ommykiss.blogspot.com
OMMYKISS: Nyota wa Bayern "Ribery" ahojiwa na polisi
http://ommykiss.blogspot.com/2010/07/nyota-wa-bayern-ribery-ahojiwa-na.html
Karibu leo na kila siku. Wednesday, July 21, 2010. Nyota wa Bayern "Ribery" ahojiwa na polisi. Mchezaji nyota wa soka wa kimataifa wa timu ya Bayern Munich,Frank Ribery, alizuiliwa na maafisa wa polisi hapo jana na kuhojiwa , akishukiwa kushiriki katika kitendo cha ngono kwa malipo na kahaba mwenye umri mdogo. Subscribe to: Post Comments (Atom). FORODHANI TOURS and SAFARIS. General Manager: Salum H Mohammed. KWA MAELEZO ZAIDI :. Kwa huduma bora za usafiri wa anga wasiliana nao:. MOB:( 255) 773 111008.
ommykiss.blogspot.com
OMMYKISS: Ng’o sitopiga Hapana
http://ommykiss.blogspot.com/2010/07/ngo-sitopiga-hapana.html
Karibu leo na kila siku. Wednesday, July 21, 2010. Ng’o sitopiga Hapana. Naikumbuka Zanzibar nzuri ambayo imenilea, kunitunza kwa utulivu na amani. Maumbile mazuri ambayo macho yangu yalipofungua kutoka kwa mama mzazi yalinilaki na kunipongeza huku yakanikaribisha kwa bashasha na furaha nyingi. Mazingira yenye harufu ya manukato yenye kuleta kila ainaya furaha na faraja. Zanzibar iliokuwa njema, amani, utulivu, upendo na ukarimu. Zanzibar ambayo matunda na vyakula mbali mbali yalioteshwa na kuwafanya wat...
ommykiss.blogspot.com
OMMYKISS: UKIMWI NA CHANJO
http://ommykiss.blogspot.com/2010/07/ukimwi-na-chanjo.html
Karibu leo na kila siku. Monday, July 19, 2010. Shamrashamra nyingi tulizisikia hivi karibuni pale watafiti wa NIH nchini Marekani walipotoa ripoti. Ambayo ni habari njema katika vita dhidi ya Ukimwi. Watafiti hawa wameeleza kuwa wamegundua chembechembe, yaani antibodies, zenye uwezo mkubwa wa kuzuia kirusi cha ukimwi (HIV) kuingia kwenye seli nyeupe za damu — kwa 90% — na hivyo kusitisha mazaliano ya HIV. 8217; na kusikia vijana wakianza kuongelea (labda kushangilia) ngono isiyo salama, πβ%ϕЖ&! Ripoti h...
ommykiss.blogspot.com
OMMYKISS: MOURINHO AMTAKA ASHLEY COLE
http://ommykiss.blogspot.com/2010/07/mourinho-amtaka-ashley-cole.html
Karibu leo na kila siku. Monday, July 26, 2010. MOURINHO AMTAKA ASHLEY COLE. Kocha mpya wa timu ya Real Madrid Jose Mourinho ametangaza dau la Pound milioni 20 kwa mlinzi wa kushoto wa timu ya Chelsea Ashley Cole. Vyanzo kutoka Real vimeeleza kwamba Mourinho anataka wachezaji ambao wana uzoefu kwa hivyo Ashley cole anafaa. Subscribe to: Post Comments (Atom). FORODHANI TOURS and SAFARIS. General Manager: Salum H Mohammed. KWA MAELEZO ZAIDI :. Kwa huduma bora za usafiri wa anga wasiliana nao:. Zanzibar Tan...
ommykiss.blogspot.com
OMMYKISS: KILA MTU ANA HAKI YA KUOGELEA NA KUFURAHI
http://ommykiss.blogspot.com/2010/07/kila-mtu-ana-haki-ya-kuogelea-na.html
Karibu leo na kila siku. Wednesday, July 21, 2010. KILA MTU ANA HAKI YA KUOGELEA NA KUFURAHI. July 21, 2010 at 9:35 PM. July 22, 2010 at 9:56 AM. Kitu na box hicho baba. Subscribe to: Post Comments (Atom). FORODHANI TOURS and SAFARIS. General Manager: Salum H Mohammed. KWA MAELEZO ZAIDI :. Tel / Fax 255 242 233 286 Mobile: 255 774 309 094/ 255 774 309 094 Email:info@forodhanitours.com Email:salum@forodhanitours.com. Kwa huduma bora za usafiri wa anga wasiliana nao:. MOB:( 255) 773 111008. HIVI SASA NI SAA.
