masalujr.blogspot.com
MOYES AMTOA KWA MKOPO ZAHA - NYUMBA YA MICHEZO NA BURUDANI
http://masalujr.blogspot.com/2014/01/moyes-amtoa-kwa-mkopo-zaha.html
Post With Left Sidebar. Post With Rating System. Post Without Rating System. Post With Author Description. Post Without Author Description. Post Without Image and Rating. Alhamisi, 23 Januari 2014. MOYES AMTOA KWA MKOPO ZAHA. KLABU ya Manchester United imemtoa kwa mkopo mshambuliaji wake kinda, Wilfried Zaha kwa timu ya Cardiff City ili apate muda mwingi wa kucheza. Jisajili kwenye: Chapisha Maoni (Atom). CHEKI PICHA ZA MICHEZO YA LIGI KUU ENGLAND JANA. PICHA NA MATOKEO YA MICHEZO YOTE YA UEFA JANA USIKU.
straikamkali.blogspot.com
STRAIKA: KILIMANJARO STARS KUAGWA ASUBUHI
http://straikamkali.blogspot.com/2013/11/kilimanjaro-stars-kuagwa-asubuhi.html
Sunday, November 24, 2013. KILIMANJARO STARS KUAGWA ASUBUHI. Kikosi cha Kilimanjaro Stars kinaagwa kesho (Novemba 25 mwaka huu) tayari kwa safari ya Nairobi, Kenya kushiriki michuano ya Kombe la Chalenji inayoanza kutimua vumbi Novemba 27 mwaka huu. Viungo ni Amri Kiemba (Simba), Athuman Idd (Yanga), Frank Domayo (Yanga), Haruna Chanongo (Simba), Hassan Dilunga (Ruvu Shooting), Ramadhan Singano (Simba) na Salum Abubakar (Azam). Benchi la Ufundi la timu hiyo linawajumuisha Kim Poulsen (Kocha Mkuu), Sylves...
straikamkali.blogspot.com
STRAIKA: NANI AMEINGIA, NANI AMEONDOKA KLABU ZA LIGI KUU ENGLAND USAJILI DIRISHA DOGO JANUARI
http://straikamkali.blogspot.com/2013/02/nani-ameingia-nani-ameondoka-klabu-za.html
Friday, February 1, 2013. NANI AMEINGIA, NANI AMEONDOKA KLABU ZA LIGI KUU ENGLAND USAJILI DIRISHA DOGO JANUARI. Nacho Monreal - ametua Arsenal. DIRISHA dogo la usajili wa Ligi Kuu ya England la Januari lilifungwa jana usiku. hapa tunakuletea orodha kamili ya nani ameingia nani ametoka katika klabu za Ligi Kuu ya England:. Nacho Monreal [Paundi milioni 10 kutoka Malaga]. Yacouba Sylla [Paundi milioni 2 kutoka Clermont Foot],. Stephen Warnock [bure kwenda Leeds]. David Stockdale [kwa mkopo kwenda Hull], St...
straikamkali.blogspot.com
STRAIKA: MALINZI AMRITHI TENGA URAIS TFF....ATOA MSAMAHA
http://straikamkali.blogspot.com/2013/10/malinzi-amrithi-tenga-urais-tffatoa.html
Monday, October 28, 2013. MALINZI AMRITHI TENGA URAIS TFF.ATOA MSAMAHA. Jamal Malinzi rais mpya wa TFF. JAMAL Emil Malinzi ndiye Rais mpya wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF). Malinzi ameshinda wadhifa huo katika uchaguzi wa Kamati ya Utendaji ya TFF uliofanyika juzi (Oktoba 27 mwaka huu) jijini Dar es Salaam. Akizungumza mara baada ya kuchaguliwa, Rais Malinzi ametaka ushirikiano kutoka kwa wadau wote akiwAmo mpinzani wake Nyamlani katika kuhakikisha mpira wa miguu nchini unasonga mbele.
straikamkali.blogspot.com
STRAIKA: BIASHARA
http://straikamkali.blogspot.com/p/biashara.html
Subscribe to: Posts (Atom). View my complete profile. TASWIRA MBALIMBALI ZA MCHEZAJI WA TIMU YA MBAO FC U-20 ISMAIL MRISHO HALFAN ALIYEFARIKI BAADA YA KUANGUKA WAKATI WA MECHI UWANJA WA KAITABA MJINI BUKOBA. VIDEO: IKIONYESHA NAMNA MCHEZAJI MBAO ALIVYOFUNGA BAO, AKASHANGILIA NA DAKIKA CHACHE AKAGONGWA KIDOGO TU, MAUTI YAKAMKUTA. Algeria yarudisha makwao Wahamiaji wa Afrika magharibi. Millard Ayo – Official Website. VIDEO: Rapper Khaligraph Jones alivyotumbuiza Jameson Connect Nairobi. Hili ndilo kaburi a...
