nashemcee.blogspot.com
NASH EMCEE: NASH MC ATOA TAARIFA KWA UMMA: KUHUSU SANAA NCHINI NA HALI HALISI YA MAPOKEO YA KIBAO "KAKA SUMA".
http://nashemcee.blogspot.com/2014/03/nash-mc-atoa-taarifa-kwa-umma-kuhusu.html
Saturday, March 8, 2014. NASH MC ATOA TAARIFA KWA UMMA: KUHUSU SANAA NCHINI NA HALI HALISI YA MAPOKEO YA KIBAO "KAKA SUMA". Taarifa ambazo Nash Mc alizopokea na hatimaye akapata wasaa wa kusema haya yafutayo;. Ukweli siku zote una nguvu na unapingwa vikali. Yanayoendelea bungeni ni udumishaji wa amani? Mafisadi wanaokamatwa ni udumishaji wa amani? Mauwaji ya tembo na biashara za dawa za kulevya zinazohusisha vigogo ni udumishaji wa amani? 2 Wanahakiki kazi za msanii kwa kutumia vigezo gani? March 8, 2014...
nashemcee.blogspot.com
NASH EMCEE: HIP HOP VYUONI.
http://nashemcee.blogspot.com/2013/03/hip-hop-vyuoni.html
Monday, March 25, 2013. TAZAMA BAADHI YA PICHA ZA MHADHARA WA ELIMU KUHUSU HISTORIA YA HIP HOP NA UHALISIA WAKE ULIOFANYIKA KATIKA CHUO KIKUU CHA DODOMA JANA (U DOM).WATU WENGI WALIJITOKEZA NA ILIKUA NI SIKU YA HISTORIA SANA! MHADHIRI NASHIR ALIKUA NA JUKUMU LA KUENDESHA MHADHARA HUO AMBAO ULICHUKUA ZAIDI YA SAA 4! NITAPITA KILA CHUO KUHAKIKISHA ELIMU JUU YA UTAMADUNI WA HIP HOP UNASAMBAA IPASAVYO! March 18, 2014 at 7:53 AM. USIISAHAU MKWAWA (MUCE) Iringa. Subscribe to: Post Comments (Atom).
nashemcee.blogspot.com
NASH EMCEE
http://nashemcee.blogspot.com/2013/09/je-nash-emcee-anaizungumziaje-mitindo.html
Thursday, September 12, 2013. JE NASH EMCEE ANAIZUNGUMZIAJE MITINDO HURU? Ndugu wadau,wakereketwa au wanunuzi wa kazi zetu za HIPHOP na wote wanaotoa mchango wa hali na mali katika kuhakikisha gurudumu la sanaa hii linateleza kama tutakavyoona inafaa. Leo katika blogu yetu hii ndugu wasomaji na wadau wake tuna kijimada hapo kama kinavyosomeka hapo juu. Shukrani (REJEA,Hanzi, M.S,Chuo Kikuu Cha HipHop. 2012),Ubunifu Wetu Printing Press,Dar Es Salaam. Subscribe to: Post Comments (Atom). WADAU WA HII BLOG.
nashemcee.blogspot.com
NASH EMCEE: YARUDI UPYA KWA MAARIFA KUHUSU HIPHOP, BIDHAA ZA WASANII WA HIPHOP, MAKALA/ CHAMBUZI MAKINI .
http://nashemcee.blogspot.com/2014/02/yarudi-upya-kwa-maarifa-kuhusu-hiphop.html
Wednesday, February 19, 2014. YARUDI UPYA KWA MAARIFA KUHUSU HIPHOP, BIDHAA ZA WASANII WA HIPHOP, MAKALA/ CHAMBUZI MAKINI . Baada ya ukimya mrefu kiasi sasa blogu hii yaanza rasmi kuwaleteeni habari kuhusu wasanii wa HipHop Tanzania, Harakati zao, bidhaa zao mfano (santuri (albums), kandamseto (mixtapes), fulana zao. T-shirts), mashairi ya tungo zao (lyrics), makala elimishi, chambuzi makini za. Kazi zao za sanaa n.k, ushirikiano wako ni muhimu katika kutoa maoni juu ya kile tunaweka yaani pachiko.
