cercoldonyosambu.blogspot.com
WELLCOME TO CERC OLDONYOSAMBU WARD: February 2011
http://cercoldonyosambu.blogspot.com/2011_02_01_archive.html
WELLCOME TO CERC OLDONYOSAMBU WARD. Karibu kituo cha nishati. KITUO CHA NISHATI MBADALA KATA YA OLDONYOSAMBU. Thursday, February 24, 2011. KWANINI NITUMIE MFUMO WA PANELI ZA UMEMEJUA? 1 Unatoa mwanga wa kutosha kunapokuwa na giza;. 2 Huepusha magonjwa ya kupumua yanayosabishwa na taa zinazotumia mafuta ya taa ;. 3 Unatoa fursa ya kuchaji simu na kusikiliza redio;. 4 Ni teknolojia ya uhakika ;. 5 Unahitaji ukarabati mdogo na rahisi;. 6 Unaweza kuubadilisha kwa kuongeza paneli au betri baadae. COMMUNITY EN...
cercoldonyosambu.blogspot.com
WELLCOME TO CERC OLDONYOSAMBU WARD: October 2010
http://cercoldonyosambu.blogspot.com/2010_10_01_archive.html
WELLCOME TO CERC OLDONYOSAMBU WARD. Karibu kituo cha nishati. KITUO CHA NISHATI MBADALA KATA YA OLDONYOSAMBU. Wednesday, October 20, 2010. THE COMMUNITY DEVELOPMENT ACTIVITIES PROVIDED BY CERC MEMBERS. Project jiko janja fundi together with the community womens while finishing the jiko at oldonyosambu secondary school, this jiko built in help of the project funds, in sustainability of provision of reliable energy. COMMUNITY ENERGY RESOURCE CENTER OLDONYOSAMBU WARD. Wednesday, October 13, 2010. In recent ...
cercngarenanyuki.blogspot.com
YOU ARE WELLCOME TO CERC NGARENANYUKI WARD: GRACE ELIPHAS AUTOBIOGRAPHY
http://cercngarenanyuki.blogspot.com/2010/11/grace-eliphas-autobiograph.html
YOU ARE WELLCOME TO CERC NGARENANYUKI WARD. Karibu kituo cha nishati ngarenanyuki. Thursday, November 11, 2010. Hi everybody my name is Grace Eliphas. I live at kisimiri in. Kisimiri village on the slope of the mountain meru, the second highest in Tanzania. Completed form four in 2006(two thousand and six) at Kisimiri Secondary school, after completed I was join at Mshikamano. To study Hotel Management, after completed I go to Momela Wildlife Life Lodge. Training Centre to study computer &English course.
cercngarenanyuki.blogspot.com
YOU ARE WELLCOME TO CERC NGARENANYUKI WARD: ENVIRONMENTAL ASPECTS IN NGARENANYUKI
http://cercngarenanyuki.blogspot.com/2010/11/environmental-aspects-in-ngarenanyuki.html
YOU ARE WELLCOME TO CERC NGARENANYUKI WARD. Karibu kituo cha nishati ngarenanyuki. Tuesday, November 23, 2010. ENVIRONMENTAL ASPECTS IN NGARENANYUKI. Are the main sources of water in our villages, there is so many small streams which are mainly used for small irrigations schemes, so polluting the streams means we destroy our environment in one or another way. this nice water is coming from the top of the mountain Meru. The highest in AFRICA. One of the village house in Olkung'wado. Mama na jiko la biogas.
cercngarenanyuki.blogspot.com
YOU ARE WELLCOME TO CERC NGARENANYUKI WARD: ELIAREMISA AUTOBIOGRAPH
http://cercngarenanyuki.blogspot.com/2010/11/eliaremisa-autobiograph.html
YOU ARE WELLCOME TO CERC NGARENANYUKI WARD. Karibu kituo cha nishati ngarenanyuki. Tuesday, November 9, 2010. My name is Eliaremisa Richard I live at ngarenanyuki Arusha, TANZANIA. In my family I, am third born. I stay with my parent I, am a single I completed form four 2009 at kisimiri secondary school. After completing the school, I joined with computer training at Community Energy Resources Center (CERC), provided with BESTRAY PROJECT. In my side I like to learning Biology. Mama na jiko la biogas.
