIKA CCM.....
http://rugeray.blogspot.com/2010/11/kinyanganyiro-cha-uspika-ccm.html
My Blog, your Blog, it is our Blog.". Thursday, November 11, 2010. KINYANG'ANYIRO CHA USPIKA CCM. Viwanja vya Bunge mjini Dodoma vimetawaliwa na Vazi la Kijani leo baada ya zaidi ya Wabunge 200 wa Chama cha Mapinduzi CCM kukusanyika pamoja kwa ajili ya uchaguzi wa Mgombea wa Uspika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mama Makinda akiomba kura kutoka kwa Mmoja wa wajumbe wa Mkutano wa Kamati ya Wabunge wa CCM. Na Mama KATE KAMBA. Tangu Tanzania imepata uhuru haijawahi kuwa na kiongozi mkuu mwanamke katika...
rugeray.blogspot.com
Rayz of Diamond: SAFARI YA KUWASILI MJENGONI HIYOOO.........
http://rugeray.blogspot.com/2010/11/kuwasili-mjengoni.html
My Blog, your Blog, it is our Blog.". Thursday, November 11, 2010. SAFARI YA KUWASILI MJENGONI HIYOOO. Wa Kwanza Kushoto ni Ezekiel Dibogo Wenje, mbunge mteule kwa tiketi ya CHADEMA katika jimbo la Nyamagana Mwanza.wa katikati (nyuma) ni Hyness Kiwia, mbunge mteule kwa tiketi ya CHADEMA katika jimbo la Ilemela Mwanza na wa kulia ni Felix Mkosamali (Mwanafunzi wa Mwaka wa Tatu SAUT) ambaye ni Mbunge mdogo kuliko wote (Miaka 24) toka NCCR Mageuzi katika jimbo la Muhambwe Kigoma. Moja kati ya Wabunge wateul...
rugeray.blogspot.com
Rayz of Diamond: KUMEKUCHAAAA......
http://rugeray.blogspot.com/2010/06/kumekuchaaaa.html
My Blog, your Blog, it is our Blog.". Saturday, June 26, 2010. Moja ya vitu ambavyo huwa napenda kuviona katika Dunia hii ni pale Jua linapokuwa linachomoza! Huwa napenda sana hiyo mandhari na wakati mwingine huwa inanifanya nitulie kuangalia hilo tukio zima, wakati huo huo napata nafasi nzuri ya kutafakari mambo mbalimbali. Subscribe to: Post Comments (Atom). HIFADHI YA SERENGETI YAONGEZWA UTAJIRI. Angalia wana blog wengine hapa:. View my complete profile. Simple template. Powered by Blogger.
rugeray.blogspot.com
Rayz of Diamond: November 2010
http://rugeray.blogspot.com/2010_11_01_archive.html
My Blog, your Blog, it is our Blog.". Wednesday, November 24, 2010. BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI 2010 - 2015. 61692; Wizara ya Maji imeunganishwa na Kilimo na hivyo itakuwa ni Wizara ya Kilimo na umwagiliaji. Hapa Kilimo kwanza kimeongezewa nguvu ili kuondokana na kilimo cha msimu. 61692; Kazi, ajira na Vijan; kitengo cha Vijana kimehamishiwa Michezo na Utamaduni. BARAZA LA JIPYA LA MAWAZIRI Lililotangazwa November 24, 2010. 1 Waziri wa nchi Ofisi ya Rais; Uhusino na Uratibu – Stepehn Wasira. 14 Naibu Waziri...
rugeray.blogspot.com
Rayz of Diamond: BIG UP MSECHUUUUUUU........
http://rugeray.blogspot.com/2010/12/big-up-msechuuuuuuu.html
My Blog, your Blog, it is our Blog.". Monday, December 6, 2010. Tusker Project Fame ni shindamo maarufu sana la kuibua vipaji vya Muziki katika ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati. Kwa Mwaka 2010, shindano hilo ambalo huwa linafanyikia nchini Kenya limefikisha awamu ya Nne huku nchi za Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda na Sudan ya Kusini zikishiriki. Kwa Mwaka huu 2010, Tanzania iliwakilishwa na mwanadada Aneth Kushaba:. Na kisha akawepo mwanadada mwingine Leah Muddy:. Peter Msechu ameshika nafasi ya Pi...
rugeray.blogspot.com
Rayz of Diamond: MWANZO MZURI WA UGENINI.....
http://rugeray.blogspot.com/2010/11/mwanzo-mzuri-wa-ugenini.html
My Blog, your Blog, it is our Blog.". Thursday, November 11, 2010. MWANZO MZURI WA UGENINI. Baada ya kuona hizi Picha zifuatazo nikapata fikra kuwa kumbe mwanzo mzuri wa kuwa ugenini ni pale unapopata mapokezi mazuri kutoka kwa wenyeji wako:. Mheshimiwa Freeman Mbowe akikaribishwa mjengoni na Mheshimiwa Anna Kirango. Mheshimiwa Samwel Sitta akimkaribiwa mjengoni Mheshimiwa Lyatonga Mrema. Subscribe to: Post Comments (Atom). BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI 2010 - 2015. KINYANGANYIRO CHA USPIKA CCM.
rugeray.blogspot.com
Rayz of Diamond: August 2010
http://rugeray.blogspot.com/2010_08_01_archive.html
My Blog, your Blog, it is our Blog.". Monday, August 23, 2010. J K NDANI YA MWANZA. Kipenga cha Kampeni za Wagombea wa nafasi za Urais, Ubunge na Udiwani katika mwaka huu wa uchagazi, ndivyo hivyo kimeshapulizwa. Chama tawala.Chama cha Mapinduzi CCM kupitia kwa Mgombea wake urais Jakaya Kikwete na mgombea mwenza wake Ghalib Bilal imeshazindua rasmi kampeni zake huko jijini Dar es Salaam. Watu wakajitokeza kwa wingi kuwashuhudia Wagombea hao wa CCM:. Maeneo waliyoahidi kuyafanyia kazi zaidi ni kuboresha m...
rugeray.blogspot.com
Rayz of Diamond: KIVUMBI IDODOMYA
http://rugeray.blogspot.com/2010/11/kivumbi-idodomya.html
My Blog, your Blog, it is our Blog.". Wednesday, November 10, 2010. Ziliaanza Kampeni na hatimaye Uchaguzi Mkuu umefanyika.viongozi nao wamepatikana: Madiwani, Wabunge na Rais. Mhiumili wa Tatu wa Nchi ni Bunge ambalo nalo pia lina Uongozi wake chini ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mmoja wa Maafisa wa Bunge akiwa amebeba na kuyaingiza bungeni Majoho ya Spika na Naibu wake. Ni nani atachukua dhamana ya kuliongoza Bunge hilo? Tuvute subira kwani uchaguzi ni Ijumaa.