youthvoice-isack.blogspot.com
Youth Voice: Happy Birthday Dr. Jane Goodall
http://youthvoice-isack.blogspot.com/2013/04/happy-birthday-dr-jane-goodall.html
Different Stories. Shared Ideas. Wednesday, April 3, 2013. Happy Birthday Dr. Jane Goodall. Isack Nyasilu (me) and my friend Jennifer Hudson during 2008 Jane Goodall Global Youth summit in Florida. Thanks so much Dr. Jane Goodall for investing on youth and believing in youth, thanks for giving us power on solving and creating a huge family of people who love to care and protect people, animals and environment in general. I wish you happy birthday Jane Goodall. Subscribe to: Post Comments (Atom). Thanks E...
youthvoice-isack.blogspot.com
Youth Voice: August 2009
http://youthvoice-isack.blogspot.com/2009_08_01_archive.html
Different Stories. Shared Ideas. Sunday, August 9, 2009. Comming soon. Be a part of it! I'm so happy to say thank you to all of the people who. Me emails and to those who are visting. Is coming up with stories about students’ problems in. You will hear from different students and those who are former students from. Kigoma, and Tabora regions. We want you to hear interesting stories from other young people. This is Youth Voice. These voices are coming Through the Window. Monday, August 3, 2009. I started ...
youthvoice-isack.blogspot.com
Youth Voice: WATANZANIA TUMLINDE MWAKYEMBE MUNGU ANAKUSUDI NAYE KWETU
http://youthvoice-isack.blogspot.com/2013/08/watanzania-tumlinde-mwakyembe-mungu.html
Different Stories. Shared Ideas. Wednesday, August 14, 2013. WATANZANIA TUMLINDE MWAKYEMBE MUNGU ANAKUSUDI NAYE KWETU. Waziri wa Uchukuzi DR. Harrison Mwakyembe. Ni matumaini yangu kuwa tutampa ushirikiano wa kutosha muheshimiwa Mwakyembe katika kulisafisha taifa letu ambapo kwa sasa Tanzania imekuwa kinara wa uuzaji na usambazaji wa madawa ya kulevya. Sio hivyo tu pia inasadikika kuwa tayari mtambo wa kutengeneza dawa hizo upo nchini. Hongera sana Mwakyembe kwa kujitolea kumfunga paka kengele tu...Subsc...
youthvoice-isack.blogspot.com
Youth Voice: HATUKUZIBA UFA SASA TUNAJENGA UKUTA LO!!!!!!
http://youthvoice-isack.blogspot.com/2013/08/hatukuziba-ufa-sasa-tunajenga-ukuta-lo.html
Different Stories. Shared Ideas. Friday, August 9, 2013. HATUKUZIBA UFA SASA TUNAJENGA UKUTA LO! Naomba kuchukua muda wangu kuzungumza na watanzania wenzangu ila kabla sijaeleza mengi kwanza ningeomba kuuliza je hii ndio Tanzania tuitakayo? Je watanzania huyu pepo wa kuua na kudhuru watu ametoka wapi? Hivi karibuni kumekuwa na matukio mengi sana ya kuhudhunisha na kushitusha kwa watanzania wote. Ilianza kama mzaha pale ambapo kiongozi mmoja wa dini alipomwagiwa tindikari huko Zanzibar. Mimi natoa wito kw...
youthvoice-isack.blogspot.com
Youth Voice: August 2013
http://youthvoice-isack.blogspot.com/2013_08_01_archive.html
Different Stories. Shared Ideas. Wednesday, August 14, 2013. WATANZANIA TUMLINDE MWAKYEMBE MUNGU ANAKUSUDI NAYE KWETU. Waziri wa Uchukuzi DR. Harrison Mwakyembe. Ni matumaini yangu kuwa tutampa ushirikiano wa kutosha muheshimiwa Mwakyembe katika kulisafisha taifa letu ambapo kwa sasa Tanzania imekuwa kinara wa uuzaji na usambazaji wa madawa ya kulevya. Sio hivyo tu pia inasadikika kuwa tayari mtambo wa kutengeneza dawa hizo upo nchini. Hongera sana Mwakyembe kwa kujitolea kumfunga paka kengele tu...SAKAT...
youthvoice-isack.blogspot.com
Youth Voice: Jane Goodall's Roots&Shoots Dar es Salaam Newsletter
http://youthvoice-isack.blogspot.com/2013/04/jane-goodalls-roots-dar-es-salaam.html
Different Stories. Shared Ideas. Tuesday, April 2, 2013. Jane Goodall's Roots&Shoots Dar es Salaam Newsletter. Subscribe to: Post Comments (Atom). Welcome to Youth Voice! Follow this blog to hear from many different people every month. The youth of the world will send their views on politics, economics, society, the environment.anything! Tell us about what you've seen in the world. Tell us what you've heard. This blog will be for the youth to tell their stories from Alaska to Zanzibar! We are fine Isack.
youthvoice-isack.blogspot.com
Youth Voice: November 2009
http://youthvoice-isack.blogspot.com/2009_11_01_archive.html
Different Stories. Shared Ideas. Tuesday, November 10, 2009. Isack I’m realization on fulfillment of his dream of becoming a professional camera man and producer in the video Industry .I believe in living my dream. Hello youth around the world I hope you too you are striving to live your dream. Subscribe to: Posts (Atom). Welcome to Youth Voice! Tell us about what you've seen in the world. Tell us what you've heard. This blog will be for the youth to tell their stories from Alaska to Zanzibar! We are doi...
youthvoice-isack.blogspot.com
Youth Voice: Hivi Karibuni
http://youthvoice-isack.blogspot.com/2013/04/hivi-karibuni.html
Different Stories. Shared Ideas. Thursday, April 4, 2013. Kumekuwa na mfumo wa vyama vingi tangu mwaka 1992 na tayari chaguzi zaidi ya mbili zimeshafanyika. Je kwa mtazamo wako unahisi mfumo wa vyama vingi unatusaidia katika kujenga umoja wa kitaifa na kuleta maendeleo katika nchi yetu? April 15, 2013 at 4:07 PM. I wish you would visit my school! We have been thinking about these issues a lot lately and sharing our work with our partner school in Lindi District! Subscribe to: Post Comments (Atom). Hello ...
youthvoice-isack.blogspot.com
Youth Voice: March 2013
http://youthvoice-isack.blogspot.com/2013_03_01_archive.html
Different Stories. Shared Ideas. Friday, March 29, 2013. Muuwaji wa Padri Mushi Akamatwa. Jeshi la polisi Zanzibar linamshikilia mtu mmoja alietambulika kwa jina la Omar Mussa Makame kwa tuhuma za mauaji ya Padri Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki Zanzibar yaliotokea. Mtuhumiwa Omar Mussa Makame ambae ni mkazi wa. Mtaa wa Raha Leo mjini Zanzibar alikamatwa na kufanyiwa gwalide la utangulizi ambalo lilihusisha watu baadhi ambao walikuwepo siku ya tukio ambao walitambua sura ya mtuhumiwa. I’m sorry I h...