rugeray.blogspot.com
Rayz of Diamond: J. K. NDANI YA MWANZA
http://rugeray.blogspot.com/2010/08/j-k-ndani-ya-mwanza.html
My Blog, your Blog, it is our Blog.". Monday, August 23, 2010. J K NDANI YA MWANZA. Kipenga cha Kampeni za Wagombea wa nafasi za Urais, Ubunge na Udiwani katika mwaka huu wa uchagazi, ndivyo hivyo kimeshapulizwa. Chama tawala.Chama cha Mapinduzi CCM kupitia kwa Mgombea wake urais Jakaya Kikwete na mgombea mwenza wake Ghalib Bilal imeshazindua rasmi kampeni zake huko jijini Dar es Salaam. Watu wakajitokeza kwa wingi kuwashuhudia Wagombea hao wa CCM:. Maeneo waliyoahidi kuyafanyia kazi zaidi ni kuboresha m...
garamauk.blogspot.com
Lake Zone Journalists Internet Training: INTERNET AS A TOOL IN JOURNALISM
http://garamauk.blogspot.com/2009/10/internet-as-tool-in-journalism.html
Lake Zone Journalists Internet Training. Hello, get to know that I'm now Internet Litterate. This became after attending the internet training conducted Peik Johanson of VIKES, a Finish Media Foundation in collaboration with Misa Tanzania. Wednesday, October 28, 2009. INTERNET AS A TOOL IN JOURNALISM. Dear all, today (October 28, 2009) was a third day since we, Lake Zone Journalists started our five days training about the use of internet in our daily activities. Led by our Trainer Peik Johanson. To look...
rugeray.blogspot.com
Rayz of Diamond: December 2010
http://rugeray.blogspot.com/2010_12_01_archive.html
My Blog, your Blog, it is our Blog.". Friday, December 17, 2010. Round of 16 draw. AS Roma v FC Shakhtar Donetsk. AC Milan v Tottenham Hotspur FC. Valencia CF v FC Schalke 04. FC Internazionale Milano v FC Bayern München. Olympique Lyonnais v Real Madrid CF. Arsenal FC v FC Barcelona. Olympique de Marseille v Manchester United FC. FC København v Chelsea FC. Monday, December 6, 2010. Kwa Mwaka huu 2010, Tanzania iliwakilishwa na mwanadada Aneth Kushaba:. Na kisha akawepo mwanadada mwingine Leah Muddy:.
rugeray.blogspot.com
Rayz of Diamond: KINYANG'ANYIRO CHA USPIKA CCM.....
http://rugeray.blogspot.com/2010/11/kinyanganyiro-cha-uspika-ccm.html
My Blog, your Blog, it is our Blog.". Thursday, November 11, 2010. KINYANG'ANYIRO CHA USPIKA CCM. Viwanja vya Bunge mjini Dodoma vimetawaliwa na Vazi la Kijani leo baada ya zaidi ya Wabunge 200 wa Chama cha Mapinduzi CCM kukusanyika pamoja kwa ajili ya uchaguzi wa Mgombea wa Uspika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mama Makinda akiomba kura kutoka kwa Mmoja wa wajumbe wa Mkutano wa Kamati ya Wabunge wa CCM. Na Mama KATE KAMBA. Tangu Tanzania imepata uhuru haijawahi kuwa na kiongozi mkuu mwanamke katika...
rugeray.blogspot.com
Rayz of Diamond: SAFARI YA KUWASILI MJENGONI HIYOOO.........
http://rugeray.blogspot.com/2010/11/kuwasili-mjengoni.html
My Blog, your Blog, it is our Blog.". Thursday, November 11, 2010. SAFARI YA KUWASILI MJENGONI HIYOOO. Wa Kwanza Kushoto ni Ezekiel Dibogo Wenje, mbunge mteule kwa tiketi ya CHADEMA katika jimbo la Nyamagana Mwanza.wa katikati (nyuma) ni Hyness Kiwia, mbunge mteule kwa tiketi ya CHADEMA katika jimbo la Ilemela Mwanza na wa kulia ni Felix Mkosamali (Mwanafunzi wa Mwaka wa Tatu SAUT) ambaye ni Mbunge mdogo kuliko wote (Miaka 24) toka NCCR Mageuzi katika jimbo la Muhambwe Kigoma. Moja kati ya Wabunge wateul...
