apostledarmacy.blogspot.com
Apostle Darmacy Blog: Video.html
http://apostledarmacy.blogspot.com/p/video.html
MJUE MWIGIZAJI WA FILAMU YA YESU AMBAYE BAADHI YA WATU HUDHANI KWAMBA NI YESU. Brian Deacon akiigiza kama Yesu ndani ya filamu ya JESUS. Brian Deacon ndani ya filamu ya ' JESUS'. Brian Deacon miaka iliyofuatia baada ya kuigiza kama Yesu. Watu wakiangalia filamu ya Yesu ambayo bwana Brian Deacon ni mwigizaji mkuu. Siku nyingine waliokuwa wakiigiza kama wanafunzi wa Yesu wapatao 12 wakiwa ndani ya basi walikuwa wamepanga kugoma kutokana na malipo waliyokuwa wakipata cha ajabu Brian anasema director alikuja...
apostledarmacy.blogspot.com
Apostle Darmacy Blog: January 2014
http://apostledarmacy.blogspot.com/2014_01_01_archive.html
Friday, January 31, 2014. Neema, ni upendeleo wa kuchaguliwa, bila kustahili kutokana na matendo yoyote aliyoyafanya mtu au sifa aliyonayo mtu. Neema pia, ni uwezo wa kushinda katika tabia na utumishi wa Mungu sawasawa na mapenzi yake, tunaopewa na Mungu bila gharama yoyote au nguvuzetu au kufanyia kazi yoyote. Upendeleo wa kuchaguliwa bila kustahil. I- Kutokana na matendo yake, hakuna mwanadamu yeyote mwenye haki mbele za Mungu (WARUMI 3:20). Tangu kabisa amekuwa akimhuzunisha Mungu ( MWANZO 6:5-7).
apostledarmacy.blogspot.com
UHUSIANO WA VITI VYA ENZI NA MAFANIKIO YAKO | Apostle Darmacy Blog
http://apostledarmacy.blogspot.com/2015/03/uhusiano-wa-viti-vya-enzi-na-mafanikio.html
Thursday, March 19, 2015. UHUSIANO WA VITI VYA ENZI NA MAFANIKIO YAKO. Mechapwa na : Ambwene Mwamwaja. Uhusiano wa viti vya enzi na mafanikio yako. Somo hili limenukuliwa na dada yetu mpendwa Josephina aliyehudhuria semina ya mwalimu Christopher Mwakasege iliyofanyika viwanja vya Jangwani jijini Dar es salaam hivi karibuni. Kwakina zaidi ya neno hili wasiliana na wahusika ili ununue Audio CD na video. Mbarikiwe. UHUSIANO WA VITI VYA ENZI NA MAFANIKIO YAKO. Mahali: Viwanja vya Jangwani. Rais akisimikwa nd...
2gkitangala.blogspot.com
2G GOSPEL MUSIC: June 2014
http://2gkitangala.blogspot.com/2014_06_01_archive.html
Tuesday, June 3, 2014. Miaka 10 ya Mavuno - Tanzania kwa YESU. What is Tanzania Assemblies of God. Tanzania Assemblies of God (TAG) is Non-Profit Making religion organization that operates in United Republic of Tanzania; it’s made up of many individual local churches in whole country of Tanzania. For more information click below to visit. Tanzania Assemblies of God. Here is TAG BLOG. Posted by Godfrey Kitangala. Subscribe to: Posts (Atom). Bonyeza hapa kisha install. PRESS HERE TO DOWNLOD FLASH PRAYER.
