habarinamatukioyakijamii.blogspot.com
VYAKULA MUHIMU KWA MAMA ANAYETARAJIA KUPATA UJAUZITO - habartz
http://habarinamatukioyakijamii.blogspot.com/2016/01/vyakula-muhimu-kwa-mama-anayetarajia.html
VYAKULA MUHIMU KWA MAMA ANAYETARAJIA KUPATA UJAUZITO. VYAKULA MUHIMU KWA MAMA ANAYETARAJIA KUPATA UJAUZITO. Ishu ya kupata mtoto ndani ya familia ni moja ya mambo muhimu ambayo ndoa nyingi huhitaji na hufurahia sana pale hali inapokuwa hivyo. Sasa shida huwa inakuja pale endapo wanandoa wanapokaa ndani ya ndoa kwa miaka kadhaa wakitafuta mtoto/ watoto lakini wasifanikiwe hapo ndipo tatizo huanza yakiwemo maneno ya kejeli na hata kufikia hatua za kutalakiana pia. Kwa upande wa wanaume inaelezwa kuwa vitam...
habarinamatukioyakijamii.blogspot.com
KAMPUNI ZA SIMU 5 ZIPO MATATANI HAPA NCHINI TANZANIA KISA NI HIKI HAPA! - habartz
http://habarinamatukioyakijamii.blogspot.com/2016/01/kampuni-za-simu-5-zipo-matatani-hapa.html
KAMPUNI ZA SIMU 5 ZIPO MATATANI HAPA NCHINI TANZANIA KISA NI HIKI HAPA! KAMPUNI ZA SIMU 5 ZIPO MATATANI HAPA NCHINI TANZANIA KISA NI HIKI HAPA! Kampuni hizo Airtel, Tigo, Smart, Halotel na Zantel, kila moja inatakiwa kulipa faini hiyo kabla ya Januari 29, mwakani. Dar es Salaam. Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imetoa adhabu ya faini ya Sh125 milioni kwa kampuni tano za simu za mkononi kwa kushindwa kuweka mazingira salama kwa wateja wao. Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Annast...
habarinamatukioyakijamii.blogspot.com
UKWELI KUHUSU TETESI TRA KUIFUNGIA SERENA HOTEL - habartz
http://habarinamatukioyakijamii.blogspot.com/2015/12/ukweli-kuhusu-tetesi-tra-kuifungia.html
UKWELI KUHUSU TETESI TRA KUIFUNGIA SERENA HOTEL. UKWELI KUHUSU TETESI TRA KUIFUNGIA SERENA HOTEL. HOTELI ya Kimataifa ya Serena jana ilikumbwa na msukosuko wa kuandamwa na waandishi wa habari baada ya kusambaa kwa tetesi kuwa imefungwa kwa amri ya serikali kwa kosa la ukwepaji wa kodi. Tetesi hizo zilisambaa jana kwenye mitandao ya kijamii, zikieleza kuwa maofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wameifunga hoteli hiyo baada ya uongozi wake kukwepa kulipa kodi serikalini kwa mujibu wa sheria. Uongozi w...
habarinamatukioyakijamii.blogspot.com
NJIA YA KUPATA MTOTO WA KIUME KUTUMIA SIKU 24 NA 28 - habartz
http://habarinamatukioyakijamii.blogspot.com/2016/01/njia-ya-kupata-mtoto-wa-kiume-kutumia.html
NJIA YA KUPATA MTOTO WA KIUME KUTUMIA SIKU 24 NA 28. NJIA YA KUPATA MTOTO WA KIUME KUTUMIA SIKU 24 NA 28. 164; Siku zote mtoto wa kiume hupatikana siku Mwanamke ameingia Ovulation/yai limetoka na anahamu sana na Mwanaume kuliko siku zote.(Zile I Miss U zinapokuwa zinazidi). Ikumbukwe kuwa mbegu ya kiume Y inawahi kufika kuliko X ndo maana nakushauri hivyo. Na pia Y inawahi kufa kabla ya X. Y inaishi siku 2 mpaka 2.5 wakati X inaishi mpaka siku 3 na 3.5. Kwa ushauri zaidi wasiliana na Tabibu Mandai. Asant...
habarinamatukioyakijamii.blogspot.com
BREAKING NEWZZZ MBUNGE WA UBUNGO SAED KUBENEA APANDISHWA KIZIMBANI ,ASHITAKIWA KWA HILI - habartz
http://habarinamatukioyakijamii.blogspot.com/2015/12/breaking-newzzz-mbunge-wa-ubungo-saed.html
BREAKING NEWZZZ MBUNGE WA UBUNGO SAED KUBENEA APANDISHWA KIZIMBANI ,ASHITAKIWA KWA HILI. BREAKING NEWZZZ MBUNGE WA UBUNGO SAED KUBENEA APANDISHWA KIZIMBANI ,ASHITAKIWA KWA HILI. Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea. Baada ya taflani iliyotokea jana Jumatatu kati ya mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea wa Chadema na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda eneo la viwanda (EPZA) Mabibo jijini Dar hali iliyopelekea DC Makonda kuwaamuru polisi wamuweke chini ya ulinzi Saed Kubenea na kumpeleka Kituo cha Polisi. Faida ...
