brandpoultryfeed.blogspot.com
CHANGIA MADA | BRAND POULTRY FEED
http://brandpoultryfeed.blogspot.com/2014/04/changia-mada.html
Photo Gallery by Brand Poultry Free.com. Sunday, April 27, 2014. MADA No. 5. Wafugaji bila umoja tunaweza kuboresha soko la bidhaa zetu? MADA No. 4. Upatikanaji wa madokta wa mifugo, unakidhi mahitaji yako? MADA No. 3. Nani anapaswa kupanga bei ya kuku wa nyama (broilers)? Dr Lihundu A. A. MADA No. 2. Je, unaweza kupanga bei ya kuku (broilers) kwa mnunuzi bila kujali ubora wa kuku wako? Dr Lihundu A. A. Posted by Brand Poultry Feed. July 24, 2014 at 11:02 AM. Subscribe to: Post Comments (Atom). MAMBO YA ...
brandpoultryfeed.blogspot.com
DARASA LA UFUGAJI | BRAND POULTRY FEED
http://brandpoultryfeed.blogspot.com/2015/05/darasa-la-ufugaji.html
Photo Gallery by Brand Poultry Free.com. Monday, May 18, 2015. FAIDA ZA UFUGAJI KUKU. Tunafaham kuwa unajua faida za kuku lakini ngoja tukumbushe yafuatayo kuhusu faida za ufugaji kuku. Kuku ni chanzo cha haraka cha pesa kwa kuuza kuku au mayai. Kuku wanaweza kabisa kukuongezea kipato na kukuondolea kabisa umaskini. Nyama ya kuku na mayai ni protini muhimu kwa familia, yaan watoto, wagonjwa na hata wazee. Kinyesi cha kuku pia ni mbolea, lakini kama haitoshi maganda ya mayai na manyoya ni mapambo. KIPINDU...
brandpoultryfeed.blogspot.com
MWANZO | BRAND POULTRY FEED
http://brandpoultryfeed.blogspot.com/p/mwanzo.html
Photo Gallery by Brand Poultry Free.com. Brand Poultry Feed ni watengenezaji wa chakula bora cha kuku wa nyama, mayai na wakienyeji. kupitia blog hii tunatoa mafunzo mbalimbali yanayo husu mifugo hususan kuku wa nyama, mayai na wakienyeji. July 31, 2014 at 1:00 PM. August 1, 2014 at 4:46 AM. Subscribe to: Posts (Atom). MDONDO/KIDERI (NEWCASTLE DISEASE) Ni ugonjwa unaowapata jamii ya ndege ambao unasababishwa na vimelea aina ya paramyxovirus. Kuenea k. UGONJWA WA KUHARA DAMU KWA KUKU (COCCIDIOSIS). ATHARI...
brandpoultryfeed.blogspot.com
DARASA LA UFUAJI | BRAND POULTRY FEED
http://brandpoultryfeed.blogspot.com/2015/07/darasa-la-ufuaji.html
Photo Gallery by Brand Poultry Free.com. Wednesday, July 29, 2015. ULISHAJI WA KUKU WA MAYAI (LAYERS). Kuku wa mayai ili watage vizuri wanatakiwa walishwe chakula bora kwa utaratibu unaotakiwa, ukiwazidishia au kuwaongezea hawatotaga vizuri. Wanatakiwa walishwe kati na kati kulingana na umri kama ifuatavyo:-. UMRI WA WIKI 1 -2. Katika umri huu wanapewa chakula aina ya " Super Starter. Wiki ya 1: Gramu 12 kwa kuku mmoja kwa siku moja. Wiki ya 2: Gramu 22 kwa kuku mmoja kwa siku moja. UMRI WA WIKI 3 - 8.
brandpoultryfeed.blogspot.com
UGONJWA WA KUHARA DAMU KWA KUKU (COCCIDIOSIS) | BRAND POULTRY FEED
http://brandpoultryfeed.blogspot.com/2014/04/ugonjwa-wa-kuhara-damu-kwa-kuku.html
Photo Gallery by Brand Poultry Free.com. Thursday, April 10, 2014. UGONJWA WA KUHARA DAMU KWA KUKU (COCCIDIOSIS). Ni ugonjwa wa kuhara damu unaosababishwa na vijidudu wajulikanao kwa jina la "Protozoa". Wadudu hawa hushambulia sehemu mbalimbali za utumbo wa kuku. Unyevu kwenye matandazo/maranda (litter material). Kutobadilisha matandazo/maranda kwa muda mrefu. Kuhamishia vifaranga kwenye sehemu waliyokuwa wanakaa kuku wakubwa bila kufanya usafi. Kuharisha; kwanza kinyesi huanza kuwa laini. MDONDO/KIDERI ...
