ruvumapress.blogspot.com
Jamii ya Wana Ruvuma: MUFTI AWATAKA WAISLAMU KUACHA KULALAMIKA
http://ruvumapress.blogspot.com/2014/01/mufti-awataka-waislamu-kuacha-kulalamika.html
Jamii ya Wana Ruvuma. Tuesday, January 14, 2014. MUFTI AWATAKA WAISLAMU KUACHA KULALAMIKA. SHEKHE Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban Simba, ametaka Waislamu kuacha kulalamika, kwamba Wakristo wamekuwa wakipewa upendeleo, badala yake watumie fursa wanazopata kuondokana na malalamiko hayo. Akitoa mfano, alisema Waislamu wanapaswa kupeleka watoto wao kusoma elimu zote mbili na kuwaandaa kushika nafasi za kiutendaji ambazo wanalalamikia kuwa zimetolewa kwa upendeleo kwa Wakristo. Alisema kurudi nyuma kwa W...
jambotanzania.com
Wakazi Ziwa Nyasa kulipa gharama za uchafuzi wa mazingira | Jambo Tanzania!
http://www.jambotanzania.com/wakazi-ziwa-nyasa-kulipa-gharama-za-uchafuzi-wa-mazingira.html
Wakazi Ziwa Nyasa kulipa gharama za uchafuzi wa mazingira. Wakazi Ziwa Nyasa kulipa gharama za uchafuzi wa mazingira. By Judith Elidadi Lugoye. June 5, 2014. Wa mazingira ni jambo linalostahili kupigwa vita katika kujiletea maendeleo. Kupigwa vita huko kunatokana na athari zinazokuja kujitokeza baada ya uchafuzi kufanyika. Nyingi ya athari zinaweza kuhatarisha usalama wa wananchi kiafya na kiuchumi. Sheria ya Mazingira namba 20. Sheria inafafanua kuwa ni jukumu la mwananchi kupinga kubinafsishwa kwa fukw...
jambotanzania.com
Ukosefu wa zana bora wakwamisha maendeleo Nyasa | Jambo Tanzania!
http://www.jambotanzania.com/ukosefu-wa-zana-bora-wakwamisha-maendeleo-nyasa.html
Ukosefu wa zana bora wakwamisha maendeleo Nyasa. Ukosefu wa zana bora wakwamisha maendeleo Nyasa. By Judith Elidadi Lugoye. June 6, 2014. UMASKINI ni kitendo kinachopigwa vita na Mataifa mengi Duniani ikiwa ni pamoja na nchi zinazoendelea. Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazoendelea duniani ambayo ina mipango na mikakati mbalimbali katika kupigana na adui umaskini kwa kuhakikisha wananchi wake wanaondokana na umaskini na kukuza uchumi. Fursa ninayoizunguzia hapa ni Rasilimali muhimu ya Ziwa Nyasa linalop...
jambotanzania.com
Matumizi ya sheria na busara kumaliza mgogoro mgodi wa Rwanda | Jambo Tanzania!
http://www.jambotanzania.com/matumizi-ya-sheria-na-busara-kumaliza-mgogoro-mgodi-wa-rwanda.html
Matumizi ya sheria na busara kumaliza mgogoro mgodi wa Rwanda. Matumizi ya sheria na busara kumaliza mgogoro mgodi wa Rwanda. By Judith Elidadi Lugoye. June 6, 2014. Utatatuzi wa Mgogoro wa Fidia kati ya wawekezaji na wananchi katika maeneo ya mgodi wa Makaa ya Mawe Rwanda wilayani Mbinga utategemea busara ya Serikali. Hii inatokana na ukweli kuwa bila busara, kutumia sheria na uelewa kunaweza kuzuka mgogoro wa muda mrefu utakaozuia uendelezaji wa mgodi. Uchunguzi umebaini kuwa mara nyingi migogoro huibu...