ommykiss.blogspot.com
OMMYKISS: BAADHI YA TIMU ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU UINGEREZA ZAPIGA MARUFUKU VUVUZELA
http://ommykiss.blogspot.com/2010/07/baadhi-ya-timu-zinazoshiriki-ligi-kuu.html
Karibu leo na kila siku. Tuesday, July 20, 2010. BAADHI YA TIMU ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU UINGEREZA ZAPIGA MARUFUKU VUVUZELA. Timu sita nchini Uingereza ambazo zinashiriki ligi kuu nchini humo zimepiga marufuku kwa mashabiki kuingia katika viwanja vyao huku wakiwa na matarumbeta al-maarufu " vuvuzela". Timu za Arsenal na Tottenham ndizo timu za mwanzo kupiga marufuku mavuvuzela kuingia katika viwanja vyao huku zikifuatiwa na timu za Liverpool,Sunderland, Birmingham na Westham. FORODHANI TOURS and SAFARIS.
ommykiss.blogspot.com
OMMYKISS: JINSI WENZETU WANAVYOJALI
http://ommykiss.blogspot.com/2010/07/jinsi-wenzetu-wanavyojali.html
Karibu leo na kila siku. Thursday, July 22, 2010. Haya ndio mambo ya nyumbani wahusika hawana hata habari. Subscribe to: Post Comments (Atom). FORODHANI TOURS and SAFARIS. General Manager: Salum H Mohammed. KWA MAELEZO ZAIDI :. Tel / Fax 255 242 233 286 Mobile: 255 774 309 094/ 255 774 309 094 Email:info@forodhanitours.com Email:salum@forodhanitours.com. Kwa huduma bora za usafiri wa anga wasiliana nao:. MOB:( 255) 773 111008. MOB:( 255) 777 842728. TEL:( 255) 24 238999. POBOX 4162. Zanzibar,Tanzania.
ommykiss.blogspot.com
OMMYKISS: UCHUNGUZI WA VIFO DUISBURG WAANZA
http://ommykiss.blogspot.com/2010/07/uchunguzi-wa-vifo-duisburg-waanza.html
Karibu leo na kila siku. Monday, July 26, 2010. UCHUNGUZI WA VIFO DUISBURG WAANZA. Waendesha mashitaka nchini Ujerumani, wameanza kuchunguza chanzo cha vifo vya watu 19 katika msongamano uliosababisha kukanyagana uliotokea kwenye tamasha la muziki la Love Parade katika mji wa Duisburg. Watu 342 walijeruhiwa katika msongamano huo uliotokea siku ya Jumamosi. Subscribe to: Post Comments (Atom). FORODHANI TOURS and SAFARIS. General Manager: Salum H Mohammed. KWA MAELEZO ZAIDI :. MOB:( 255) 773 111008. Kama u...
ommykiss.blogspot.com
OMMYKISS: MAMBO YA BIG BROTHERS ALL STARS
http://ommykiss.blogspot.com/2010/07/mambo-ya-big-brothers-all-stars.html
Karibu leo na kila siku. Tuesday, July 20, 2010. MAMBO YA BIG BROTHERS ALL STARS. Yale maisha ya siku 91 ndani ya jumba huko Afrika Kusini yajuilikanayo kwa jina la Big Brother All Stars yameanza rasmin siku ya jumapili ambapo washiriki wapatao 14 kutoka katika nchi hizo hizo 14 wameingia katika jumba hilo. Kutokana na sheria za nyumbani humo kitendo hicho cha Mwisho kutomtaja mtu yoyote kimepelekea yeye mwenyewe kujitundika na kusubiri kupigiwa kura na matokeo kutangazwa siku ya Jumapili, na kama akipat...