tanzlife.co.tz
YAFAHAMU MAGONJWA YA NGONO – Tanzlife – Tanzanian's best Health Blog & Forum
http://www.tanzlife.co.tz/yafahamu-magonjwa-ya-ngono
YAFAHAMU MAGONJWA YA NGONO. YAFAHAMU MAGONJWA YA NGONO. VIASHIRIA VYA HATARI KWA WAJAWAZITO. UGONJWA WA KIFAFA NA VIHATARISHI VYAKE. ATHARI ZA MAGONJWA YA NGONO KWA MTOTO. Magonjwa ya ngono ni magonjwa ambayo hujitokeza katika viungo vya uzazi baada ya mtu (hususani watu waliopo katika umri wa kuweza kuzaa, miaka 15 – 49) kujamiiana bila kinga na mtu ambaye tayari ameambukizwa ugonjwa/magonjwa hayo. Magonjwa ya kaswende, pangusa na malengelenge, (dalili zake ni kutokwa na vidonda sehemu za siri). Miongon...
malampakacom.blogspot.com
MALAMPAKA.COM: February 2013
http://malampakacom.blogspot.com/2013_02_01_archive.html
Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii. Monday, 18 February 2013. MEZA YA MAGAZETI LEO JUMANNE. Monday, February 18, 2013. Rais Kikwete ana Hasira, Wanaosema Mpole Hawamjui – Mama Salma Kikwete. Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Mke wa Rais Mama Salma Kikwete. NA BASHIR NKOROMO, LINDI. 8220;Siyo kweli kwamba Rais Jakaya Kikwete siyo mkali, japokuwa ana sura yenye haiba ya ucheshi wa mara kwa mara kwa kila mtu, lakini...
tanzlife.co.tz
MAMBO YA KUKUMBUKA KABLA YA KUTUMIA DAWA – Tanzlife – Tanzanian's best Health Blog & Forum
http://www.tanzlife.co.tz/mambo-ya-kukumbuka-kabla-ya-kutumia-dawa
MAMBO YA KUKUMBUKA KABLA YA KUTUMIA DAWA. MAMBO YA KUKUMBUKA KABLA YA KUTUMIA DAWA. UGONJWA WA KIFAFA NA VIHATARISHI VYAKE. TANGAZA NA UWAFIKIE WALENGWA WAKO KWA URAHISI ZAIDI. Mpenzi msomaji, ni siku nyingine tena ambayo kwa mapenzi ya mwenyezi Mungu tumeweza kuiona na hatuna budi kumshukuru Mungu kwa wema wake. Ni hasara zipi utapata endapo utaamua kutokutumia dawa? Wakati ambapo pia mtu anahitajika kutumia dawa ni katika kutibu. Hii ni baada ya kufahamika kuwa mtu analo tatizo gani kiafya ndipo ua...
tanzlife.co.tz
VITAMBUE VIPODOZI VYENYE VIAMBATA HATARISHI – Tanzlife – Tanzanian's best Health Blog & Forum
http://www.tanzlife.co.tz/vitambue-vipodozi-vyenye-viambata-hatarishi
VITAMBUE VIPODOZI VYENYE VIAMBATA HATARISHI. VITAMBUE VIPODOZI VYENYE VIAMBATA HATARISHI. DIRA NA TUMAINI JIPYA HANDENI. Vipodozi ni vitu ambavyo siku zote katika maisha yetu ya kila siku tumekuwa tukivitumia ili kuiweka miili yetu katika hali ya usafi, lakini pia vimekuwa vikichangia katika utanashati wa mtu. VIAMBATA VILIVYOPIGWA MARUFUKU KATIKA VIPODOZI. 5 Zirconium containing complexes in aerosol products. 6 Halogenated salicylanilides (di-, tri- metabromsalan and tetrachlorosalicynilide). Palmer`s S...
sikika-tz.blogspot.com
SikikaBlog: Mdau wa Maendeleo kutoka Ubalozi wa Switzerland alipotembelea Wilayani Kibaha na Katika baadhi ya vituo vya kutolea huduma za Afya
http://sikika-tz.blogspot.com/2015/06/mdau-wa-maendeleo-kutoka-ubalozi-wa.html
Huduma bora za afya kwa Watanzania wote. Friday, June 12, 2015. Mdau wa Maendeleo kutoka Ubalozi wa Switzerland alipotembelea Wilayani Kibaha na Katika baadhi ya vituo vya kutolea huduma za Afya. Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Kibaha, Bi. Tatu Selemani akiongea na timu ya Sikika pamoja na Mdau wa maendeleo kutoka ubalozi wa Switzerland - Tanzania, Bi. Aurelie Righetti, (Wa kwanza kutoka kulia). Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Kibaha, Bi. Tatu Selemani akikazia jambo. Katibu wa timu ya SAM wilaya ya Ki...
