liwazozito.blogspot.com
LIWAZO ZITO BLOG: YANGA HIYOOO ROBO FAINALI KOMBE LA KAGAME
http://liwazozito.blogspot.com/2015/07/yanga-hiyooo-robo-fainali-kombe-la.html
KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com. Sunday, July 26, 2015. YANGA HIYOOO ROBO FAINALI KOMBE LA KAGAME. WAWAKILISHI wa Tanzania katika michuano ya soka ya Kombe la Kagame, Yanga jana walifuzu kucheza robo fainali baada ya kuichapa Khartoum ya Sudan bao 1-0 katika mechi iliyopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Akizungumza baada ya Azam kuicharaza Adama City ya Ethiopia mabao 5-0, Hall alisema kikosi chake kimefanya ...
tanzaniakwanzadaima.blogspot.com
TANZANIA KWANZA: ATCL YATANGAZA NAULI MPYA ZA BOMBADIER
http://tanzaniakwanzadaima.blogspot.com/2016/10/atcl-yatangaza-nauli-mpya-za-bombadier.html
Thursday, 6 October 2016. ATCL YATANGAZA NAULI MPYA ZA BOMBADIER. SHIRIKA la Ndege la Air Tanzania (ATCL), limetangaza gharama za tiketi kwa ndege zake aina ya Bombadier, kwenye mikoa minne ya awali ya Tanzania Bara na Zanzibar. Hatua hiyo inakuja ikiwa ni wiki chache tangu Rais Dk. John Magufuli, azindue ndege mbili mpya za shirika hilo, aina ya Bombadier Q-400, zenye uwezo wa kubeba abiria 76 kila moja. Zilionyesha kuwa ndege hizo zitaanza kutoa huduma mikoa mitatu ya Tanzania Bara na Zanzibar. Tiketi ...
tanzaniakwanzadaima.blogspot.com
TANZANIA KWANZA: KESI YA KUPINGA UBUNGE KILOMBERO KESHOKUTWA
http://tanzaniakwanzadaima.blogspot.com/2016/03/kesi-ya-kupinga-ubunge-kilombero.html
Wednesday, 2 March 2016. KESI YA KUPINGA UBUNGE KILOMBERO KESHOKUTWA. MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, Ijumaa ijayo itasikiliza pingamizi la awali lililowasilishwa katika kesi ya kupinga matokeo ya ubunge wa Jimbo la Kilombero, mkoani Morogoro, iliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea wa kiti hicho wa CCM, Abubakar Asenga. Jaji Edson Mkasimongwa, alipanga juzi tarehe hiyo ya kusikiliza pingamizi hilo la awali. Akisoma uamuzi huo, Jaji Mkasimongwa alipokea utetezi huo na pingamizi hilo la awal...
tanzaniakwanzadaima.blogspot.com
TANZANIA KWANZA: MAJALIWA AONYA VITA YA MADIWANI NA WATUMISHI
http://tanzaniakwanzadaima.blogspot.com/2017/01/majaliwa-aonya-vita-ya-madiwani-na.html
Sunday, 8 January 2017. MAJALIWA AONYA VITA YA MADIWANI NA WATUMISHI. WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa idara kwenye halmashauri za wilaya na manispaa, wasaidie kutoa utaalamu ili wafanikishe maendeleo badala ya kupingana na madiwani. Pia, amewataka madiwani wasikilize ushauri wa kitaalamu unaotolewa na wakuu wa idara katika utekelezaji wa miradi iliyotengwa na halmashauri. Aidha, amepiga marufuku matumizi holela ya fedha za umma. 8220;Kuanzia leo, marufuku kwa fedha iliyokusanywa kwa mapat...
tanzaniakwanzadaima.blogspot.com
TANZANIA KWANZA: ABAMBWA NA POLISI AKIFUKUA KABURI LA ALBINO
http://tanzaniakwanzadaima.blogspot.com/2017/01/abambwa-na-polisi-akifukua-kaburi-la.html
Thursday, 5 January 2017. ABAMBWA NA POLISI AKIFUKUA KABURI LA ALBINO. MKAZI wa Chapakazi, mkoani Mbeya, Jonas John (28), amekamatwa na polisi akiwa anafukua kaburi la marehemu Sista Osisara, aliyefariki miaka sita iliyopita, ambaye alikuwa mlemavu wa ngozi. John, alikutwa akifukua kaburi la marehemu Osisara, aliyefariki mwaka 2010, kwa lengo la kuchukua viungo vyake vya mwili. Aliongeza kuwa, mtuhumiwa alikuwa na wenzake wawili, ambao walifanikiwa kukimbia. 8220;Jamii inatakiwa kuachana na tamaa ya kupa...