nashemcee.blogspot.com
NASH EMCEE: JIFUNZE MENGI KUHUSU HIPHOP ---- kupitia blogu hii nashemcee.blogspot.com
http://nashemcee.blogspot.com/2013/09/jifunze-mengi-kuhusu-hiphop-kupitia.html
Monday, September 9, 2013. JIFUNZE MENGI KUHUSU HIPHOP - - kupitia blogu hii nashemcee.blogspot.com. HIPHOP umekuwa ni utamaduni au nyenzo adhimu kabisa ambao unawaunganisha watu wa aina mbalimbali hapa duniani hasa kwa wale wanaoishi katika misingi yake,kwani mbali. HIPHOP, thibitisha hili kwa kurejelea kibao cha. NASH MC' Kaka Suma. Subscribe to: Post Comments (Atom). WADAU WA HII BLOG. WATEMBEZI WA HII BLOG. Awesome Inc. template. Powered by Blogger.
nashemcee.blogspot.com
NASH EMCEE: KISWAHILI NA SANAA – MZIMU WA SHAABAN ROBERT.
http://nashemcee.blogspot.com/2015/05/kiswahili-na-sanaa-mzimu-wa-shaaban.html
Friday, May 1, 2015. KISWAHILI NA SANAA – MZIMU WA SHAABAN ROBERT. KISWAHILI NA SANAA – MZIMU WA SHAABAN ROBERT. Imetayarishwa na Abdul Rutona. Kwa mujibu wa “Kamusi ya Kiswahili Sanifu”, Toleo la Pili: Lugha ni mpangilio wa sauti na maneno unaoleta maana ambao hutumiwa na watu wa taifa au kundi fulani kwa ajili ya kuwasiliana. Katika Makala yenye kichwa cha “. Matumizi ya Lugha ya Kiswahili Katika Kazi za Sanaa” iliyoandikwa na Bwana. Ni ufundi wa kuwasilisha hisia na mawazo ya binadamu kwa mdomo, maand...
nashemcee.blogspot.com
NASH EMCEE: UNAKIJUA KIBAO CHA " MSHAIRI " KUTOKA KATIKA EP YA MCHOCHEZI ?
http://nashemcee.blogspot.com/2014/09/unakijua-kibao-cha-mshairi-kutoka.html
Sunday, September 7, 2014. UNAKIJUA KIBAO CHA " MSHAIRI " KUTOKA KATIKA EP YA MCHOCHEZI? UNAKIJUA KIBAO CHA " MSHAIRI " KUTOKA KATIKA EP YA MCHOCHEZI? Karibuni wapenzi wafuatiliaji wa blogu hii makini kabisa, leo kuna swali juu yako wewe shabiki wa Nash Mc. Swali kama linavyosomeka hapo juu, je unamfahamu vipi NASH MC? Je unaelewa mapito ya kimaisha aliyopitia? Sasa nakuibia siri kuwa kibao nambari 03 ndiyo jibu. Na, Mwanazuoni (Mlela)/ Muendesha blogu. Subscribe to: Post Comments (Atom).
nashemcee.blogspot.com
NASH EMCEE
http://nashemcee.blogspot.com/2013/03/show-ya-live-hip-hop-toka-kwa-tamaduni.html
Monday, March 25, 2013. SHOW YA LIVE HIP HOP TOKA KWA TAMADUNI MUZIK NI JUMAMOSI HII PALE NEW MSASANI CLUB KUANZIA SAA 11 JIONI. KIINGILIO TSH. 5000/=. Subscribe to: Post Comments (Atom). WADAU WA HII BLOG. WATEMBEZI WA HII BLOG. Awesome Inc. template. Powered by Blogger.
nashemcee.blogspot.com
NASH EMCEE: UZINDUZI WA SANTURI NNE (04) KUTOKA TAMADUNIMUZIK.
http://nashemcee.blogspot.com/2012/12/uzinduzi-wa-santuri-nne-04-kutoka_7.html
Friday, December 7, 2012. UZINDUZI WA SANTURI NNE (04) KUTOKA TAMADUNIMUZIK. Uzinduzi wa santuri nne (04) kutoka Tamadunimuzik mnamo tarehe 08/12/12 pale New Msasani Club kwa kiingilio cha elfu tano tu njoo upate raha ya HIP HOP kutoka Tamadunimuzik. Santuri ya KAD GO, AZMA, MANSU-LI, na MUJWAHUKI zitazinduliwa kwa pamoja. Karibu wewe mpenda HIP HOP uje uunge mkono na uendeleze harakati na mapinduzi ya HIP HOP. Subscribe to: Post Comments (Atom). WADAU WA HII BLOG. WATEMBEZI WA HII BLOG.
SOCIAL ENGAGEMENT