rukwareview.blogspot.com
OFISI YA MKUU WA MKOA RUKWA: MWENGE WA UHURU WAANZA ZIARA YA SIKU NNE MKOANI RUKWA LEO
https://rukwareview.blogspot.com/2015/07/mwenge-wa-uhuru-waanza-ziara-ya-siku.html
Statement of the Rukwa Regional Commissioner. Tovuti ya Mkoa wa Rukwa. Saturday, July 11, 2015. MWENGE WA UHURU WAANZA ZIARA YA SIKU NNE MKOANI RUKWA LEO. Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa Ndugu Smythies Pangisa akishika Mwenge wa Uhuru ulipowasili Mkoani Rukwa leo tarehe 11 Julai 2015. Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Mkutano Mkoani Rukwa wakiwa wamebeba bendera ya taifa kwa ajili ya kuipeleka na kuipeperusha eneo la makabidhiano ya Mwenge wa Uhuru kutoka Mkoa wa Mbeya kwenda Mkoa wa Rukwa. MWENGE WA UHURU WA...
rukwareview.blogspot.com
OFISI YA MKUU WA MKOA RUKWA: MENEJIMENTI YA OFISI YA MKUU WA MKOA WA RUKWA YAMPONGEZA MKUU WA MKOA HUO ENG. STELLA MANYANYA KWA USHINDI WA KISHINDO KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA MBINGA MAGHARIBI
https://rukwareview.blogspot.com/2015/08/timu-ya-menejimenti-ofisi-ya-mkuu-wa.html
Statement of the Rukwa Regional Commissioner. Tovuti ya Mkoa wa Rukwa. Tuesday, August 11, 2015. MENEJIMENTI YA OFISI YA MKUU WA MKOA WA RUKWA YAMPONGEZA MKUU WA MKOA HUO ENG. STELLA MANYANYA KWA USHINDI WA KISHINDO KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA MBINGA MAGHARIBI. Posted by Hamza Temba. Subscribe to: Post Comments (Atom). MENEJIMENTI YA OFISI YA MKUU WA MKOA WA RUKWA YAMP. THE GOVERNMENT OFFICIAL BLOG. MKUU WA WILAYA YA KASULU AFUNGA MAFUNZO YA JKT MUJIBU WA SHERIA KAMBI YA MTABILA 825KJ KASULU-KIGOMA. Mapok...
mbeyayetu.blogspot.com
Mbeya Yetu: MABATINI KINARA REDCROOS CUP 2015
http://mbeyayetu.blogspot.com/2015/05/mabatini-kinara-redcroos-cup-2015.html
Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com. Monday, May 18, 2015. MABATINI KINARA REDCROOS CUP 2015. Mwenyekiti wa Redcross Mkoa wa Mbeya, Ulimboka Mwakilili akizungumza na timu muda mfupi kabla hazijaingia uwanjani. Wachezaji wa Timu ya Ghana wakiwa katika picha ya pamoja. Wachezaji wa Timu ya Mabatini wakiwa katika picha ya pamoja. Timu zikiwa uwanjani zikitimua vumbi. Wachezaji wa timu ya mabatini wakishangilia baada ya kuibuka mabingwa. Alisema Ligi iyo ilianza kutim...
rukwareview.blogspot.com
OFISI YA MKUU WA MKOA RUKWA: Statement of the Rukwa Regional Commissioner
https://rukwareview.blogspot.com/p/ras-rukwa.html
Statement of the Rukwa Regional Commissioner. Tovuti ya Mkoa wa Rukwa. Statement of the Rukwa Regional Commissioner. A STATEMENT OF THE REGIONAL COMMISSIONER. Welcome to Rukwa Region,. Hon Eng. Stella Martin Manyanya (MP). Rukwa Region lies in the extreme. South western part of Tanzania. The region has an area of 27,765 Km. Ecologically, Rukwa Region consists of three (3) agro-climatic zones which include the Ufipa plateau, the Rukwa valley and the Lake Tanganyika shores. These ecological zones are f...
rukwareview.blogspot.com
OFISI YA MKUU WA MKOA RUKWA: MWENGE WA UHURU WAMALIZA MBIO ZAKE MKOANI RUKWA
https://rukwareview.blogspot.com/2015/07/mwenge-wa-uhuru-wamaliza-mbio-zake.html
Statement of the Rukwa Regional Commissioner. Tovuti ya Mkoa wa Rukwa. Thursday, July 16, 2015. MWENGE WA UHURU WAMALIZA MBIO ZAKE MKOANI RUKWA. Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya Kushoto akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Katavi Dkt. Ibrahim Msengi Mwenge wa Uhuru baada ya kumaliza ziara yake Mkoani Rukwa na kuanza ziara zake Mkoani Katavi tarehe 15 Julai 2015. Miongoni mwa wamiliki wa shamba hilo na Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa ndugu Juma Khamis Chum wakipiga picha ya pamoja na Mwenge w...
rukwareview.blogspot.com
OFISI YA MKUU WA MKOA RUKWA: May 2015
https://rukwareview.blogspot.com/2015_05_01_archive.html
Statement of the Rukwa Regional Commissioner. Tovuti ya Mkoa wa Rukwa. Saturday, May 23, 2015. MKUU WA MKOA WA RUKWA ENG. STELLA MANYANYA AONGOZA KIKAO CHA DHARURA CHA KAMATI YA USHAURI YA MKOA RCC NA KUPITISHA MAPENDEKEZO YA KUANZISHA MAJIMBO MAWILI MAPYA YA UCHAGUZI KATIKA WILAYA ZA SUMBAWANGA NA KALAMBO. Kushoto ni Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa Ndugu Smythies Pangisa. Sehemu ya wajumbe na waalikwa katika kikao hicho. Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa Ndugu Smythies Pangisa akitoa taarifa iliyopokelewa na ofis...
rukwareview.blogspot.com
OFISI YA MKUU WA MKOA RUKWA: April 2015
https://rukwareview.blogspot.com/2015_04_01_archive.html
Statement of the Rukwa Regional Commissioner. Tovuti ya Mkoa wa Rukwa. Friday, April 24, 2015. MFUKO WA CHANGAMOTO ZA MILLENIA (MCAT) YAKABIDHIN RASMI KAMBI YA KIANDA ILIYOPO MKOANI RUKWA KWA CHUO KIKUU CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA (MUST). Miongoni mwa nyumba ndogo ndogo za makazi ambazo zipo ndani ya kambi hiyo. Sehemu ya washiriki katika hafla hiyo ya makabidhiano kutoka Mkoani Rukwa na Mbeya. Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya katikati akizungumza na. Posted by Hamza Temba. Miongoni mwa mad...
rukwareview.blogspot.com
OFISI YA MKUU WA MKOA RUKWA: December 2014
https://rukwareview.blogspot.com/2014_12_01_archive.html
Statement of the Rukwa Regional Commissioner. Tovuti ya Mkoa wa Rukwa. Sunday, December 21, 2014. KIKAO CHA BARAZA LA BIASHARA MKOA WA RUKWA. Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya katikati akizungumza katika kikao cha baraza la biashara Mkoa wa Rukwa kilichofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa RDC Mkoani humo. Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Biashara nchini aliyejulikana kwa jina moja la Bwana Mbilinyi akichangia mawazo yake katika kuinua biashara Mkoani Rukwa. Posted by Hamza Temba. Mkuu wa...