sikika-tz.blogspot.com
SikikaBlog: Sikika yafanya Mkutano na Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali (NAOT): 21 Agosti, 2014
http://sikika-tz.blogspot.com/2014/08/sikika-yafanya-mkutano-na-ofisi-ya.html
Huduma bora za afya kwa Watanzania wote. Monday, August 25, 2014. Sikika yafanya Mkutano na Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali (NAOT): 21 Agosti, 2014. Mkuu wa Idara ya Rasilimali Watu kutoka Sikika Bw. Zakayo Mahindi akiwasilisha mada juu ya zoezi la Ufuatiliaji na Uwajibijaki kwa Jamii (SAM) katika mkutano baina ya Sikika na O. Fisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali (NAOT). Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu. Mhasibu Mkuu wa NAOT. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu. Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu.
sikika-tz.blogspot.com
SikikaBlog: Sikika yafanya mkutano na Ofisi ya CAG Dodoma: 12 September 2014
http://sikika-tz.blogspot.com/2014/09/sikika-yafanya-mkutano-na-ofisi-ya-cag.html
Huduma bora za afya kwa Watanzania wote. Tuesday, September 16, 2014. Sikika yafanya mkutano na Ofisi ya CAG Dodoma: 12 September 2014. Mkuu wa Programu za Sikika Bw. Patrick Kinemo (Kushoto) akiwakaribisha maofisa kutoka. Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali (NAOT) mkoani Dodoma walipotembelea ofisi za Sikika Dodoma ili kujua shughuli mbalimbali zinazofanywa na Sikika. Bi Norah Mchaki akiwasilisha mada. Bw Mhina Kombo (Kulia) akifafanua jambo. Sikika na NAOT Dodoma. Karibu kusoma Jarida letu ...
sikika-tz.blogspot.com
SikikaBlog: Mafunzo ya uwajibikaji katika jamii (SAM)
http://sikika-tz.blogspot.com/2012/10/sam.html
Huduma bora za afya kwa Watanzania wote. Thursday, October 18, 2012. Mafunzo ya uwajibikaji katika jamii (SAM). Diwani wa Kibakwe, Pamela Mnemele akiwasisitiza wajumbe wa timu ya SAM kueleza kwa uhuru na. Wanazokabiliana nazo kwenye jamii ili zifikishwe kwa madiwani na kutafutiwa ufumbuzi. Sikika inaendesha mafunzo ya SAM wilayani Mpwapwa. Subscribe to: Post Comments (Atom). Karibu kusoma Jarida letu toleo la 20 Disemba, 2015. Karibu kusoma Jarida letu toleo la 19 Septemba, 2015. Balozi wa Uswisi nchini ...
sikika-tz.blogspot.com
SikikaBlog: KATUNI: Hali ilivyo katika hospitali zetu
http://sikika-tz.blogspot.com/2014/11/katuni-hali-ilivyo-katika-hospitali-zetu.html
Huduma bora za afya kwa Watanzania wote. Wednesday, November 5, 2014. KATUNI: Hali ilivyo katika hospitali zetu. Subscribe to: Post Comments (Atom). Karibu kusoma Jarida letu toleo la 20 Disemba, 2015. Karibu kusoma Jarida letu toleo la 19 Septemba, 2015. Karibu kusoma Jarida letu toleo la 18 Juni, 2015. Karibu kusoma Jarida letu toleo la 17 Machi, 2015. Karibu kusoma Jarida letu toleo la 16 Desemba, 2014. Karibu kusoma Jarida letu toleo la 15 Septemba,2014. Karibu kusoma Jarida letu toleo la 14 Juni,2014.
sikika-tz.blogspot.com
SikikaBlog: Sikika yashiriki katika uzinduzi wa uboreshaji wa mfumo wa Upatikanaji wa dawa na vifaa tiba kupitia mzabuni mmoja mkoa wa Dodoma: 11 September 2014
http://sikika-tz.blogspot.com/2014/09/uzinduzi-wa-uboreshaji-wa-mfumo-wa.html
Huduma bora za afya kwa Watanzania wote. Monday, September 15, 2014. Sikika yashiriki katika uzinduzi wa uboreshaji wa mfumo wa Upatikanaji wa dawa na vifaa tiba kupitia mzabuni mmoja mkoa wa Dodoma: 11 September 2014. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi akifungua ukifungua mkutano uzinduzi wa mradi wa uboreshaji na mfumo wa upatikanaji wa dawa na vifaa tiba kupitia mzabuni mmoja mkoa wa Dodoma. Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Bw. Christopher Kangoye (Kulia) akifurahia jambo. Karibu kusoma Jarida letu to...
SOCIAL ENGAGEMENT