nunanunaootoo.blogspot.com
Bambucha: KUMBUKUMBU YA COMPLEX AGOSTI 22, 2008
http://nunanunaootoo.blogspot.com/2008/08/kumbukumbu-ya-complex-agosti-22-2008.html
Tuesday, August 12, 2008. KUMBUKUMBU YA COMPLEX AGOSTI 22, 2008. Wasanii kibao wa muziki wa kizazi kipya wanatarajia kumkumbuka Marehemu Simon Sayi "Complex" kupiti tamasha kubwa lenye jina la Remember litakalofanyika Agosti 22, mwaka huu ndani ya ukumbi wa Africentre, Ilala, Dar es Salaam, Christopher Lisa anashuka nayo. Mbali na Joan, wasanii kama A.Y, Prof. Jay, Fid Q, Mwana FA, Wanaume Family, Wagosi wa Kaya, Dany Msimamo na wengine kibao wakiwemo wale waliowahi kufanya kazi na marehemu Compl...Mbali...
nunanunaootoo.blogspot.com
Bambucha: AFYA YA JAMII
http://nunanunaootoo.blogspot.com/2008/08/afya-ya-jamii.html
Wednesday, August 13, 2008. UAMBUKIZO TUMBONI (ARO ENERITIS). Uambukizo tumboni ni tatizo linalotokea katika tumbo la chakua. (Acute information of the lining of the stomach and intestine) uambukizo huu husambaa kuanzia katika tumbo la chakula hadi katika utumbo mwembamba na mkubwa. Uambukizo huu huwa mkali (Acue gastroenteritis) inaweza kusababishwa na unywaji wa pombe kupita kiasi (Excusive indulgence in alcohol), uambukizo wa (virus, bacteria ingredients of food and dinks), mzio unaweza kusababishwa n...
nunanunaootoo.blogspot.com
Bambucha: SAUZ KUMEKUCHA
http://nunanunaootoo.blogspot.com/2008/08/sauz-kumekucha.html
Wednesday, August 13, 2008. Wadau hayo ndio maisha ya sauzi jee, unasemaje kuhusiana na hizo picha wewe una maoni gani? Subscribe to: Post Comments (Atom). ILALA, DAR ES SALAAM, Tanzania. KARIBUNI MARAFIKI TUPATE BURUDANI. View my complete profile.
nunanunaootoo.blogspot.com
Bambucha: Ay na P-square ndani ya studio za Hammy B
http://nunanunaootoo.blogspot.com/2008/09/ay-na-p-square-ndani-ya-studio-za-hammy.html
Tuesday, September 9, 2008. Ay na P-square ndani ya studio za Hammy B. Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Ambwene Yessaya ‘AY’ ameshakamilisha wimbo wake aliokuwa anataka kufanya na kundi la P-Square ambao hakutaka kuutaja, anashuka nayo Catherine Kassally. Akichonga na Showbiz jijini Dar es Salaam, msanii huyo amesema kuwa wimbo huo umeshakamilika na ameufanya ndani ya studio za Hammy B za jijini Dar esa Salaam. AY amesema mbali na kufanya wimbo huo yuko katika maandalizi ya albamu yake mpya ambayo ndani...
nunanunaootoo.blogspot.com
Bambucha: Face of Africa 2008
http://nunanunaootoo.blogspot.com/2008/09/face-of-africa-2008.html
Tuesday, September 9, 2008. Face of Africa 2008. 8220;Thank you, have a good day.”. Andiswa Manxiwa and Kaone Kario have been up since about 7AM, which is pretty late by the standards of the modelling world. If this past Saturday’s assignment had been a date with the flashy cameras of the beauty industry the ladies would have been up at 5AM so they could be at the location, made up and dressed up before the sun came up. Most local guys probably feel these girls would give Kaone a serious run for her mone...
jichanganye.blogspot.com
b
http://jichanganye.blogspot.com/2008/12/baada-ya-kuwa-tyt-na-mambo-kibao-ndani.html
Tuesday, December 9, 2008. Baada ya kuwa tyt na mambo kibao ndani ya mitaa ya bongo The LKM02 Ent.imepanga kuja kivingine ikiwa ni pamoja kuanzania online tv,inayokwenda kwa jina Jichanganye TV,pamoja na kuachia blogspot kama hivi,hii yote ni kuonesha ni jinsi gani tunataka kuwa karibi kabisa na vipaji tika mtaani na kufikisha yanayo takiwa mbele ya macho ya watazamaji. Posted by The LKM02 Ent. Subscribe to: Post Comments (Atom). Baada ya kuwa tyt na mambo kibao ndani ya mitaa y. View my complete profile.
jichanganye.blogspot.com
b: December 2008
http://jichanganye.blogspot.com/2008_12_01_archive.html
Tuesday, December 9, 2008. Baada ya kuwa tyt na mambo kibao ndani ya mitaa ya bongo The LKM02 Ent.imepanga kuja kivingine ikiwa ni pamoja kuanzania online tv,inayokwenda kwa jina Jichanganye TV,pamoja na kuachia blogspot kama hivi,hii yote ni kuonesha ni jinsi gani tunataka kuwa karibi kabisa na vipaji tika mtaani na kufikisha yanayo takiwa mbele ya macho ya watazamaji. Posted by The LKM02 Ent. Subscribe to: Posts (Atom). Baada ya kuwa tyt na mambo kibao ndani ya mitaa y. View my complete profile.
nunanunaootoo.blogspot.com
Bambucha: Foxy brown atinga jukwaani akiwa mjamzito
http://nunanunaootoo.blogspot.com/2008/09/foxy-brown-atinga-jukwaani-akiwa.html
Tuesday, September 9, 2008. Foxy brown atinga jukwaani akiwa mjamzito. Msanii wa muziki wa Hip Hop nchini Marekani, Foxy Brown kwa sasa ni mjamzito. Habari kutoka mitandao mbalimbali nchini humo, zinasema kuwa mwanamuziki huyo ambaye alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamuziki mwenzake wa Hip Hop, Rick Ross inawezekana akawa mhusika wa ujauzito huo. Hivi karibuni, Foxy alitinga katika tamasha la utoaji tuzo za MTV katika jiji la New York akiwa na ujauzito wake. Subscribe to: Post Comments (Atom).
nunanunaootoo.blogspot.com
Bambucha: Fabulous ajiachia mitaani na mwanae
http://nunanunaootoo.blogspot.com/2008/09/fabulous-ajiachia-mitaani-na-mwanae.html
Tuesday, September 9, 2008. Fabulous ajiachia mitaani na mwanae. Ebwana hii itakuwa kali zaidi kwani hivi karibuni msanii wa muziki wa Hip Hop nchini Marekani, Fabolous hivi karibuni amebambwa na mapaparazi akiwa na mzazi mwenzake ambaye ni raia wa kilatin kimya kimya. Tukio lilitokea hivi karibuni huko New York nchini Marekani, ambapo mwanamuziki huyo akiwa na mwanadada huyo aliyezaa nae bila yeye kujijua. Subscribe to: Post Comments (Atom). ILALA, DAR ES SALAAM, Tanzania. View my complete profile.