2gkitangala.blogspot.com
2G GOSPEL MUSIC: Miaka 10 ya Mavuno - Tanzania kwa YESU
http://2gkitangala.blogspot.com/2014/06/miaka-10-ya-mavuno-tanzania-kwa-yesu.html
Tuesday, June 3, 2014. Miaka 10 ya Mavuno - Tanzania kwa YESU. What is Tanzania Assemblies of God. Tanzania Assemblies of God (TAG) is Non-Profit Making religion organization that operates in United Republic of Tanzania; it’s made up of many individual local churches in whole country of Tanzania. For more information click below to visit. Tanzania Assemblies of God. Here is TAG BLOG. Posted by Godfrey Kitangala. Subscribe to: Post Comments (Atom). Bonyeza hapa kisha install. ITV (genuine window needed).
thebridgevcc.blogspot.com
THE BRIDGE YOUTH MINISTRIES: June 2014
http://thebridgevcc.blogspot.com/2014_06_01_archive.html
THE BRIDGE YOUTH MINISTRIES. THE BRIDGE Youth Ministries,Join them at Tanzania Assemblies Of God Victory Christian Center - VCC Here you can get Anointed Word of God and more about Leadership, News, Contacts, Fellowship, Preaches, Discussion, Photos, Videos, Music Entertainments, Intellectuals, Job vacancy,ungana na HUDUMA YA VIJANA, KARIBU VCC. Tuesday, June 3, 2014. What is Tanzania Assemblies of God. For more information click below to visit. Tanzania Assemblies of God. Here is TAG BLOG.
apostledarmacy.blogspot.com
Apostle Darmacy Blog: November 2013
http://apostledarmacy.blogspot.com/2013_11_01_archive.html
Friday, November 29, 2013. Jiandae kwa Kurudi kwa Bwana! Jiandae kwa Kurudi kwa Bwana! Dada Barnarda Fernandez alichukuliwa katika Safari ya Mbinguni mara 2 na Bwana Yesu. Alionyeshwa thawabu za mbinguni zilizoandaliwa kwa ajili ya watakatifu wa Bwana, unyakuo, Karamu Kuu na taji za uzima. Pia aliona hali ya Kanisa, hukumu ijayo na roho zilizopotea zilizoko kuzimu. Ufuatao ndio ushuhuda wake:. 8230;……………………………. Safari yangu ya kwanza. MWAMINIFU NA WA KWELI. Nikamwuliza, " Bwana, ni safari ya kimishenari?
thebridgevcc.blogspot.com
THE BRIDGE YOUTH MINISTRIES: Kanisa la TAG
http://thebridgevcc.blogspot.com/2014/06/kanisa-la-tag.html
THE BRIDGE YOUTH MINISTRIES. THE BRIDGE Youth Ministries,Join them at Tanzania Assemblies Of God Victory Christian Center - VCC Here you can get Anointed Word of God and more about Leadership, News, Contacts, Fellowship, Preaches, Discussion, Photos, Videos, Music Entertainments, Intellectuals, Job vacancy,ungana na HUDUMA YA VIJANA, KARIBU VCC. Tuesday, June 3, 2014. What is Tanzania Assemblies of God. For more information click below to visit. Tanzania Assemblies of God. Here is TAG BLOG.
apostledarmacy.blogspot.com
PROSPERITY YEAR 2015 | Apostle Darmacy Blog
http://apostledarmacy.blogspot.com/2015/01/prosperity-year-2015.html
Friday, January 2, 2015. HAPPY NEW YEAR 2015. Toa Maoni Hapa Chini. Damas Anthony Afisa Maendeleo ya jamii. Ni muhimu sana kwa vijana kuelewa Malengo ya Dunia. Huu ni wakati wao. Kwa kuyaelewa malengo haya inarahisisha utekelezaji wake. Nimefurahi kuona muamko wa vijana waliojitekeza hapa na natumaini watawafikishia wengine ujumbe huu.”. MUSIC EQUIPMENTS,CLEANNELESS AND MAINTAINACE BY NYAKALO. Kongamano Kubwa La Vijana na Watoto Mega fest 2016. There is greatness inside of you. Kuelekea kwenye harusi ya ...
SOCIAL ENGAGEMENT