shambalabibi.blogspot.com
SHAMBA LA BIBI: 09/09/11
http://shambalabibi.blogspot.com/2011_09_09_archive.html
Friday, September 9, 2011. ALVAREZ KOCHA MPYA COLOMBIA. Kiungo wa zamani wa timu ya taifa ya Colombia aliewika na timu hiyo toka mwaka 1983 ametangazwa. Kuwa kocha mpya wa Colombia kuchukua mikoba ya Herman Dario Gomez. Raisi wa shirikisho la mpira wa miguu nchini Colombia amesema kuwa msaidizi huyo wazamanio wa Dario Gomez ni atakuwa kocha mpya wa timu hiyo ya Colombia. Hii kwa Alvarez ni nasafi yake ya pili kukinoa kikosi hicho ambapo. Alishawahi kuinoa timu hiyo kwa miaka miwili. HIVI SASA NI SAA.
shambalabibi.blogspot.com
SHAMBA LA BIBI: 09/15/11
http://shambalabibi.blogspot.com/2011_09_15_archive.html
Thursday, September 15, 2011. MATOKEO YA KLABU BINGWA YA JANA NA JUZI. Thursday, September 15, 2011. Subscribe to: Posts (Atom). Stream videos at Ustream. Mtikisiko 2011.kiraruraruuu,. HIVI SASA NI SAA. WADAU WA SHAMBA LA BIBI. View my complete profile. Simple template. Powered by Blogger.
shambalabibi.blogspot.com
SHAMBA LA BIBI: 09/07/11
http://shambalabibi.blogspot.com/2011_09_07_archive.html
Wednesday, September 7, 2011. SIMBA OYEEEEEEEE, YANGA ZIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII. Ligi kuu tanzania bara simba yaifunga Vila Squad goli moja kwa sifuri goli limefunga na Gervas Cago. Msemaji wa simba Ezekiel Kamwaga amesema mchezo uli kuwa mgumu mno. Kutoka morogoro Yanga yazidi kufulia baada ya kuambulia sare katika mchezo wake dhidi ya Mtibwa Sugar. Kule Dodoma timu ya Polisi Dodoma imetoka suluhu na Ruvu Shooting huku dereva wa bosi wa Ruvu shooting akipigwa na wadau wa Polisi Dodoma.
chrisbabyone.blogspot.com
CHRIS B ''AM SO HOOD''.: AZMA wa UMABE ARTZ NI NOUMAR
http://chrisbabyone.blogspot.com/2011/02/blog-post_08.html
KILA JAMBO RUKUSA KUFANYA LAKINI TUMIA NJIA HALALI. 26 NUMBER. Tuesday, February 8, 2011. AZMA wa UMABE ARTZ NI NOUMAR. MY NAME IS HIP MY FATHER IZ HOP ni ngoma IMETENGENEZWA NA PRODUZA KITA ambayo nilijifeel pouwa napo i release kwa mafanz wa BOMBA FM MBEYA 104.0 MHz kupitia kipindi nacho kidrive cha BOMBA SPECIAL SHO coz wana kibao walitoa maonoi yao. CHRIS B ' AM SO HOOD' . Subscribe to: Post Comments (Atom). THIS BLOG SPONSORED BY UDF. THE OWNER OF THIS BLOG. Phone: 255656 117 664, 255764 240 440.
chrisbabyone.blogspot.com
CHRIS B ''AM SO HOOD''.: May 2011
http://chrisbabyone.blogspot.com/2011_05_01_archive.html
KILA JAMBO RUKUSA KUFANYA LAKINI TUMIA NJIA HALALI. 26 NUMBER. Wednesday, May 11, 2011. BOMBA FM RADIO 104.0MHz Wanakuletea MISS VODACOM MBEYA 2011 JUNE 4. Na hii ni Baadhi ya Matukio ya Mashindano yaliyopita Nazungumzia Mwaka uliopita wa 2011 Katika Ukumbi wa Mkapa. Safari hii Itakuwa ni Tofauti Kabisa. BOMBA FM RADIO MBEYA 104.0MHz. Wanakuletea MISS VODACOM MBEYA. 2011 ndani ya Uwanja wa Kumbukumbu SOKOINE. Tarehe 4 JUNE 2011. Nyakati za Usiku, Ambapo Burudani itadondoshwa na MASHUJAA MUSICA BAND.
