amkaconsultants.blogspot.com
MENTORSHIP PROGRAM
http://amkaconsultants.blogspot.com/p/mentorship-program.html
PATA USHAURI, MAFUNZO NA HAMASA. Ni program inayotolewa na AMKA MTANZANIA. Ambapo kupitia program hii mshiriki anaweza kujifunza na kuongeza ujuzi wake katika Nyanja zifuatazo;. Kuanzisha na kukuza biashara. Uandishi wa makala na vitabu. Uanzishaji uendeshaji na ukuzaji wa blog. Biashara ya kwenye mtandao na kutengeneza pesa kwenye intanet. Kujifunza mbinu za kuboresha na kuongeza thamani kwenye kazi yako. Kujijengea tabia ya kupenda kujisomea. Kujenga tabia ya kuwa na matumizi mazuri ya muda. Lengo kubw...
jiongezeufahamu.blogspot.com
JIONGEZE UFAHAMU: Siri Ya Mfereji Wa Upendo Kuelekea Kwenye Bahari Ya Mafanikio
http://jiongezeufahamu.blogspot.com/2015/07/siri-ya-mfereji-wa-upendo-kuelekea.html
Jifunze zaidi ili kuwa Bora Zaidi. Siri Ya Mfereji Wa Upendo Kuelekea Kwenye Bahari Ya Mafanikio. Upendo ni neno tunalolisikia kila mara. Upendo una nguvu zaidi ya nguvu ya kifo. Upendo kutafsiri n hauna ukuta. Upendo una sifa nyingi sana. Hauhesabu mabaya, haujivuni, husamehe, haulipizi kisasi, upendo hustahimili yote. Unawezaje kuwapenda hata wale wanaokuudhi? 8220;Kuna usemi wa Kiswahili unaosema “akuchomaye mchome” au “mpende akupendaye asiyekupenda achana naye” kuna baadhi ya...Katika vitabu vya din...
makiritaamani.blogspot.com
Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa Ni Muhimu Sana. Tuzingatie Mambo Haya Matano. ~ Makirita Amani
http://makiritaamani.blogspot.com/2014/11/uchaguzi-wa-serikali-za-mitaa-ni-muhimu.html
Lisha Ubongo Wako, Badili Fikra Zako, Boresha Maisha yako. Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka! We'll not spam mate! Ungana Nami Kwenye Mitandao! Sunday, November 2, 2014. Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa Ni Muhimu Sana. Tuzingatie Mambo Haya Matano. Tarehe 14/12/2014 itakuwa siku muhimu sana katika miaka mitano ijayo. Siku hii itakuwa ni siku ya uchaguzi wa serikali za mitaa. Watu wengi sana hawaupi uchaguzi huu nafasi kubwa na wameelekeza macho na masikio yao kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015. Mwish...
jiongezeufahamu.blogspot.com
JIONGEZE UFAHAMU: Jinsi Ya Kujua Kama Unachofanya Ni Sahihi Katika Maisha Yako.
http://jiongezeufahamu.blogspot.com/2015/06/jinsi-ya-kujua-kama-unachofanya-ni.html
Jifunze zaidi ili kuwa Bora Zaidi. Jinsi Ya Kujua Kama Unachofanya Ni Sahihi Katika Maisha Yako. Au je una kipaji, uwezo, shauku gani ambayo ni ya kipekee kwako na hakuna mtu mwingine wa aina yoyote anayo isipokuwa wewe tu? Au ya mwisho ambayo ni nzuri zaidi ni kwa kuangalia kile unachokifanya na kujiuliza je unachokifanya ndicho ulichokusudiwa au sababu ya wewe kuwepo hapa ulimwenguni? 1 Unakuwa unapenda kile unachokifanya kwa kuwa kinakuvutia , kinakupa shauku na mvuto wa kipekee kukifanya. 4 Unapenda ...
makiritaamani.blogspot.com
Kozi 1100 Unazoweza Kujifunza Bure Kupitia Mtandao. ~ Makirita Amani
http://makiritaamani.blogspot.com/2014/12/kozi-1100-unazoweza-kujifunza-bure.html
Lisha Ubongo Wako, Badili Fikra Zako, Boresha Maisha yako. Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka! We'll not spam mate! Ungana Nami Kwenye Mitandao! Wednesday, December 31, 2014. Kozi 1100 Unazoweza Kujifunza Bure Kupitia Mtandao. Mwaka 2015 ndio huu hapa, una nafasi kubwa ya kuanza kufanya mabadiliko makubwa kwenye maisha yako kuanzia leo. Ili uweze kubadili maisha yako, elimu ni muhimu sana. Hapa nakupatia sehemu ambayo utaweza kujifunza chochote unachotaka bure kabisa. Tafadhali Washirikishe Wengine...
jiongezeufahamu.blogspot.com
JIONGEZE UFAHAMU: Una Nini Cha Tofauti Mpaka Watu Wakufuate Na Kukusikiliza? Jua Hapa.