cercngarenanyuki.blogspot.com
YOU ARE WELLCOME TO CERC NGARENANYUKI WARD: GHARAMA YA UJENZI WA MTAMBO WA NISHATI
http://cercngarenanyuki.blogspot.com/2011/01/gharama-ya-ujenzi-wa-mtambo-wa-nishati.html
YOU ARE WELLCOME TO CERC NGARENANYUKI WARD. Karibu kituo cha nishati ngarenanyuki. Tuesday, January 18, 2011. GHARAMA YA UJENZI WA MTAMBO WA NISHATI. JE INAGHARIMU KIASI GANI? Gharama ya ujenzi wa mtambo wa nishati ya gesi huanzia Shilingi Milioni 1 kwa mtambo mdogo. Gharama huongezeka kutegemea ukubwa wa mtambo, upatikanaji wa vifaa na usafiri. Wasiliana na Vituo vya Nishati na Mafundi kwenye jamii yako kupata bei kamili. Waulize kama Camartec au Oikos wanatoa ruzuku na watembelee ili kuhakiki. Watermar...
cercngarenanyuki.blogspot.com
YOU ARE WELLCOME TO CERC NGARENANYUKI WARD: January 2011
http://cercngarenanyuki.blogspot.com/2011_01_01_archive.html
YOU ARE WELLCOME TO CERC NGARENANYUKI WARD. Karibu kituo cha nishati ngarenanyuki. Tuesday, January 25, 2011. MITAMBO YA NISHATI YA BIOGAS. MTAMBO WA NISHATI YA GESI (BIOGAS) NI CHAGUO LA KISASA. Unaweza kujenga mtambo wa nishati ya gesi kama unafuga ng’ombe na una uhakika wa kupata maji na kinyesi cha kutosha. Mtambo wa Nishati ya Gesi unaweza kutengeneza takriban gesi ya kupikia kwa masaa mawili hadi nane kwa siku kutegemea ukubwa wa mtambo na kiasi cha malighafi inayotumika. Kwa maelezo zaidi( bonyeza.
cercngarenanyuki.blogspot.com
YOU ARE WELLCOME TO CERC NGARENANYUKI WARD: MANUFAA YA MITAMBO YA NISHATI YA GESI
http://cercngarenanyuki.blogspot.com/p/manufaa-ya-mitambo-ya-nishati-ya-gesi.html
YOU ARE WELLCOME TO CERC NGARENANYUKI WARD. Karibu kituo cha nishati ngarenanyuki. MANUFAA YA MITAMBO YA NISHATI YA GESI. Hutumia kinyesi cha mifugo kama malighafi ya kutengenezea nishati;. Hutoa nishati ya kupikia kwa muda wa miaka 35 ijayo;. Hutoa nishati rafiki kwa mazingira na ni chanzo cha nishati. Kinacholinda afya kwa vile hakitoi moshi kinapowashwa;. Inatoa mbolea ya thamani kubwa,ambayo ni mabaki kutokana na kinyesi kilichotumika kutengenezea nishati;. Zizi Linakuwa safi wakati wote wa mwaka.
cercngarenanyuki.blogspot.com
YOU ARE WELLCOME TO CERC NGARENANYUKI WARD: MAELEZO ZAIDI YA MITAMBO YA BIOGESI
http://cercngarenanyuki.blogspot.com/p/maelezo-zaidi-ya-mitambo-ya-biogesi.html
YOU ARE WELLCOME TO CERC NGARENANYUKI WARD. Karibu kituo cha nishati ngarenanyuki. MAELEZO ZAIDI YA MITAMBO YA BIOGESI. Unaweza kuchagua ukubwa wa mtambo wa nishati ya gesi kutegemea idadi ya mifugo uliyonayo na mahitaji yako ya nishati. Idadi ya Ng’ombe. Masaa ya kupika kwa siku:. Idadi ya Ng’ombe. Masaa ya kupika kwa siku. 2 → 3. Idadi iliyoonyeshwa ni ya ng’ombe wanaolishwa kwenye zizi muda wote ambapo kinyesi hupatikana kutoka kwenye zizi. JE, UNAHITAJI NINI KUWA NA MTAMBO WA NISHATI YA GESI? MANUFAA...