kamerayamwanafunzi.blogspot.com
Kamera Ya Mwanafunzi: MTAZAMO WANGU KUHUSU AMANI NA TAHADHARI YA KIFIZIKIA KATIKA NCHI ZA AFRIKA.
http://kamerayamwanafunzi.blogspot.com/2011/06/mtazamo-wangu-kuhusu-amani-na-tahadhari.html
Monday, 27 June 2011. MTAZAMO WANGU KUHUSU AMANI NA TAHADHARI YA KIFIZIKIA KATIKA NCHI ZA AFRIKA. Kama mwanafizikia katika masuala ya kiatomiki-asilia (quantum) nimeweza kutambua umuhimu wa amani katika mfumo wa viasili ambapo kuna sheria maalum za kifizikia ambazo hufuatwa. Sheria hizo huhakikisha kuna kuwa na msawazo-suluhishi (homogeneity) kati ya viasili hivyo. Utauliza kweli hayo mkuu? Nchi yetu ina makabila zaidi ya mia moja na pia kuna wafuasi wa dini mbalimbali pia kuna watu wa rangi mbali mbali ...
kamerayamwanafunzi.blogspot.com
Kamera Ya Mwanafunzi: My View on Investors and Investments
http://kamerayamwanafunzi.blogspot.com/2011/07/my-view-on-investors-and-investments.html
Wednesday, 6 July 2011. My View on Investors and Investments. Where do we stand? As countries dependent on foreign donation to carryout basic functions of our governments we are between a rock and hard surface, we are bound to be squashed. Do we have to welcome foreign investors who are bent on exploitation? We can play politics all the time to amuse our unquenchable friends but when the natural resources are gone they will be gone forever. Mungu Ibariki Nchi yetu na utuondoshee UBINAFSI kwenye nafsi zetu.
kamerayamwanafunzi.blogspot.com
Kamera Ya Mwanafunzi: TUNAJENGA NYUMBA YA MAENDELEO ISIYO NA MSINGI
http://kamerayamwanafunzi.blogspot.com/2011/07/tunajenga-nyumba-ya-maendeleo-isiyo-na.html
Sunday, 3 July 2011. TUNAJENGA NYUMBA YA MAENDELEO ISIYO NA MSINGI. Maendeleo yako mengi tunaweza kuyapima kwa kutumia kigezo cha muda kama kuna tofauti kati ya muda uliopita na wasasa basi kuna maendeleo. Maendeleo yanaweza kuwa chanya ama hasi. Kama tofauti iliyopo ni bora kuliko tulipoanzia basi tuna maendeleo chanya na kama hali ya sasa ni mbaya zaidi ya iliyopita basi tuna maendeleo hasi ama tunapiga hatua za kurudi nyuma badala ya kwenda mbele. Msingi bora wa maendeleo ni kuhakikisha wananchi wanas...
kamerayamwanafunzi.blogspot.com
Kamera Ya Mwanafunzi: Bongo hakuna wasomi
http://kamerayamwanafunzi.blogspot.com/2009/06/bongo-hakuna-wasomi.html
Friday, 5 June 2009. Bongo hakuna wasomi kama tafsiri yangu ya usomi ni mtu mwenye kuona tatizo akalitatua kwa kutumia elimu iliyojaribiwa (tried and tested). Msinishambulie kwasababu kama kungekuwa na wasomi tusingekuwa na shida ya maji wakati maji kila siku yanatiririka kwenye mito kuelekea baharini bila ya kupingwa. Kungekuwa na wasomi elimu ingekuwa ya manufaa na maisha ya wananchi yangeinuka na kupanda kiwango kila mwaka. Kungekuwa na wasomi huduma za afya zingetolewa bila rushwa na pia zingekuwa za...
kamerayamwanafunzi.blogspot.com
Kamera Ya Mwanafunzi: Ukweli na Uwazi ni Bidhaa Adimu Afrika
http://kamerayamwanafunzi.blogspot.com/2011/05/ukweli-na-uwazi-ni-bidhaa-adimu-afrika.html
Tuesday, 24 May 2011. Ukweli na Uwazi ni Bidhaa Adimu Afrika. Ni bidhaa adimu mno kwenye nchi za Afrika.Ukweli na Uwazi ni adimu katika serikali, na adimu kwa wanasiasa, hata katika familia nyingi za kiafrika ni adimu kupindukia. Ukweli na Uwazi ni adimu hata kati ya Mke na Mume, kati ya Watoto na wazazi wao, kati ya Marafiki, Kati ya ndugu. Ukweli na Uwazi ni bidhaa adimu lakini inauzwa kwa bei rahisi ajabu. BEI YAKE NI BUREEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE. Subscribe to: Post Comments (Atom).
