afrokija.blogspot.com
afrokija: Msanii Angel aolewa kimya kimya
http://afrokija.blogspot.com/2013/09/msanii-angel-aolewa-kimya-kimya.html
Tuesday, September 10, 2013. Msanii Angel aolewa kimya kimya. Msanii wa filamu nchini anayekuja kwa kasi katika anga za muziki na filamu ajulikanae kwa jina la Sabby Angle ambae makazi yake ni nchini uingereza amefunga ndoa ya siri na mchumba wake wa siku nyingi. Salaam.yeah nimeshaolewa. Na Dr.Mohamed Osman. Kutoka england. Harusi ilikuwa tareh 1. September na kwasasa Tuko hapa.ila nina mpango wa kwenda UK baada mda mchache. Hard Price. ya kampuni ya Rj chini ya ray na johari. Na Coincidence....Na hi...
afrokija.blogspot.com
afrokija: Baby Madaha ala Bingo la mkataba mpya
http://afrokija.blogspot.com/2013/09/baby-madaha-ala-bingo-la-mkataba-mpya.html
Wednesday, September 11, 2013. Baby Madaha ala Bingo la mkataba mpya. Mwanadada anayefanya vizuri sana kwenye muziki na filamu,baby Madaha amelamba bingo ya uhakika na kampuni ya Candy n’ Candy Records Label ya jijini Nairobi iliyomsainisha mkataba msanii mwingine wa Tanzania Mr.Nice hivi karibuni. Subscribe to: Post Comments (Atom). Naitwa Kijah Producer wa Hotmix kipindi kinachoruka kila Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa 11 hadi saa 1 jioni kikiendeshwa na presenters wakali Adrian Hillary Stepp na Fatn...
afrokija.blogspot.com
afrokija: Rado asema Bongo movie wanasubiri ufariki ndio wajitokeze
http://afrokija.blogspot.com/2013/09/rado-asema-bongo-movie-wanasubiri.html
Thursday, September 12, 2013. Rado asema Bongo movie wanasubiri ufariki ndio wajitokeze. MSANII wa filamu na mtayarishaji pia wa filamu Bongo Simon Mwakipagata ‘Rado’ amelishutumu na kulilaumu kundi la filamu la Bongo Movie Unity kwa kukosa upendo na kushindwa kusaidia katika matatizo, Rado aliyasema hayo kufuatia hivi karibuni kupata ajali ya gari na kujikuta akijiuguza pekee yake bila kupata faraja kutoka kundi hilo wakati yeye ni katibu wa kundi hilo. Subscribe to: Post Comments (Atom). Naitwa Kijah P...
afrokija.blogspot.com
afrokija: KWACHU KWACHU
http://afrokija.blogspot.com/p/kwachu-kwachu.html
Subscribe to: Posts (Atom). Naitwa Kijah Producer wa Hotmix kipindi kinachoruka kila Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa 11 hadi saa 1 jioni kikiendeshwa na presenters wakali Adrian Hillary Stepp na Fatna Ramole kupitia EATV, pia ni mtangazaji wa kipindi cha Afrosunday kinachoruka kila jumapili saa 1 jioni mpaka saa 4 usiku kupitia East Africa Radio. Together tunawakilisha. View my complete profile. Waweza pita na humu. The Way You See The Problem Is The Problem". Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Ger...
afrokija.blogspot.com
afrokija: Tanzania hatarini kuvamiwa na Al shaabab
http://afrokija.blogspot.com/2013/09/tanzania-hatarini-kuvamiwa-na-al-shaabab.html
Thursday, September 26, 2013. Tanzania hatarini kuvamiwa na Al shaabab. WAKATI wananchi wa Afrika Mashariki wakijawa na hofu ya mashambulio yanayopangwa kufanywa na vikundi vya ugaidi vya Al Qaeda na Al Shabab, imebainika kuna Watanzania waliopewa mafunzo ya ugaidi wanaojiandaa kufanya maovu. Hayo yamebainika siku chache baada ya wanamgambo wa kundi la Al Shabab kufanya mashambulio katika Jengo la Biashara la Westgate mjini Nairobi na kuua watu zaidi ya 70 na kuacha mamia wengine wakiwa wamejeruhiwa.
afrokija.blogspot.com
afrokija: Lulu apokea vitisho kisa kufunika uzinduzi wa Foolish Age
http://afrokija.blogspot.com/2013/09/lulu-apokea-vitisho-kisa-kufunika.html
Thursday, September 12, 2013. Lulu apokea vitisho kisa kufunika uzinduzi wa Foolish Age. KUFANIKIWA kwa uzinduzi wa filamu ya Foolish Age ya msanii Elizabeth Michael ‘Lulu’ uliofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, kumemfanya kinda huyo anayetingisha katika tasnia hiyo kupata vitisho kutoka kwa mastaa wenzake. Taarifa hizo zinasema staa huyo wa Bongo Muvi anatafutwa kwa kila namna, usiku na mchana ili kuhakikisha nyota yake inafifia. Mwandishi: Mambo vipi Lulu? Mwandis...
afrokija.blogspot.com
afrokija: Jokate akanusha kumegana na Lucci
http://afrokija.blogspot.com/2013/09/jokate-akanusha-kumegana-na-lucci.html
Wednesday, September 11, 2013. Jokate akanusha kumegana na Lucci. Mwanamitindo ambaye pia kw saa amejikita katika tasnia ya muziki akijulikana kama Jokate Mwegelo au maarufu kama Kidoti ambae kwa sasa anatamba zaidi na ile ngoma ambayo amefanya na Producer Lucci inayoitwa Kaka Dada. Kutoka mtandao wa instagram kupitia ukurasa wa Kidoti ameonekana kufunguka juu ya mahusiano yake ya producer huyo. Cheki huu ndio ujumbe alioandika msanii Jokate masaa machache kutoka Instagram. View my complete profile.
afrokija.blogspot.com
afrokija: NYEPESI NYEPESI
http://afrokija.blogspot.com/p/nyepesi-nyepesi.html
Mwanadada anayekimbiza katika muziki wa Taarab nchini ambae pia ni Mkurugenzi wa kundi la Mashauzi Classic lenye makazi yake jijini Dar Es Salaam, Isha Ramadhani a.k.a Isha Mashauzi amemefunguka kuhusu uhusiano wake na mwanamuziki na kiongozi mwenzake wa kundi hilo la Mashauzi Classic "Thabit Abdul". Akizungumza na kipindi cha Afrobeat ya Eatv hivi karibuni kati ya mengi aliyozungumza ni pamoja na uhusiano wake na mwanamuziki huyo. Subscribe to: Posts (Atom). View my complete profile. Waweza pita na humu.
afrokija.blogspot.com
afrokija: 50 CENT aanza kufulia
http://afrokija.blogspot.com/2013/09/50-cent-aanza-kufulia.html
Wednesday, September 25, 2013. 50 CENT aanza kufulia. Miaka mitatu kama sio miwili iliyopita 50 Cent alikuwa akishikilia nafasi za juu kabisa huku akinyemelea nyao za Jay Z na P Diddy. Kwenye mtiririko ambao unatolewa na Forbes, 5o Cent ameshika nafasi ya 19 kwenye list ya wasanii wa hip hop wanaoongoza kuwa na hela nyingi. 50 Cent amepitwa na wasinii ambao wamechipukia kwenye game kama Kendrick Lamar na Macklemore. Subscribe to: Post Comments (Atom). View my complete profile. Waweza pita na humu. Na Ele...