twalemworld.blogspot.com
Kuuliza Sio Ujinga: 13/03/2011
http://twalemworld.blogspot.com/2011_03_13_archive.html
Asking Is Not Stupidity. KARIBUNI TWALEMWORLD ü. WELCOME TO TWALEMWORLD ü. Kikombe cha Babu wa Loliondo - nusu kimejaa au nusu tupu? Loliondo's Babu's cup - half full or half empty? Hichi ndo kikombe cha Babu! Kwa Tsh. 500/- nawewe unaweza kujipatia uzima! Serikali imsaidie kutoa huduma yake au la? This is Babu's cup! For Tsh. 500/- you can also buy wellness! Do you believe it? Should the government help to provide his services? Twalem @ 4:49 PM. Anuani ya kipachikwa / link to this post. More so, how is ...
twalemworld.blogspot.com
Kuuliza Sio Ujinga: 20/03/2011
http://twalemworld.blogspot.com/2011_03_20_archive.html
Asking Is Not Stupidity. KARIBUNI TWALEMWORLD ü. WELCOME TO TWALEMWORLD ü. What should the US do? Nini tunataka Marekani ifanye? Hasa kuhusu hali kwenye nchi za Uarabuni n.k. , wakikaa kimya wanafiki, wakileta majeshi, wavamizi, JE? What do we want the US to do? Especially with regards to the situation in the Arab world, when there is no response , they are hypocrites, when they send troops they are invaders. What should happen? Twalem @ 11:36 PM. Anuani ya kipachikwa / link to this post. Au ni mimi tu?
twalemworld.blogspot.com
Kuuliza Sio Ujinga: 11/12/2011
http://twalemworld.blogspot.com/2011_12_11_archive.html
Asking Is Not Stupidity. KARIBUNI TWALEMWORLD ü. WELCOME TO TWALEMWORLD ü. Unataka ujulikane au ukumbukwe kwa lipi? What do you want to be known or remembered for? Kila mmoja wetu ana malengo yake binafsi, na mara kwa mara malengo haya hutupeleka kuelekeza nguvu zetu kwenye jambo au mambo kadhaa mahususi. Haya yanaweza kuhusisha familia yetu, jamii au hata ulimwengu mzima. Je, kwa muda wa maisha yako au baada yake ungependa kujulikana au kukumbukwa na nani? Na kwa lipi au yapi? Twalem @ 9:25 AM. Lengo la...
twalemworld.blogspot.com
Kuuliza Sio Ujinga: 01/05/2011
http://twalemworld.blogspot.com/2011_05_01_archive.html
Asking Is Not Stupidity. KARIBUNI TWALEMWORLD ü. WELCOME TO TWALEMWORLD ü. Je unaweza kuwa na imani bila dini,au dini bila imani? Kipi kina umuhimu zaidi? Unaweza kuishi bila imani au dini? Can one have faith without religion or vice-versa? Which is more important? And can one live without having neither? Twalem @ 1:25 PM. Anuani ya kipachikwa / link to this post. Au kwanini mataifa mbali mbali yameongeza ulinzi kwenye mipaka yao na Balozi za Marekani? Twalem @ 5:43 PM. Maana kufanya hivyo wakati hupendw...
twalemworld.blogspot.com
Kuuliza Sio Ujinga: 04/09/2011
http://twalemworld.blogspot.com/2011_09_04_archive.html
Asking Is Not Stupidity. KARIBUNI TWALEMWORLD ü. WELCOME TO TWALEMWORLD ü. Afrika haiendelei / Africa is not developing. Kauli hii sio ya ukweli kwa asilimia mia moja, lakini bado ina ukweli ndani yake. Na hapo ndipo tatizo lilipo. Kwanini bara , hasa katika nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara, bado lipo nyuma kimaendeleo? This statement is not 100% true , but there lies some truth in it, and that is a problem. Why is the continent, especially in the sub-Saharan countries,still lagging behind? Kwanin...
