fmdemu.blogspot.com
Utafiti:Farasi hubaini hisia za mwanadamu...BBC ~ MDEMU blog
http://fmdemu.blogspot.com/2016/02/utafitifarasi-hubaini-hisia-za.html
Thursday, 11 February 2016. Utafiti:Farasi hubaini hisia za mwanadamu.BBC. Utafiti:Farasi hubaini hisia za mwanadamu.BBC. Farasi huweza kubaini kati ya mtu aliye na furaha na aliye kasirika kwa kuangalia uso wa mwanadumu,utafiti umesema. Katika jaribio, kwa kutumia picha za mwanamume wanasayansi kutoka chuo kikuu cha Sussex walionyesha kwamba farasi wanaofugwa nyumbani huchukizwa na sura zilizokasirika. Wanasayansi hao wanasema kuwa ufugaji huo huenda umewawezesha farasi kuelewa tabia za binaadamu. TAZAM...
fmdemu.blogspot.com
Ndovu aingia mjini na kuhangaisha watu India...BBC ~ MDEMU blog
http://fmdemu.blogspot.com/2016/02/ndovu-aingia-mjini-na-kuhangaisha-watu.html
Thursday, 11 February 2016. Ndovu aingia mjini na kuhangaisha watu India.BBC. Ndovu aingia mjini na kuhangaisha watu India.BBC. Ndovu mwitu aliingia katika mji mmoja katika jimbo la Bengal Magharibi nchini India na kuhangaisha wakazi kwa saa kadha. Maafisa walitumia vishale vyenye dawa ya kutuliza wanyama kumtuliza. Lakini tayari alikuwa ameharibu nyumba, magari na pikipiki kabla ya kudhibitiwa. Hata hivyo, maafisa wa mji huo wa Siliguri wanasema hakuna mtu aliyeumizwa wakati wa kisa hicho. Mahakama ya j...
fmdemu.blogspot.com
Riek Machar makamu wa rais Sudan Kusini...BBC ~ MDEMU blog
http://fmdemu.blogspot.com/2016/02/riek-machar-makamu-wa-rais-sudan.html
Friday, 12 February 2016. Riek Machar makamu wa rais Sudan Kusini.BBC. Riek Machar makamu wa rais Sudan Kusini.BBC. Katika kutafuta amani ya Sudan Kusini, Rais Salva Kiir amemteua mpinzani wake Riek Machar kuwa makamu wa rais.Majeshi yanayowatii watu hawa wawili , walipigana vita vya wenyewe kwa wenyewe na kusababisha watu zaidi ya milioni moja na nusu kukimbia makazi yao. Larr; Newer Post. Older Post →. Bwana harusi aanguka kifafa kabla ya harusi. TAZAMA TASWIRA YA SAMAKI MTU(NGUVA) ALIYEFIA UFUKWENI.
fmdemu.blogspot.com
ICC kuamua juu ya William Ruto...BBC ~ MDEMU blog
http://fmdemu.blogspot.com/2016/02/icc-kuamua-juu-ya-william-rutobbc.html
Friday, 12 February 2016. ICC kuamua juu ya William Ruto.BBC. ICC kuamua juu ya William Ruto.BBC. Mahakama ya jinai ya kimataifa -ICC leo inatarajiwa kutoa uamuzi ambao huenda ukakuwa na athari kwa kesi inayomkabili naibu rais wa Kenya William Ruto. Bwana Ruto na mushtakiwa mwenzake, mwana habari Joshua arap sang wameshatkiwa kwa makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu kuhusiana na ghasia zilizotokea nchini Kenya baada ya uchaguzi mkuu wa 2007. Larr; Newer Post. Older Post →. MATOKEO YA KIDADO CHA NNE 2016.
