godfreymsomba.blogspot.com
GODFREY MSOMBA: March 2013
http://godfreymsomba.blogspot.com/2013_03_01_archive.html
HUGO CHAVEZ KUZIKWA LEO. Mwili wa hayati Hugo Chavez utakaushwa na kuwekwa katika makavazi ya kijeshi nchini Venezueal. Mwili wa Chavez hautazikwa kwa siku nyingine saba ili kuwapa wananchi fursa ya kuuuona kabla ya kuzikwa. Serikali ya Venezuela imetangaza siku saba zaidi za maombolezi kabla ya kufanyika maziko ya marehemu rais wa nchi Hiyo Hugo Chavez baadaye leo. Serikali hiyo imeongeza muda wa maombolezi kufuatia kufurika zaidi watu wanaotaka kutoa heshima zao za mwisho kwa marehemu. Wabunge wawili w...
godfreymsomba.blogspot.com
GODFREY MSOMBA: MUSIC
http://godfreymsomba.blogspot.com/2013/02/music_22.html
Mtazame Darasa katika nishike mkono. Friday, February 22, 2013. Subscribe to: Post Comments (Atom). Angalia Nyota yako hapa daily. Hivi sasa ni Saa. Waweza pia kutembelea blog za watu mbalimbali kupitia hapa. NU Track: Walter Chilambo "MAVELA" Comming soon. Punguza uzito kwa maji ya viazi vitamu. PICHA ZA DADA DINA CARE'S FOUNDATION WAKITEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA VETERANI. Forget LUPITA NYONG’O’s fake dress… see CORAZON wearing a $1 million dress. NU Audio: Khalifa Juma (CT) "NEXT LEVEL" {OFFICIAL}.
godfreymsomba.blogspot.com
GODFREY MSOMBA: MUSIC
http://godfreymsomba.blogspot.com/2013/02/music.html
Mcheki Steve Rnb na wimbo wake wa jambo jambo. Friday, February 22, 2013. Subscribe to: Post Comments (Atom). Angalia Nyota yako hapa daily. Hivi sasa ni Saa. Waweza pia kutembelea blog za watu mbalimbali kupitia hapa. NU Track: Walter Chilambo "MAVELA" Comming soon. Punguza uzito kwa maji ya viazi vitamu. PICHA ZA DADA DINA CARE'S FOUNDATION WAKITEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA VETERANI. Forget LUPITA NYONG’O’s fake dress… see CORAZON wearing a $1 million dress. Warm up Simba SC. Story Zote zipo hapa.
godfreymsomba.blogspot.com
GODFREY MSOMBA: February 2015
http://godfreymsomba.blogspot.com/2015_02_01_archive.html
BBC yawatahadharisha juu ya utapeli. Idhaa ya Kiswahili ya BBC inataka kuwatahadharisha wasikilizaji na watumiaji wa mtandao wake dhidi ya watu wenye nia mbaya wanaotumia jina la BBC kwa vitendo vya kitapeli. Kumezuka mtandao bandia unaotumia jina la BBC SWAHILI NEWS kuandika habari za uzushi na kulaghai wananchi kwa habari zisizokuwa na ukweli wala uhusiano na shirika hili la habari. SOURCE; BBC SWAHILI. Tuesday, February 10, 2015. Subscribe to: Posts (Atom). Angalia Nyota yako hapa daily. HABARI CLOUDS...
godfreymsomba.blogspot.com
GODFREY MSOMBA: AFRIKA
http://godfreymsomba.blogspot.com/2013/02/afrika_21.html
JESHI LA RWANDA LAKANUSHA MADAI. Jeshi la Rwanda limekiri kwamba linawazuia zaidi ya wanajeshi 280 katika kisiwa kimoja ziwani Kivu kwa madai ya kulitoroka jeshi. Msemaji wa jeshi, Brigedia Jenerali Joseph Nzambwita, alisema kwamba wanajeshi hao walikuwa wanapata mafunzo upya. Alisema wengi wao walikuwa wamezuiliwa kwa miaka mingi bila kufikisha mahakamani, na bila kukubaliwa kupokea wageni. Thursday, February 21, 2013. Subscribe to: Post Comments (Atom). Angalia Nyota yako hapa daily. Hivi sasa ni Saa.
