chrisbabyone.blogspot.com
CHRIS B ''AM SO HOOD''.: AZMA wa UMABE ARTZ NI NOUMAR
http://chrisbabyone.blogspot.com/2011/02/blog-post_08.html
KILA JAMBO RUKUSA KUFANYA LAKINI TUMIA NJIA HALALI. 26 NUMBER. Tuesday, February 8, 2011. AZMA wa UMABE ARTZ NI NOUMAR. MY NAME IS HIP MY FATHER IZ HOP ni ngoma IMETENGENEZWA NA PRODUZA KITA ambayo nilijifeel pouwa napo i release kwa mafanz wa BOMBA FM MBEYA 104.0 MHz kupitia kipindi nacho kidrive cha BOMBA SPECIAL SHO coz wana kibao walitoa maonoi yao. CHRIS B ' AM SO HOOD' . Subscribe to: Post Comments (Atom). THIS BLOG SPONSORED BY UDF. THE OWNER OF THIS BLOG. Phone: 255656 117 664, 255764 240 440.
chrisbabyone.blogspot.com
CHRIS B ''AM SO HOOD''.: May 2011
http://chrisbabyone.blogspot.com/2011_05_01_archive.html
KILA JAMBO RUKUSA KUFANYA LAKINI TUMIA NJIA HALALI. 26 NUMBER. Wednesday, May 11, 2011. BOMBA FM RADIO 104.0MHz Wanakuletea MISS VODACOM MBEYA 2011 JUNE 4. Na hii ni Baadhi ya Matukio ya Mashindano yaliyopita Nazungumzia Mwaka uliopita wa 2011 Katika Ukumbi wa Mkapa. Safari hii Itakuwa ni Tofauti Kabisa. BOMBA FM RADIO MBEYA 104.0MHz. Wanakuletea MISS VODACOM MBEYA. 2011 ndani ya Uwanja wa Kumbukumbu SOKOINE. Tarehe 4 JUNE 2011. Nyakati za Usiku, Ambapo Burudani itadondoshwa na MASHUJAA MUSICA BAND.
chrisbabyone.blogspot.com
CHRIS B ''AM SO HOOD''.: C PWAA KUZINDUA ALBAM YAKE FEBRUARY... 13,
http://chrisbabyone.blogspot.com/2011/02/crank-master-in-na-music-industry-in.html
KILA JAMBO RUKUSA KUFANYA LAKINI TUMIA NJIA HALALI. 26 NUMBER. Tuesday, February 8, 2011. C PWAA KUZINDUA ALBAM YAKE FEBRUARY. 13,. The CRANK MASTER in na MUSIC INDUSTRY in BONGO TZ mamen CP "CPWAA" anayetamba na ngoma ya ACTION hivisasa aliyojaribu kuwashirikisha wakaili wengine kama NGWAIR, DULLY na MS TRINITY raia wa TRINIDAD and TOBAGO ambaye makaazi yake ni LONDON. CHRIS B ' AM SO HOOD' . Subscribe to: Post Comments (Atom). THIS BLOG SPONSORED BY UDF. THE OWNER OF THIS BLOG. CHRIS B ' AM SO HOOD' .
chrisbabyone.blogspot.com
CHRIS B ''AM SO HOOD''.: February 2011
http://chrisbabyone.blogspot.com/2011_02_01_archive.html
KILA JAMBO RUKUSA KUFANYA LAKINI TUMIA NJIA HALALI. 26 NUMBER. Tuesday, February 22, 2011. BAC-T AFUNGUKA JUU YA MAISHA YAKE KIMUZIKI. Hii akiwa katika moja ya pozi zake ama hakika hili kila mmoja unapaswa kuliazima na kulirudisha pia. Akiwa katika Moja ya Show alizofunika na kukonga nyoyo za Mashabiki katika Nchi ya KAGAME kulee.RWANDA mji mkuu wa KIGALI. Umeisoma hiyo mdau. B CHUKUA HII SASA UMFAHAMU KIUNDANI ZAIDI Eee BWANA NI FRESH PIA NI POA. Ukiachia mbali na kazi ya Redio kama redio presenter at c...