kamerayamwanafunzi.blogspot.com
Kamera Ya Mwanafunzi: MTAZAMO WANGU KUHUSU MADA YA JOHN MASHAKA NA MAJIBU YA HASSAN
http://kamerayamwanafunzi.blogspot.com/2011/06/mtazamo-wangu-kuhusu-mada-ya-john.html
Friday, 24 June 2011. MTAZAMO WANGU KUHUSU MADA YA JOHN MASHAKA NA MAJIBU YA HASSAN. Swali linakuja KWANINI AFRIKA? Hapa ukweli ni kwamba si WACHINA tu wenye tamaa ya kujifaidisha kutokana na malighafi zilizoko katika bara la afrika hata hawa wa MAGHARIBI (marekani na nchi za ulaya) wamekuwa wakilitumia bara la AFRIKA kama shamba la BIBI toka enzi walipotambua kuwa kuna bara la AFRIKA. Subscribe to: Post Comments (Atom). Email Me.Nitumie Email. PhD student at Surrey University. View my complete profile.
kamerayamwanafunzi.blogspot.com
Kamera Ya Mwanafunzi: Ni lini serikali za Afrika zitatumia wasomi katika Maamuzi
http://kamerayamwanafunzi.blogspot.com/2011/05/ni-lini-serikali-za-afrika-zitatumia.html
Tuesday, 17 May 2011. Ni lini serikali za Afrika zitatumia wasomi katika Maamuzi. Imekuwa ni desturi kwa serikali za nchi nyingi za Afrika kufanya maamuzi makubwa yahusuyo Uchumi,Afya,na maendeleo Jamii kisiasa. Kama nikikumbuka vyema Siasa ni muhimu katika jamii lakini mchango wake lazima uwe unategemea Elimu iliyothibitika. Katika dunia ya sasa ya Utandawazi ama globalisation nchi isiyofanya jitihada maalumu za kujikwamua kwa kutumia michango ya elimu mbali mbali ambazo zimo ndani na nje ya nch...Itaku...
kamerayamwanafunzi.blogspot.com
Kamera Ya Mwanafunzi: Usafiri wa Mbagala Kilakshari
http://kamerayamwanafunzi.blogspot.com/2011/05/usafiri-wa-mbagala-kilakshari.html
Tuesday, 17 May 2011. Usafiri wa Mbagala Kilakshari. Nimeona niitafsiri hii maana kila nikiisoma nacheka mbavu sina:. Utakuwa mshamba kama hujawahi kupanda daladala aina ya DCM toka kigamboni kwenda Mbagala rangi tatu! Kweli we utakuwa unatoka dunia nyengine kabisaaa! Lete Pwezaa bwana dawa ya chakula cha usiku hao". Kuna jamaa wanavuta sigara na hakuna anayethubutu kusema Neno.Sema kitu uishie kulazwa muhimbili na majeraha ya kichwa na pengine upate tetnus ukipona we unabahati. KUNA NAFASI ZA KULALA!
kamerayamwanafunzi.blogspot.com
Kamera Ya Mwanafunzi: Ulafi wa Viongozi wa Nchi Afrika na Hand-off Approach
http://kamerayamwanafunzi.blogspot.com/2011/05/ulafi-wa-viongozi-wa-nchi-afrika-na.html
Thursday, 19 May 2011. Ulafi wa Viongozi wa Nchi Afrika na Hand-off Approach. Nchi nyingi za Afrika ziko mikononi mwa serikali ambazo zinaongozwa na watu wasio na chembe ya huruma kwa umma wanaoongoza. Wengi wao ni urithi tulioachiwa na wakoloni kwa hiyo dhamira zao hazijabadilika toka kuwa watumishi wa kikoloni kunyonya wananchi wenzao mpaka wakawa wenye uchungu na nchi na kujivika taji la uzalendo. Uzalendo ni chachu ya ukombozi na uzalendo ni chocheo ya maendeleo ya nchi. Pesa za kodi zinaishia kujeng...