tanzaniakwanzadaima.blogspot.com
TANZANIA KWANZA: MWINGINE AUAWA KWA KUFUKUA KABURI LA ALBINO
http://tanzaniakwanzadaima.blogspot.com/2017/01/mwingine-auawa-kwa-kufukua-kaburi-la.html
Sunday, 8 January 2017. MWINGINE AUAWA KWA KUFUKUA KABURI LA ALBINO. SAKATA la kufukua kaburi alilozikwa marehemu Sista Osisara, ambaye alikuwa mlemavu wa ngozi, aliyefariki miaka sita iliyopita, limechukua sura mpya baada ya mtu mmoja kuuawa na wananchi wakati akijaribu kulifukua tena. Usiku wa kuamkia Aprili 4, mwaka huu, mkazi wa Chapakazi, Jonas John(28), alitiwa mbaroni na polisi, ambapo wenzake wawili aliokuwa nao walifanikiwa kukimbia. Kwa mujibu wa Kidavashari, kutokana na hali hiyo, wananchi wa ...
tanzaniakwanzadaima.blogspot.com
TANZANIA KWANZA: MAJAMBAZI HATARI YAUAWA DAR, YADAIWA KUHUSIKA NA MAUAJI YA MWANZA NA TANGA, YAKUTWA NA MABOMU
http://tanzaniakwanzadaima.blogspot.com/2016/06/majambazi-hatari-yauawa-dar-yadaiwa.html
Tuesday, 28 June 2016. MAJAMBAZI HATARI YAUAWA DAR, YADAIWA KUHUSIKA NA MAUAJI YA MWANZA NA TANGA, YAKUTWA NA MABOMU. JAMBAZI sugu Salum Said, aliyekuwa akituhumiwa kuhusika na mauaji yaliyotokea msikitini mkoani Mwanza, ameuawa wakati wa majibizano ya kurushiana risasi na polisi. Kamishna wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro, alisema hayo jana, mjini Dar es Salaam, alipozungumza na waandishi wa habari. Kuhusu mtuhumiwa wa mauaji yaliyotokea Tanga, Kamishna Sirro alisema Juni 25, mwaka h...
tanzaniakwanzadaima.blogspot.com
TANZANIA KWANZA: LEMA AZIDI KUGONGA MWAMBA
http://tanzaniakwanzadaima.blogspot.com/2017/01/lema-azidi-kugonga-mwamba.html
Thursday, 5 January 2017. LEMA AZIDI KUGONGA MWAMBA. JITIHADA za mawakili wa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema za kumtafutia dhamana, zimeendelea kugonga mwamba baada ya upande wa Jamhuri kuwasilisha notisi ya kupinga rufani yao katika Mahakama ya Rufani. Kufuatia notisi hiyo, iliyosajiliwa Desemba 30, mwaka jana, katika Masjala ya Mahakama ya Rufani Arusha, shauri la dhamana ya Lema sasa litatinga Mahakama ya Rufani katika siku itakayopangwa. Akizungumza nje ya mahakama hiyo, Wakili wa utetezi, John...
tanzaniakwanzadaima.blogspot.com
TANZANIA KWANZA: WAFUGAJI 50 WANYWA MKONO NA DAMU KUJINUSURU
http://tanzaniakwanzadaima.blogspot.com/2017/01/wafugaji-50-wanywa-mkono-na-damu.html
Sunday, 8 January 2017. WAFUGAJI 50 WANYWA MKONO NA DAMU KUJINUSURU. MTU aliyetambuliwa kwa jina moja la Mzigua, amewatapeli wafugaji takriban 50, kiasi cha sh. milioni tano, kisha kuwatelekeza kwa siku tano katikati ya Pori la Akiba la Selous, Kanda ya Kaskazini Mashariki, eneo la Kingupira. Kwa mujibu wa mmoja wa wafugaji hao, Risasi Cherehani, walitoa sh. milioni tano kwa makubaliano kuwa, Mzigua angewapitisha njia fupi wakiambatana na mifugo yao, ambayo ni ng'ombe 1780, kondoo 200 na punda sita.
tanzaniakwanzadaima.blogspot.com
TANZANIA KWANZA: MAJALIWA: MADIWANI WASIPEWE FEDHA ZA MAENDELEO MKONONI
http://tanzaniakwanzadaima.blogspot.com/2017/01/majaliwa-madiwani-wasipewe-fedha-za.html
Thursday, 5 January 2017. MAJALIWA: MADIWANI WASIPEWE FEDHA ZA MAENDELEO MKONONI. WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wakurugenzi wa halmashauri na manispaa nchini, kuacha kutoa fedha taslimu na kuwapa madiwani ili zikafanye kazi za maendeleo. Badala yake, amewataka waandae mfumo maalumu wa kutoa fedha hizo kama zinavyotolewa fedha za mfuko wa jimbo, ambazo ni maalumu kwa wabunge, lakini zinatumika kwa shughuli za maendeleo jimboni. 8220;Lazima tukishakusanya tuangalie tumepata kiasi gani, siyo kukaa ...