brandpoultryfeed.blogspot.com
DARASA LA UFUGAJI | BRAND POULTRY FEED
http://brandpoultryfeed.blogspot.com/2015/06/darasa-la-ufugaji_24.html
Photo Gallery by Brand Poultry Free.com. Wednesday, June 24, 2015. Kuna baadhi ya wafugaji huwa wanafuga kwa kutegemea uzoefu walionao katika ufugaji bila ya kujali kuwa kuna mabadiliko kila siku katika sekta ya mifugo, wengi wao huwa wanatatua kesi mbalimbali zinazotokea katika ufugaji kwa kutumia uzoefu hali ambayo inawasababishia kupata hasara kubwa isiyo ya lazima. Yafuatayo ni baadhi ya mazoea yanayowagharimu wafugaji:-. 1 KUINGIZA VIFARANGA BILA MAANDALIZI SAHIHI. USHAURI: Sio kila mfugaji mzoefu a...
brandpoultryfeed.blogspot.com
MDONDO/KIDERI (NEWCASTLE DISEASE) | BRAND POULTRY FEED
http://brandpoultryfeed.blogspot.com/2015/03/mdondokideri-newcastle-disease.html
Photo Gallery by Brand Poultry Free.com. Sunday, March 29, 2015. Ni ugonjwa unaowapata jamii ya ndege ambao unasababishwa na vimelea aina ya paramyxovirus. Ugonjwa wa Mdondo (Newcastle disease) huenea kupitia njia mbalimbali kama zifuatazo:-. Mayai ya kuku aliyeugua ugonjwa wa mdondo/kideri (Newcastle disease). Kugusana na kuku mgonjwa. Kupitia maji yenye maambukizi. Wakati wa totoleshaji vifaranga. Hewa yenye maambukizi ya ugonjwa huu. Dalili za Mdondo/Kideri (Newcastle disease). 2 Kutoa udenda mdomoni.
brandpoultryfeed.blogspot.com
CHANGIA MADA | BRAND POULTRY FEED
http://brandpoultryfeed.blogspot.com/p/changia-mada.html
Photo Gallery by Brand Poultry Free.com. Wafugaji bila umoja tunaweza kuboresha soko la bidhaa zetu? Wapendwa wadau wetu wa ukurasa wetu wa changia mada napenda kuwasalimu wote na kuwakaribisha katika ukurasa wetu. Katika ukurasa wetu wa changia mada tutakuwa tunawaletea mada kisha nyinyi mnachangia mawazo yenu, ambapo mada zingine zitakuwa na pande mbili lakini mwisho tunapata hitimisho sahihi. Kitu cha kuzingatia ni kwamba mada zetu zote zina husiana na ufugaji. MADA No. 1. Dr Lihundu A.A. KIPINDUPINDU...
brandpoultryfeed.blogspot.com
VIDEOS | BRAND POULTRY FEED
http://brandpoultryfeed.blogspot.com/p/videos.html
Photo Gallery by Brand Poultry Free.com. August 1, 2014 at 12:32 PM. Hivi mnatengeneza chakula cha kuku wa kienyeji? August 1, 2014 at 3:59 PM. Ndiyo, tunacho chakula cha kuku wa kienyeji pia, ambacho kipo katika makundi matatu nayo ni:-. 1 Kienyeji chick starter. 2 Kienyeji developer na. Ahsante kwa kuuliza na karibu kwa maswali zaidi. Subscribe to: Posts (Atom). MDONDO/KIDERI (NEWCASTLE DISEASE) Ni ugonjwa unaowapata jamii ya ndege ambao unasababishwa na vimelea aina ya paramyxovirus. Kuenea k. SEHEM Z...
brandpoultryfeed.blogspot.com
MINYOO YA KUKU (2) | BRAND POULTRY FEED
http://brandpoultryfeed.blogspot.com/2015/05/minyoo-ya-kuku-2.html
Photo Gallery by Brand Poultry Free.com. Sunday, May 17, 2015. MINYOO YA KUKU (2). ATHARI ZA MINYOO KWA KUKU. Minyoo kwa kuku ina athari nyingi, athari ambazo zinaweza hadi kumpatia hasara mfugaji kama hatozingati ratiba ya kuwapa dawa ya minyoo kuku wake kila baada ya miezi mitatu. Athari za minyoo kwa kuku ni kama zifuatazo:-. Posted by Brand Poultry Feed. Subscribe to: Post Comments (Atom). UGONJWA WA KUHARA DAMU KWA KUKU (COCCIDIOSIS). UJENZI WA BANDA BORA LA KUKU. KIPINDUPINDU CHA KUKU (FOWL CHOLERA).