chrisbabyone.blogspot.com
CHRIS B ''AM SO HOOD''.: C PWAA KUZINDUA ALBAM YAKE FEBRUARY... 13,
http://chrisbabyone.blogspot.com/2011/02/crank-master-in-na-music-industry-in.html
KILA JAMBO RUKUSA KUFANYA LAKINI TUMIA NJIA HALALI. 26 NUMBER. Tuesday, February 8, 2011. C PWAA KUZINDUA ALBAM YAKE FEBRUARY. 13,. The CRANK MASTER in na MUSIC INDUSTRY in BONGO TZ mamen CP "CPWAA" anayetamba na ngoma ya ACTION hivisasa aliyojaribu kuwashirikisha wakaili wengine kama NGWAIR, DULLY na MS TRINITY raia wa TRINIDAD and TOBAGO ambaye makaazi yake ni LONDON. CHRIS B ' AM SO HOOD' . Subscribe to: Post Comments (Atom). THIS BLOG SPONSORED BY UDF. THE OWNER OF THIS BLOG. CHRIS B ' AM SO HOOD' .
chrisbabyone.blogspot.com
CHRIS B ''AM SO HOOD''.: February 2011
http://chrisbabyone.blogspot.com/2011_02_01_archive.html
KILA JAMBO RUKUSA KUFANYA LAKINI TUMIA NJIA HALALI. 26 NUMBER. Tuesday, February 22, 2011. BAC-T AFUNGUKA JUU YA MAISHA YAKE KIMUZIKI. Hii akiwa katika moja ya pozi zake ama hakika hili kila mmoja unapaswa kuliazima na kulirudisha pia. Akiwa katika Moja ya Show alizofunika na kukonga nyoyo za Mashabiki katika Nchi ya KAGAME kulee.RWANDA mji mkuu wa KIGALI. Umeisoma hiyo mdau. B CHUKUA HII SASA UMFAHAMU KIUNDANI ZAIDI Eee BWANA NI FRESH PIA NI POA. Ukiachia mbali na kazi ya Redio kama redio presenter at c...
chrisbabyone.blogspot.com
CHRIS B ''AM SO HOOD''.: JIFUNZE KISWAHILI SHOW COMING ON SUNDAY STAY TUNED EKIMEEZA LIVE RADIO
http://chrisbabyone.blogspot.com/2011/02/jifunze-kiswahili-show-coming-on-sunday.html
KILA JAMBO RUKUSA KUFANYA LAKINI TUMIA NJIA HALALI. 26 NUMBER. Sunday, February 13, 2011. JIFUNZE KISWAHILI SHOW COMING ON SUNDAY STAY TUNED EKIMEEZA LIVE RADIO. Click here okeiiii pamojaa saana. utaisoma vema. Http:/ media.streamads.com/playersdk/v2/widgets/webplayer/arplayer/player.html? CHRIS B ' AM SO HOOD' . Subscribe to: Post Comments (Atom). THIS BLOG SPONSORED BY UDF. Address: P.O. Box 6404 Mbeya, Ilomba Ward, Ituha Village, Tonya Street, MBEYA CITY, 255 784212573 Tanzania. THE OWNER OF THIS BLOG.
shambalabibi.blogspot.com
SHAMBA LA BIBI: LIGI KUU YA TANZANIA IMEENDELEA
http://shambalabibi.blogspot.com/2011/09/ligi-kuu-ya-tanzania-imeendelea.html
Thursday, September 22, 2011. LIGI KUU YA TANZANIA IMEENDELEA. Katika uwanja wa Chamazi timu ya MORO United ilitoka sare ya magoli 2 kwa 2 katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara iliyochezwa kwenye Uwanja wa Azam Chamazi, Dar es Salaam. Dakika ya 35 goli la kwanza la JKT Ruvu lilifungwa Henry. Ngonye kabla ya JKT kusawazishwa na Husein Bunu katika dakika ya. 67 kwa kuunganisha krosi ilipigwa na Rajabu Chau,. Thursday, September 22, 2011. Subscribe to: Post Comments (Atom). Stream videos at Ustream. WADAU ...