godfreymsomba.blogspot.com
GODFREY MSOMBA: AFRIKA
http://godfreymsomba.blogspot.com/2013/02/afrika_9146.html
WANAFUNZI WAJIUNGA NA MGOMO NCHINI MALAWI. Polisi nchini Malawi wametumia gesi ya kutoa machozi kuwatawanya wanafunzi wa shule waliokuwa wanashiriki maandamano huku mgomo wa wafanyakazi wa umma ukikithiri. Rais wa Malawi Joyce Banda. Mamia ya wanafunzi waliojawa ghadhabu baada mafunzo yao kuathiriwa na mgomo huo walijiunga na maandamano hayo mjini Lilongwe. Thursday, February 21, 2013. Subscribe to: Post Comments (Atom). Angalia Nyota yako hapa daily. Hivi sasa ni Saa. Warm up Simba SC. MUONEKANO WA JIJI...
godfreymsomba.blogspot.com
GODFREY MSOMBA: January 2013
http://godfreymsomba.blogspot.com/2013_01_01_archive.html
HAKI ZA BINADAMU KUZOROTA DUNIANI. Wa kundi la kutetea haki za binadamu- Human Rights Watch, wanasema. Katika ripoti yao ya kila mwaka kwamba wana wasiwasi juu hali nchini Syria, Mali na nchi nyingine za kiarabu. Kundi hilo lenye makao yake New York lilitoa ripoti hiyo Alhamis. Katika miji ya London na Johannesburg. Human Rights Watch linasema maandamano ya umma yaliyotokea katika nchi za kiarabu miaka miwili iliyopita hayakuimarisha Â. Kwa raia. Katika ripoti yake ya kurasa. Na haki za binadamu. Kama ul...
godfreymsomba.blogspot.com
GODFREY MSOMBA: May 2013
http://godfreymsomba.blogspot.com/2013_05_01_archive.html
KUONDOLEWA MKURUGENZI JUMA IDD KUIZAMISHA MBEYA CITY? WADAU wa soka mkoani Mbeya wameonesha hali ya wasiwasi wa timu yao kipenzi ya Mbeya City kuendelea vyema na maandalizi ya ligi kuu bara msimu ujao kufuatia kuhamishwa kwa mkurugenzi wa halmashauri ya jiji Juma Idd. Miongoni waliozungumzia hayo ni pamoja na katibu wa chama cha Makocha(TAFCA) mkoa wa Mbeya Thomas Kasombwe aliyesema wadau wa soka watahuzunishwa iwapo mkurugenzi mpya hatokipa kipaumbele timu hiyo inayomilikiwa na halmashauri ya jiji.
godfreymsomba.blogspot.com
GODFREY MSOMBA: KIMATAIFA
http://godfreymsomba.blogspot.com/2015/02/bbc-yawatahadharisha-juu-ya-utapeli.html
BBC yawatahadharisha juu ya utapeli. Idhaa ya Kiswahili ya BBC inataka kuwatahadharisha wasikilizaji na watumiaji wa mtandao wake dhidi ya watu wenye nia mbaya wanaotumia jina la BBC kwa vitendo vya kitapeli. Kumezuka mtandao bandia unaotumia jina la BBC SWAHILI NEWS kuandika habari za uzushi na kulaghai wananchi kwa habari zisizokuwa na ukweli wala uhusiano na shirika hili la habari. SOURCE; BBC SWAHILI. Tuesday, February 10, 2015. Subscribe to: Post Comments (Atom). Angalia Nyota yako hapa daily. HABAR...
SOCIAL ENGAGEMENT