peckmoon.blogspot.com
The moonlight: Wa mbele ni Devota Sotel wa Passion FM, kushoto ni Legal Advisor wa MPC wakiwa na trainer wao Mr, Peik
http://peckmoon.blogspot.com/2009/11/wa-mbele-ni-devota-sotel-wa-passion-fm.html
Posting for learning purpose by Peacock Moonlight. Thursday, November 26, 2009. Wa mbele ni Devota Sotel wa Passion FM, kushoto ni Legal Advisor wa MPC wakiwa na trainer wao Mr, Peik. Subscribe to: Post Comments (Atom). Tukitumia vizuri mbuga zetu tunaweza kuongeza pato la Taifa vizuri sana. Tuna wanyama wengi na wazuri sana. Tuangalie mungu alivyotujaalia vitu vizuri nchi zingine hakuna. Tusitegemee tu wageni toka nje kutembelea mbuga zetu. Tupende kutembelea mbuga zetu. MrPeik akiwa na George Ramadhani.
deusbugaywa.blogspot.com
Tanzania kwanza: Kamata! Shika! na mwenyewe nyuma…..!
http://deusbugaywa.blogspot.com/2010/02/kamata-shika-na-mwenyewe-nyuma.html
Umuhimu wa wananchi kuwa wazalendo kwa nchi yao na kufanya mambo yote kwa manufaa ya taifa lao - Tanzania mbele na vingine vitafuata. Friday, February 19, 2010. Na mwenyewe nyuma…! Ukiwaangalia Watanzania wa leo utaona kwenye fikra zao, nyuso zao na hisia zao utaona wazi kabisa kuwa iko kiu ya mabdiliko. Watu wanataka mabadiliko wamechoka na mazoea waliokuwa nayo na ambayo yanaendelea kuwafanya wawe dhalili. Majitoleo yanayozungimziwa hapa ni pamoja na kukubali kuachana na mazoea mabaya ambayo tunayaona ...
deusbugaywa.blogspot.com
Tanzania kwanza: Ukombozi Tanzania uko mikononi mwako
http://deusbugaywa.blogspot.com/2010/02/ukombozi-tanzania-uko-mikononi-mwako.html
Umuhimu wa wananchi kuwa wazalendo kwa nchi yao na kufanya mambo yote kwa manufaa ya taifa lao - Tanzania mbele na vingine vitafuata. Friday, February 5, 2010. Ukombozi Tanzania uko mikononi mwako. Ni kweli kwamba maendeleo katika sehemu yeyote duniani yanaletwa na watu wenyewe, kwamba hakuna muujiza unaoweza kujitokeza kumletea mtu maendeleo isipokuwa kwa kufanyakazi kwa bidii na maarifa. Katika nchi zetu hizi uongozi ni suala tete sana , ni mchanganyiko wa watu wa aina mbali mbali ambao wengine hata ha...
peckmoon.blogspot.com
The moonlight: moro press club
http://peckmoon.blogspot.com/2010/03/moro-press-club.html
Posting for learning purpose by Peacock Moonlight. Thursday, March 25, 2010. Moro press club wakiwa kwenye ziara yao hapa wapo ofisi za UTPC Mwanza. Subscribe to: Post Comments (Atom). Tukitumia vizuri mbuga zetu tunaweza kuongeza pato la Taifa vizuri sana. Tuna wanyama wengi na wazuri sana. Tuangalie mungu alivyotujaalia vitu vizuri nchi zingine hakuna. Tusitegemee tu wageni toka nje kutembelea mbuga zetu. Tupende kutembelea mbuga zetu. Kumbukumbu za matukio haya ni muhimu.