http://jiongezeufahamu.blogspot.com/2015/07/una-nini-cha-tofauti-mpaka-watu.html
Jifunze zaidi ili kuwa Bora Zaidi. Una Nini Cha Tofauti Mpaka Watu Wakufuate Na Kukusikiliza? SOMA; Katika Kula Ujana Usifanye Mambo Haya Matano, Utajutia Maisha Yako Yote. Una nini cha kukufanya aamini unachosema? Je una sababu za msingi za kuona yule mwingine hafai? Huyo ambaye hafai unamwelewaje? SOMA; Ushauri Kwa Waajiriwa Wapya Wote Wa Mwaka Wa Fedha 2014/2015. Katika maisha unavyoishi hebu jiulize una nini? Kwanini watu wakae chini wakusikilize? Kwanini niache wote nije kwako? 255 755 350 772.
jiongezeufahamu.blogspot.com
JIONGEZE UFAHAMU: Katika Kula Ujana Usifanye Mambo Haya Matano, Utajutia Maisha Yako Yote.
http://jiongezeufahamu.blogspot.com/2014/10/katika-kula-ujana-usifanye-mambo-haya.html
Jifunze zaidi ili kuwa Bora Zaidi. Katika Kula Ujana Usifanye Mambo Haya Matano, Utajutia Maisha Yako Yote. Wakati wa ujana ndio wakati ambao watu wengi wanajaribu mambo mbalimbali. Sio kitu kibaya kwa sababu katika kujaribu huku mambo mbalimbali ndio unaweza kujua ni kitu gani utakomaa nacho kwenye maisha yako. Katika kula ujana usifanye mambo haya matano, maana ukiyafanya utajutia maisha yako yote. 3 Usifanye ngono zembe. 4 Usiharibu haiba na heshima yako. 5 Usitumie madawa ya kulevya. Fanya kila stare...
makiritaamani.blogspot.com
UKURASA WA 194; Utaanza kuona fursa nzuri pale utakapofanya hivi. ~ Makirita Amani
http://makiritaamani.blogspot.com/2015/07/ukurasa-wa-194-utaanza-kuoa-fursa-nzuri.html
Lisha Ubongo Wako, Badili Fikra Zako, Boresha Maisha yako. Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka! We'll not spam mate! Ungana Nami Kwenye Mitandao! Monday, July 13, 2015. UKURASA WA 194; Utaanza kuona fursa nzuri pale utakapofanya hivi. KURASA 365 ZA MWAKA 2015. Hivi ulishawahi kununua nguo ambayo uliona ni nzuri na ya kipekee ila kila ulipopita mtaani ukaanza kuona karibu kila mtu anayo? Je unafikiri vitu hivyo nimeanza kutoke kwa sababu wewe unafikiria kufanya? SOMA; Huwezi Au Hutaki? TAMKO LA LEO;.
makiritaamani.blogspot.com
UKURASA WA 146; Ukiendelea Na Maisha Haya Watu Watakunyanyasa Sana… ~ Makirita Amani
http://makiritaamani.blogspot.com/2015/05/ukurasa-wa-146-ukiendelea-na-maisha.html
Lisha Ubongo Wako, Badili Fikra Zako, Boresha Maisha yako. Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka! We'll not spam mate! Ungana Nami Kwenye Mitandao! Tuesday, May 26, 2015. UKURASA WA 146; Ukiendelea Na Maisha Haya Watu Watakunyanyasa Sana…. KURASA 365 ZA MWAKA 2015. Katika moja ya makala za KURASA 365 ZA MWAKA 2015. SOMA; Huyu Ndio Mtu Pekee Anayeweza Kukunyanyasa. Kwanza kabisa tuelewane kwamba binadamu wote tunategemeana, lakini utegemezi huu unakupokuwa mkubwa kwa upande mmoja ndipo manyanyaso yanap...
makiritaamani.blogspot.com
UKURASA WA 191; unalipwa kwa sababu unaonekana au kwa sababu unatoa thamani? ~ Makirita Amani
http://makiritaamani.blogspot.com/2015/07/ukurasa-wa-191-unalipwa-kwa-sababu.html
Lisha Ubongo Wako, Badili Fikra Zako, Boresha Maisha yako. Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka! We'll not spam mate! Ungana Nami Kwenye Mitandao! Friday, July 10, 2015. UKURASA WA 191; unalipwa kwa sababu unaonekana au kwa sababu unatoa thamani? KURASA 365 ZA MWAKA 2015. Swali muhimu sana hilo kujiuliza kama hujawahi kufanya hivyo. Ngoja nikuulize tena vizuri ili twende sawa,. Je unalipwa mshahara kwa sababu unaonekana kazi au kwa sababu una thamani unayotoa kwenye kazi yako? Hiki ndio wanachofanya ...
SOCIAL ENGAGEMENT