twalemworld.blogspot.com
Kuuliza Sio Ujinga: 23/10/2011
http://twalemworld.blogspot.com/2011_10_23_archive.html
Asking Is Not Stupidity. KARIBUNI TWALEMWORLD ü. WELCOME TO TWALEMWORLD ü. Urefu wa kiongozi wako / Your leader's height. Naam, urefu wa kiongozi wako unampa sifa gani ambazo zitaimarisha uongozi wake? Mengi husemwa juu ya tabia ya mtu kutegemea na urefu wake.Kwa mfano, watu wafupi inasemekana huwa ni watu wenye hisia kali, na wenye kuwa na bidii. Hali kadhalika inasemekana watu warefu huwa na ari ya hekima na wenye kujiamini. Twalem @ 1:41 PM. Anuani ya kipachikwa / link to this post. Twalem @ 8:38 PM.
twalemworld.blogspot.com
Kuuliza Sio Ujinga: 15/05/2011
http://twalemworld.blogspot.com/2011_05_15_archive.html
Asking Is Not Stupidity. KARIBUNI TWALEMWORLD ü. WELCOME TO TWALEMWORLD ü. Idadi ya wapenzi / Lover numbers. Kwanini idadi ya wapenzi (waliopita) inakuwa ni swala kubwa zaidi kwa wanawake? Kwamba wanawake wanashushwa hadhi kadri idadi ya wapenzi wao inavyoongezeka? Kwanini wanaume wanaonekana kuwa 'wajanja' zaidi kadri idadi ya wapenzi wao inavyopanda? Why is it that the number of (ex) lovers is more of a big deal when it comes to women? Why do men seem to be more adept when their. Twalem @ 9:22 PM.
twalemworld.blogspot.com
Kuuliza Sio Ujinga: 26/06/2011
http://twalemworld.blogspot.com/2011_06_26_archive.html
Asking Is Not Stupidity. KARIBUNI TWALEMWORLD ü. WELCOME TO TWALEMWORLD ü. If it were you what would you do? Ni rahisi kwetu kukaa na kusimulia, au kuropoka kuwa ingekuwa sisi tungefanya hiki, kile , yale n.k. Je, kiukweli unadhani ungeweza? Tukiacha utani na kufikiria kwa kina ,kwa mfano, ungekuwa rais wa nchi yako, ungebadilisha sheria, katiba au ilani kwa namna gani? Ungekuwa nyota maarufu mwenye uwezo kifedha kupita kiasi au ungeshinda lotto leo kwa kishindo(! Ungetumia vipi utajiri wako? Anuani ya k...
twalemworld.blogspot.com
Kuuliza Sio Ujinga: 21/08/2011
http://twalemworld.blogspot.com/2011_08_21_archive.html
Asking Is Not Stupidity. KARIBUNI TWALEMWORLD ü. WELCOME TO TWALEMWORLD ü. How should a hug be given? Kwa wengine ni namna ya kutoa salaam , kuagana, wakati mwingine ni kwa ajili ya kuoneshana upendo au kufariji, ni kati ya wanawake na wanaume, marafiki, wapendanao, ndugu n.k. LAKINI turudi kwenye kati ya wanawake na wanaume ambao ni marafiki. ambapo kitendo hichi kinaweza kuleta utata kidogo. Ni jinsi gani kumkumbatia rafiki wa jinsia nyingine bila 'kuvuka mpaka'? Twalem @ 4:23 AM. Kuhusu mimi / About Me.
twalemworld.blogspot.com
Kuuliza Sio Ujinga: 27/03/2011
http://twalemworld.blogspot.com/2011_03_27_archive.html
Asking Is Not Stupidity. KARIBUNI TWALEMWORLD ü. WELCOME TO TWALEMWORLD ü. Kadri unavyoingia kwenye jengo / ofisi, sehemu ya mapokezi ni muhimu kwenye kukuvutia zaidi kukidhi mahitaji yako pale. Hii pia ni kweli inapokuja kwenye mahusiano kati yetu binaadam. Mara kwa mara, hasa kwenye mahusiano ya kimapenzi na kwenye jitihada za kuwavutia tulio wakusudia tunajiuliza ni kipi wanataka kuona kabla ya kutuchangamkia? Je kwenu akina kaka, ni kipi mnataka kukiona? If we are to use the sisters on TV, and in mag...