viwanja.blogspot.com
XTRA COVER.: SIKUSTAHILI KUFANYA VILE.
http://viwanja.blogspot.com/2011/09/sikustahili-kufanya-vile.html
KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA. Friday, September 30, 2011. Siku mbili kabla ya mchezo wa ligi kuu ya soka nchini Uingereza ambao utawakutanisha mahasimu wa kaskazini mwa jiji hilo, Tottenham Hotspurs dhidi ya Arsenal, mshambuliaji aliesajiliwa kwa mkopo huko White Hart Lane akitokea Man City Emmanuel Sheyi Adebayor, ametamba kuifunga The Gunners katika mchezo huo. Amesema anat...
viwanja.blogspot.com
XTRA COVER.: King Kenny Dalglish AWAHUSIA MABEKI WAKE.
http://viwanja.blogspot.com/2011/09/king-kenny-dalglish-awahusia-mabeki.html
KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA. Friday, September 30, 2011. King Kenny Dalglish AWAHUSIA MABEKI WAKE. Meneja wa majogoo wa jiji Liverpool King Kenny Dalglish ameitaka safu ya ulinzi ya kikosi chake kufanya juhudui ambazo zitawawezesha kufanya kazi kwa pamoja kwa lengo la kutoruhusu kufungwa katika mchezo wa ligi dhidi ya Everton utakaochezwa kesho huko Goodson Park. HIVI SASA N...
viwanja.blogspot.com
XTRA COVER.: MAANDALIZI YA LIGI YA MABINGWA AFRIKA.
http://viwanja.blogspot.com/2011/10/maandalizi-ya-ligi-ya-mabingwa-afrika.html
KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA. Saturday, October 1, 2011. MAANDALIZI YA LIGI YA MABINGWA AFRIKA. Beki kutoka nchini Ghana pamoja na klabu ya Esperance ya nchini Tunisia Harrison Afful amesema ushirikiano na umoja ndani ya kikosi cha klabu hiyo, anaimani utakua chachu katika muendelezo wa kusaka mafanikio kwenye michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika. Harrison Afful anatara...
viwanja.blogspot.com
XTRA COVER.: URENO KUWAKOSA WACHEZAJI MUHIMU KIKOSINI.
http://viwanja.blogspot.com/2011/10/ureno-kuwakosa-wachezaji-muhimu.html
KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA. Saturday, October 1, 2011. URENO KUWAKOSA WACHEZAJI MUHIMU KIKOSINI. Kikosi cha timu ya taifa ya Ureno, kitaelekea katika mchezo wa kuwania nafasi ya kucheza fainali za mataifa ya barani Ulaya, dhidi ya timu ya taifa ya Iceland mwishoni mwa juma lijalo huku kikiwakosa wachezaji wawili wa klabu ya Real Madrid. Katika hatua nyingine Paulo Bento ame...
viwanja.blogspot.com
XTRA COVER.: Cesc Fabregas AUMIA MAZOEZINI.
http://viwanja.blogspot.com/2011/10/cesc-fabregas-aumia-mazoezini.html
KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA. Saturday, October 1, 2011. Cesc Fabregas AUMIA MAZOEZINI. Kiungo kutoka nchini Hispania na klabu bingwa nchini humo FC Barcelona Cesc Fabregas huenda ikamchukua muda wa majuma matatu kurejea tena uwanjani baada ya kuumia akiwa mazoezini mapema hii leo. Cesc Fabregas , pia analazimika kuondolewa katika timu ya taifa ya Hispania baada ya kuitwa na ...
viwanja.blogspot.com
XTRA COVER.: VITA YA MANENO YA KUPAMBANA.
http://viwanja.blogspot.com/2011/10/vita-ya-maneno-ya-kupambana.html
KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA. Saturday, October 1, 2011. VITA YA MANENO YA KUPAMBANA. Meneja wa klabu ya Chelsea Andre Villas Boas amesema bado anakabiliwa na mazingira magumu ya kuzifahamu timu pinzani ikiwa ni mara yake ya kwanza kukutana nazo katika mchuano ya ligi kuu ya soka nchini uingereza. Nae meneja wa Bolton Wanderers Owen Coyle akazungumzo kwa upande wake ni vipi a...
viwanja.blogspot.com
XTRA COVER.: MFANYABIASHARA WA KIMAREKANI AWA RAISI WA AS ROMA.
http://viwanja.blogspot.com/2011/09/mfanyabiashara-wa-kimarekani-awa-raisi.html
KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA. Thursday, September 29, 2011. MFANYABIASHARA WA KIMAREKANI AWA RAISI WA AS ROMA. Mfanya biashara kutoka nchini Marekani Thomas DiBenedetto ametangazwa kuwa raisi wa klabu ya AS Roma baada ya kukamilisha mipango ya kununua asilimia 67 ya hisa za klabu hiyo mwezi mmoja uliopita. Subscribe to: Post Comments (Atom). Times fm Live From Dsm - TZ. ENDEL...
viwanja.blogspot.com
XTRA COVER.: ARSENE AMKINGIA KIFUA ADEBAYOR.
http://viwanja.blogspot.com/2011/10/arsene-amkingia-kifua-adebayor.html
KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA. Saturday, October 1, 2011. ARSENE AMKINGIA KIFUA ADEBAYOR. Arsene Wenger amesema tayari mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 25, ameshaomba radhi na kila mmoja klabuni hapo ameshamsamehe na katu hawawezi kulifikiria jambo hilo, na kuacha shughuli nyingine za kimaendeleo huko Emirates Stadium. Subscribe to: Post Comments (Atom). HIVI SASA NI SAA;.