habarinamatukioyakijamii.blogspot.com
JE UNAJUA SABABU YA KUCHOMOKA KWA CONDOMU AU KUPASUKA WAKATI WA TENDO LA NDOA - habartz
http://habarinamatukioyakijamii.blogspot.com/2016/02/je-unajua-sababu-ya-kuchomoka-kwa.html
JE UNAJUA SABABU YA KUCHOMOKA KWA CONDOMU AU KUPASUKA WAKATI WA TENDO LA NDOA. JE UNAJUA SABABU YA KUCHOMOKA KWA CONDOMU AU KUPASUKA WAKATI WA TENDO LA NDOA. Kondomu ikipasuka wakati wa kufanya mapenzi, wahusika waliokuwa wanashiriki hukosa kinga dhidi ya maambukizi ya magonjwa ya zinaa au VVU ikiwa mmoja wao anayo au kupata ujauzito. Mambo Yanayochangia Kondomu Kupasuka. 183; Kutumia kondomu iliyopitisha muda wake wa matumizi. 183; Kutoacha nafasi ya kukusanya shahawa sehemu ya mbele ya kondomu. 183; Ne...
habarinamatukioyakijamii.blogspot.com
HABARI KUU KATIKA MAGAZETI YA LEO IJUMAA JANUARY 29-2016 - habartz
http://habarinamatukioyakijamii.blogspot.com/2016/01/habari-kuu-katika-magazeti-ya-leo.html
HABARI KUU KATIKA MAGAZETI YA LEO IJUMAA JANUARY 29-2016. HABARI KUU KATIKA MAGAZETI YA LEO IJUMAA JANUARY 29-2016. HABARI KUU KATIKA MAGAZETI YA LEO IJUMAA JANUARY 29-2016. On 1/29/2016 07:40:00 AM. Habari na Matukio ya Kijamii TZ. Asante kwa kutembelea blog hii, Umependa story zetu, Unalakutaka ku share na sisi? Ungana nasi kupitia mtandao wa kijamii kati ya hizi hapa chini! Subscribe to: Post Comments (Atom). NJIA YA KUPATA MTOTO WA KIUME KUTUMIA SIKU 24 NA 28. JINSI YA KUPATA MTOTO WA KIUME AU KIKE.
habarinamatukioyakijamii.blogspot.com
JINSI YA KUPATA MTOTO WA KIUME AU KIKE - habartz
http://habarinamatukioyakijamii.blogspot.com/2015/11/jinsi-ya-kupata-mtoto-wa-kiume-au-kike.html
JINSI YA KUPATA MTOTO WA KIUME AU KIKE. JINSI YA KUPATA MTOTO WA KIUME AU KIKE. Au hata wasio na ndoa hujiuliza maswali haya. Nini nifanye ili nipate mtoto wa kike au kiume? Je, kuna dawa au vyakula vya kusaidia kupata mtoto ninayemtaka? Siku gani nikikutana na mwenzangu naweza kupata mtoto wa kiume au kike? Mtoto hutengenezwa pale mbegu ya kiume inapokutana na yai la kike. Mbegu ya kiume hubeba vinasaba vya X na Y, wakati yai la mwanamke likiwa na vinasaba vya X peke. Mtoto wa kike, kutana na mwenzi wak...
habarinamatukioyakijamii.blogspot.com
HILI NDIYO SOKA LA BONGO, AIBU TUPU! - habartz
http://habarinamatukioyakijamii.blogspot.com/2015/12/hili-ndiyo-soka-la-bongo-aibu-tupu.html
HILI NDIYO SOKA LA BONGO, AIBU TUPU! HILI NDIYO SOKA LA BONGO, AIBU TUPU! Soka la Bongo bado litaendelea kusuasua kwasababu moja ya wadau wakubwa wa soka letu bado hawaonekani kujali wala kuthamini kile wanachokifanya kwenye maisha yao ya kila siku ya soka. Jana ulihcezwa mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara kati ya JKT Ruvu dhidi ya Castal Union kwenye uwaja wa kumbukumbu ya Karume jijini Dar es Salaam ambao ulimalizika kwa sare ya kufungana magoli 2-2. Hali hiyo ilizua mawali mwengi kwa mashabik...
habarinamatukioyakijamii.blogspot.com
HABARI KUU KATIKA MAGAZETI YA LEO JUMA NNEJANUARY 19-2016 - habartz
http://habarinamatukioyakijamii.blogspot.com/2016/01/habari-kuu-katika-magazeti-ya-leo-juma.html
HABARI KUU KATIKA MAGAZETI YA LEO JUMA NNEJANUARY 19-2016. HABARI KUU KATIKA MAGAZETI YA LEO JUMA NNEJANUARY 19-2016. HABARI KUU KATIKA MAGAZETI YA LEO JUMA NNEJANUARY 19-2016. On 1/19/2016 07:39:00 AM. Habari na Matukio ya Kijamii TZ. Asante kwa kutembelea blog hii, Umependa story zetu, Unalakutaka ku share na sisi? Ungana nasi kupitia mtandao wa kijamii kati ya hizi hapa chini! Subscribe to: Post Comments (Atom). NJIA YA KUPATA MTOTO WA KIUME KUTUMIA SIKU 24 NA 28. JINSI YA KUPATA MTOTO WA KIUME AU KIKE.
SOCIAL ENGAGEMENT