masalujr.blogspot.com
BREAKING NEWS: FID Q AWAGOMEA CLOUDS, ASHUKA JUKWAANI MWENBEYANGA - NYUMBA YA MICHEZO NA BURUDANI
http://masalujr.blogspot.com/2014/01/breaking-news-fid-q-awagomea-clouds.html
Post With Left Sidebar. Post With Rating System. Post Without Rating System. Post With Author Description. Post Without Author Description. Post Without Image and Rating. Jumatano, 1 Januari 2014. BREAKING NEWS: FID Q AWAGOMEA CLOUDS, ASHUKA JUKWAANI MWENBEYANGA. MWANAMUZIKI wa Hip Hop nchini, Fareed Kubanda ‘Fid Q’ amewagomea Madj wa Clouds na kuacha kuimba na kushusha jukwaani baada ya madj kushindwa kumpigia ala za muziki ‘beat’ na badala yake kupiga wimbo kamili. Jisajili kwenye: Chapisha Maoni (Atom).
masalujr.blogspot.com
UFALME WA MAN UNITED WAZIDI KUPOTEA - NYUMBA YA MICHEZO NA BURUDANI
http://masalujr.blogspot.com/2014/01/ufalme-wa-man-united-wazidi-kupotea.html
Post With Left Sidebar. Post With Rating System. Post Without Rating System. Post With Author Description. Post Without Author Description. Post Without Image and Rating. Alhamisi, 23 Januari 2014. UFALME WA MAN UNITED WAZIDI KUPOTEA. UFAMLE wa klabu ya Manchester United umezidi kuporomoka baada ya kupokwa nafasi ya kwanza kuwa klabu tajiri duniani na nafasi hiyo sasa inashikiriwa na Real Madrid ya Hispania. Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus...PICHA...
biafra-jogging.blogspot.com
BIAFRA SPORTS CLUB REG NO. NSC 9848: BIAFRA SPORTS CLUB REG NO. NSC 9848: HAFLA YA IFTAR YA WANABIAFRA KATIKA MATUKIO
http://biafra-jogging.blogspot.com/2014/07/biafra-sports-club-reg-no-nsc-9848.html
Chama cha Jogginig Kinondoni. Video za Matukio ya Jogging. Friday, July 04, 2014. BIAFRA SPORTS CLUB REG NO. NSC 9848: HAFLA YA IFTAR YA WANABIAFRA KATIKA MATUKIO. BIAFRA SPORTS CLUB REG NO. NSC 9848: HAFLA YA IFTAR YA WANABIAFRA KATIKA MATUKIO. Tarehe 8 Agosti, 2013 ambayo pia ilikuwa 30 Ramadhan, 1434 klabu ya michezo ya Biafra iliandaa hafla ya kushiriki pamoja katika iftar na ku. Mwaka huu tunatarajia kurudia tena hili tukio, kaeni mkao wa kula wadau! Subscribe to: Post Comments (Atom). P O BOX 75333.
straikamkali.blogspot.com
STRAIKA: TAZAMA MAPICHA YA KABURI LA SAJUKI NA 'FULL' MAPICHA YA MAZISHI YAKE JIJINI DAR ES SALAAM LEO... VIONGOZI WA SERIKALI NA WANASIASA TELE WAJITOKEZA KUMZIKA WAKIONGOZWA NA RAIS KIKWETE, NAPE NNAUYE, ZITTO KABWE, IDDI AZZAN, MSTAHIKI MEYA JERRY SILAA
http://straikamkali.blogspot.com/2013/01/ona-mapicha-ya-kaburi-la-sajuki-na-full_9584.html
Friday, January 4, 2013. TAZAMA MAPICHA YA KABURI LA SAJUKI NA 'FULL' MAPICHA YA MAZISHI YAKE JIJINI DAR ES SALAAM LEO. VIONGOZI WA SERIKALI NA WANASIASA TELE WAJITOKEZA KUMZIKA WAKIONGOZWA NA RAIS KIKWETE, NAPE NNAUYE, ZITTO KABWE, IDDI AZZAN, MSTAHIKI MEYA JERRY SILAA. WASANII WA FILAMU NA MUZIKI NI PAMOJA NA CHUZI, RAY, MAGALI, CHEGGE, RICHIE, MZEE CHILLO, MPOKI, JOTTI, MAC REGGAN NA WENGINE TEEEEEEEEEEEELE! Buriani kijana. Watanzania hatutaacha kukukumbuka! Tafakuri makini kabla ya mazishi ya Sajuki ...
straikamkali.blogspot.com
STRAIKA: KUZIONA SIMBA, YANGA SH.5,000
http://straikamkali.blogspot.com/2013/10/kuziona-simba-yanga-sh5000.html
Wednesday, October 16, 2013. KUZIONA SIMBA, YANGA SH.5,000. Kiingilio cha chini kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Simba na Yanga itakayochezwa Jumamosi (Oktoba 20 mwaka huu) kitakuwa sh. 5,000. Kiingilio hicho ni kwa viti vya rangi ya kijani ambavyo ni 19,648. Tiketi zitaanza kuuzwa siku moja kabla ya mchezo huo utakaoanza saa 10 kamili jioni katika vituo mbalimbali. Posted by Amur Hassan. Subscribe to: Post Comments (Atom). View my complete profile. VIDEO: IKIONYESHA NAMNA MCHEZAJI MBAO ...
SOCIAL ENGAGEMENT