darusi2008.blogspot.com
HEKIMA ZA BADI: HALI CHADEMA SI SHWARI
http://darusi2008.blogspot.com/2013/01/hali-chadema-si-shwari_9238.html
TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE. Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com. Wednesday, January 16, 2013. HALI CHADEMA SI SHWARI. Pia, amemlipua Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Willibrod Slaa akidai kuwa amefanya ufisadi ndani ya chama kwa kujikopesha Sh140 milioni ambazo hajazilipa hadi sasa. Shonza alisema kwamba yeye bado ni makamu mwenyekiti wa Bavicha na mwanachama halali wa Chadema kwa kuwa hadi anazungumza hak...
darusi2008.blogspot.com
HEKIMA ZA BADI: MALAWI YATOA MSIMAMO KUHUSU MPAKA WA ZIWA NYASA
http://darusi2008.blogspot.com/2012/08/malawi-yatoa-msimamo-kuhusu-mpaka-wa.html
TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE. Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com. Thursday, August 9, 2012. MALAWI YATOA MSIMAMO KUHUSU MPAKA WA ZIWA NYASA. Now we have a new president and all of sudden the Tanzanians are demanding that our government stop all exploration activities in the lake until all border issues have been clarified. Why now? Folks, there is a reason why we have tradition. Tradition may appear u...
darusi2008.blogspot.com
HEKIMA ZA BADI: Presicion Air yazindua safari za Mbeya
http://darusi2008.blogspot.com/2013/01/presicion-air-yazindua-safari-za-mbeya.html
TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE. Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com. Thursday, January 17, 2013. Presicion Air yazindua safari za Mbeya. Kaka Badi Darusi akipanda katika ndege no PW 401 ilionza safari zake kati ya Da - Mwanza na Mbeya. Kaka Allan Mihayo akiwa katika uwanja wa Ndege wa Songwa Mjini Mbeya tayari kwa safari ya kuelekea Dar. Kaka Darusi ndani ya Precion. Wadau wa usafiri wa anga mkoani humo wame...
darusi2008.blogspot.com
HEKIMA ZA BADI: HATIMAYE MAHAKAMA KUU YAMWACHIA LULU WA KANUMBA KWA DHAMANA
http://darusi2008.blogspot.com/2013/01/hatimaye-mahakama-kuu-yamwachia-lulu-wa.html
TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE. Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com. Monday, January 28, 2013. HATIMAYE MAHAKAMA KUU YAMWACHIA LULU WA KANUMBA KWA DHAMANA. Elizabeth Michael maarufu kama Lulu. Habari zimesema Lulu amepata dhamana kwa masharit kadhaa, ikiwemo kuacha hati yake ya kusafiria mahakamani, kuripoti mahakamani kila tarehe ya mwanzo ya mwezi na wafadhili wake waweke bondi ya Sh. Milioni 20. Lulu aliy...
darusi2008.blogspot.com
HEKIMA ZA BADI: GAZETI LA MWANAHALISI LAFUNGIWA KWA MUDA USIOJULIKANA
http://darusi2008.blogspot.com/2012/07/gazeti-la-mwanahalisi-lafungiwa-kwa.html
TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE. Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com. Monday, July 30, 2012. GAZETI LA MWANAHALISI LAFUNGIWA KWA MUDA USIOJULIKANA. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imelifungia kutochapishwa gazeti la MwanaHalisi. Katika matoleo yake hivi karibuni, gazeti la MwanaHalisi. Mhariri wa gazeti la MwanaHalisi,. Serikali imeamua kulifungia kutochapishwa kwa muda usiojulikana gazeti la Mwan...
darusi2008.blogspot.com
HEKIMA ZA BADI: WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU WALAANI MAUAJI YA MWANGOSI NA KUFUNGIWA KWA GAZETI LA MWANAHALISI
http://darusi2008.blogspot.com/2012/09/watetezi-wa-haki-za-binadamu-walaani_12.html
TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE. Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com. Wednesday, September 12, 2012. WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU WALAANI MAUAJI YA MWANGOSI NA KUFUNGIWA KWA GAZETI LA MWANAHALISI. Baadhi ya Washiriki wa kongamano la kupinga mauaji ya Daudi Mwangosi na kufungiwa kwa gazeti la Mwanahalisi wakifatilia Mjadala katika Kongamano hilo. Katibu Mkuu wa jukwaa la Wahariri Ndg, Nevile Meena akionyesha m...