fmdemu.blogspot.com
Clinton na Sanders wajibizana kuhusu Obama...BBC ~ MDEMU blog
http://fmdemu.blogspot.com/2016/02/clinton-na-sanders-wajibizana-kuhusu.html
Friday, 12 February 2016. Clinton na Sanders wajibizana kuhusu Obama.BBC. Clinton na Sanders wajibizana kuhusu Obama.BBC. Wagombea urais wa chama cha Democratic Marekani Hillary Clinton na Bernie Sanders wamejibizana kuhusu Rais Barack Obama kwenye madahalo wa kwanza tangu kumalizika kwa mchujo wa New Hampshire. Bi Clinton alijionesha kama mlinzi wa sifa za utawala wa Barack Obama, na kumshambulia Bw Sanders kwa kumkosoa rais huyo. Bi Clinton anajaribu kujenga upya kampeni yake baada ya kushindwa pakubwa...
fmdemu.blogspot.com
Roboti inayoiga Mende ..BBC ~ MDEMU blog
http://fmdemu.blogspot.com/2016/02/roboti-inayoiga-mende-bbc.html
Thursday, 11 February 2016. Roboti inayoiga Mende .BBC. Roboti inayoiga Mende .BBC. Wanasayansi nchini Marekani wametengeneza roboti inayofanana na mende ambayo inaweza kutumiwa kuwaokoa watu kunapotokea tetemeko la ardhi. Watafiti wanasema roboti hiyo inatumia mbinu zinazotumiwa na mende kutembea kwenye nyufa kupenya vifusi na kuwaokoa walionaswa katika maporomoko. Ukubwa wa roboti hiyo ni sawa na kiganja cha mwanadamu. Roboti hiyo inaweza kupenyeza katika mianya midogo maradufu ama nusu wa ukubwa wake.
fmdemu.blogspot.com
Magufuli akerwa na hali wodi ya wazazi Muhimbili...BBC ~ MDEMU blog
http://fmdemu.blogspot.com/2016/02/magufuli-akerwa-na-hali-wodi-ya-wazazi.html
Thursday, 11 February 2016. Magufuli akerwa na hali wodi ya wazazi Muhimbili.BBC. Magufuli akerwa na hali wodi ya wazazi Muhimbili.BBC. Rais wa Tanzania John Magufuli ameahidi kuchukua hatua baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika wodi ya wazazi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam. Alifika mwenyewe na kujionea hali ya msongamano mkubwa wa wazazi uliosababishwa na uhaba wa vitanda na nafasi finyu katika wodi hiyo. Alifanyia mabadiliko usimamizi wa hospitali hiyo na kumteua Prof La...
fmdemu.blogspot.com
Al-Shabab ''lashambulia uwanja wa ndege Somalia''..BBC ~ MDEMU blog
http://fmdemu.blogspot.com/2016/02/al-shabab-lashambulia-uwanja-wa-ndege.html
Thursday, 11 February 2016. Al-Shabab ' lashambulia uwanja wa ndege Somalia' .BBC. Al-Shabab ' lashambulia uwanja wa ndege Somalia' .BBC. Wanamgambo wa kiislamu wamefanya mashambulio ya makombora katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu. Walioshuhudia wanasema wanamgambo hao walirusha makombora hayo usiku kucha na kuwa milipuko kadhaa ilisikika karibu na uwanja mkuu wa ndege. Ofisi za umoja wa mataifa pia ziko katika kambi hiyo sawa na ubalozi wa mataifa ya kigeni. Mlipuko huo ulitokea katika ndege inayomili...
fmdemu.blogspot.com
Syria: Mataifa yaafikiana vita visitishwe...BBC ~ MDEMU blog
http://fmdemu.blogspot.com/2016/02/syria-mataifa-yaafikiana-vita.html
Friday, 12 February 2016. Syria: Mataifa yaafikiana vita visitishwe.BBC. Syria: Mataifa yaafikiana vita visitishwe.BBC. Mataifa yenye ushawishi duniani yameafikiana kuhusu mkataba wa kusitisha mapigano nchini Syria ambao utaanza kutekelezwa katika kipindi cha wiki moja ijayo. Makubaliano hayo yamefikiwa baada ya mazungumzo nchini Ujerumani. Mwafaka huo hata hivyo hautahusisha makundi ya kijiihadi ya Islamic State (IS) na al-Nusra Front. Bw Kerry ametoa tangazo la kupatikana kwa mwafaka huo akiandamana na...
SOCIAL ENGAGEMENT