chrisbabyone.blogspot.com
CHRIS B ''AM SO HOOD''.: JIFUNZE KISWAHILI SHOW COMING ON SUNDAY STAY TUNED EKIMEEZA LIVE RADIO
http://chrisbabyone.blogspot.com/2011/02/jifunze-kiswahili-show-coming-on-sunday.html
KILA JAMBO RUKUSA KUFANYA LAKINI TUMIA NJIA HALALI. 26 NUMBER. Sunday, February 13, 2011. JIFUNZE KISWAHILI SHOW COMING ON SUNDAY STAY TUNED EKIMEEZA LIVE RADIO. Click here okeiiii pamojaa saana. utaisoma vema. Http:/ media.streamads.com/playersdk/v2/widgets/webplayer/arplayer/player.html? CHRIS B ' AM SO HOOD' . Subscribe to: Post Comments (Atom). THIS BLOG SPONSORED BY UDF. Address: P.O. Box 6404 Mbeya, Ilomba Ward, Ituha Village, Tonya Street, MBEYA CITY, 255 784212573 Tanzania. THE OWNER OF THIS BLOG.
chrisbabyone.blogspot.com
CHRIS B ''AM SO HOOD''.: BOMBA FM RADIO 104.0MHz Wanakuletea MISS VODACOM MBEYA 2011 JUNE 4
http://chrisbabyone.blogspot.com/2011/05/bomba-fm-radio-1040mhz-wanakuletea-miss.html
KILA JAMBO RUKUSA KUFANYA LAKINI TUMIA NJIA HALALI. 26 NUMBER. Wednesday, May 11, 2011. BOMBA FM RADIO 104.0MHz Wanakuletea MISS VODACOM MBEYA 2011 JUNE 4. Na hii ni Baadhi ya Matukio ya Mashindano yaliyopita Nazungumzia Mwaka uliopita wa 2011 Katika Ukumbi wa Mkapa. Safari hii Itakuwa ni Tofauti Kabisa. BOMBA FM RADIO MBEYA 104.0MHz. Wanakuletea MISS VODACOM MBEYA. 2011 ndani ya Uwanja wa Kumbukumbu SOKOINE. Tarehe 4 JUNE 2011. Nyakati za Usiku, Ambapo Burudani itadondoshwa na MASHUJAA MUSICA BAND.
chrisbabyone.blogspot.com
CHRIS B ''AM SO HOOD''.: GOLI (Gongo La Mboto LIVE) Mechi Kati ya wasanii wa Bongo Flava na Bongo Movie
http://chrisbabyone.blogspot.com/2011/02/goli-gongo-la-mboto-live-mechi-kati-ya.html
KILA JAMBO RUKUSA KUFANYA LAKINI TUMIA NJIA HALALI. 26 NUMBER. Tuesday, February 22, 2011. GOLI (Gongo La Mboto LIVE) Mechi Kati ya wasanii wa Bongo Flava na Bongo Movie. NB: Kwa Mdau yoyote anaetaka kumdamini Msanii Yeyote Ili aperfom siku ya jumamosi, tafadhali wasiliana na FID Q. MC: Wasanii wa filamu ndo watakuama MC wa show hio. Artist Watakao Perfom Ni Mexicana Lacavela, G Nako, nuruely, Banana, Barnaba, Amini, Jos Mtambo, Cyrill, Ditto, Fid Q, Cp, Darassa, Soprano, Roma, Mwasiti etc. 14 M 2Tha P.
chrisbabyone.blogspot.com
CHRIS B ''AM SO HOOD''.: Its New New Song !!! ....Jiachie By Kita Feat Sar J UMABE Arts Company...
http://chrisbabyone.blogspot.com/2011/02/its-new-new-song-jiachie-by-kita-feat.html
KILA JAMBO RUKUSA KUFANYA LAKINI TUMIA NJIA HALALI. 26 NUMBER. Sunday, February 13, 2011. Its New New Song! Jiachie By Kita Feat Sar J UMABE Arts Company. Baada ya ngoma ya HipHop sasa ni Jiachie umeionaje baada ya kuisikiliza usikose kukitegea sikio Kipindi Cha Bomba Special Show every day Jumatatu mpaka Ijumaa nafanya jitihada ya kuipata hii ngoma. Azma Mponda nukuu yake katika Mtandao wa kitabu cha Sura aka face book. Hi this is my valalentines wishes JIACHIE NA YULE UMPENDAE! CHRIS B ' AM SO HOOD' .
SOCIAL ENGAGEMENT