zehotpot.blogspot.com
Ze HOT POT: November 2012
http://zehotpot.blogspot.com/2012_11_01_archive.html
Friday, November 30, 2012. Ze Hot pot C.E.O Da Legendary Jason. Links to this post. VIDEO YA GARI ALILOPATA NALO AJALI SHARO MILIONEA. PICHA 13 ZA ENEO ALILOPATA AJALI SHARO MILIONEA, TAZAMA AJALI ILIPOANZIA. Gari alilokua analiendesha Sharo Milionea lilianza kutoka nje ya barabara kuanzia hapa. Sehemu gari lilipokwenda kusimama ni pale kwenye watu wengi panaonekana kwa mbali. Gari lilivuka hii sehemu na kubinukia kule mbele baada ya hilo daraja dogo ambako ndio liligonga huu mti hapa chini. Huyu shuhuda...
zehotpot.blogspot.com
Ze HOT POT: July 2012
http://zehotpot.blogspot.com/2012_07_01_archive.html
Tuesday, July 31, 2012. DIAMOND KUJITOSA KWENYE TAARAB? BAADA ya kutamba kwa muda mrefu katika muziki wa kizazi kipya nchini, msanii nyota wa muziki huo, Naseeb Abdul ‘Diamond’ amesema anafikiria kujitosa katika muziki wa taarab. Diamond alisema Jijini Dar es Salaam wiki hii kuwa,amefikia uamuzi huo kutokana na kuvutiwa na muziki huo wa taarab. Mshindi huyo wa tuzo mbalimbali za muziki za Kilimanjaro amesema, anajua uamuzi wake huo utawashangaza mashabiki wengi, lakini ni jambo la kawaida kwa msanii.
zehotpot.blogspot.com
Ze HOT POT: NDOA YA BOB JUNIOR CHALI
http://zehotpot.blogspot.com/2013/11/ndoa-ya-bob-junior-chali.html
Thursday, November 7, 2013. NDOA YA BOB JUNIOR CHALI. MIEZI michache baada ya kufunga ndoa na kupata mtoto, Prodyuza na Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Raheem Rummy Nanji ‘Bob Junior’ na mkewe Halima Ally wameachana, Amani linakuhabarisha. Bob Junior na mkewe Halima Ally siku ya ndoa. Habari kutoka katika chanzo chetu makini ambacho ni rafiki wa karibu na Bob Junior zinasema kwamba, ndoa hiyo ilivunjika muda mrefu lakini wahusika walikuwa wakifanya siri lakini Amani limeinasa. YUKO NA NANI SASA? Alipoulizwa ...
zehotpot.blogspot.com
Ze HOT POT: Mitandao ya Marekani na Ulaya imetawaliwa na hii stori ya Will Smith.
http://zehotpot.blogspot.com/2013/11/mitandao-ya-marekani-na-ulaya.html
Thursday, November 7, 2013. Mitandao ya Marekani na Ulaya imetawaliwa na hii stori ya Will Smith. Story inayosambaa kwenye mitandao ya udaku hivi sasa ni kuhusu skendo inayomuhusu star wa movie Will Smith kwamba inasemekana ametoka nje ya ndoa yake na Jada Pinket ambapo amecheza faulo nje ya ndoa na mwanamke mwenye miaka 23 ambaye wamefanya nae kazi kwenye romantic comedy drama inaitwa Focus. Juu ni Margot Robbie na hizo chini ndiyo picha zilizovuja akiwa na Will Smith. Subscribe to: Post Comments (Atom).
zehotpot.blogspot.com
Ze HOT POT: June 2012
http://zehotpot.blogspot.com/2012_06_01_archive.html
Saturday, June 30, 2012. MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI JUNE 30. Ze Hot pot C.E.O Da Legendary Jason. Links to this post. WEMMA: ‘Mama kanitia aibu’. Wema Isaac Sepetu na mama yake, Mariam Sepetu hawapo vizuri tangu yale mahojiano aliyoyafanya mzazi wake huyo runingani wiki mbili zilizopita akiwachana marafiki wa staa huyo mkubwa wa picha za Kibongo. TUJIUNGE NA WEMA AKITIRIRIKA! 8220;Kwanza sikuwepo wakati mama anafanya intavyu ‘so’ sikutarajia kama angezungumza vitu vya namna ile. 8220;Yaah…ukweli R...
zehotpot.blogspot.com
Ze HOT POT: HOT POT TV
http://zehotpot.blogspot.com/2012/09/hot-pot-tv.html
Wednesday, September 26, 2012. Zigua performing "Zigua is Here" Plattsburgh Fall Festival 2012 - New York. Monday, September 24, 2012. Jioni Jioni Flani - S.U.A TV. Sunday, September 23, 2012. Fidstyle Friday: Week 24 with Stamina. Wednesday, September 19, 2012. DJ CHOKA asherehekea siku yake ya kuzaliwa na watoto wa mitaani 19sept 2012. Tuesday, September 18, 2012. Saturday, September 15, 2012. Fidstyle Friday: Week 23 with Rage. Thursday, September 13, 2012. Tuesday, September 11, 2012. Wakazi Live in ...
zehotpot.blogspot.com
Ze HOT POT: September 2012
http://zehotpot.blogspot.com/2012_09_01_archive.html
Sunday, September 30, 2012. Ze Hot pot C.E.O Da Legendary Jason. Links to this post. Subscribe to: Posts (Atom). Find us on facebook. There was an error in this gadget. Ze HOT POT C.E.O. Dr Nchimbi jr - 0788 089933. There was an error in this gadget. Usibishane na chizi. Mwisho wa siku watu watashindwa jua yupi mzima.". Ze HOT POT BUREAU. 160; Tanzanian Shilling Exchange Rate. Ze HOT POT map. HOT POT CHAT ROOM. PLAYLIST YA VIDEO LEO! The finest kenyan queens of dancehall. FIESTA 2012. BAAAAAAAAAAASS.
zehotpot.blogspot.com
Ze HOT POT: August 2012
http://zehotpot.blogspot.com/2012_08_01_archive.html
Wednesday, August 29, 2012. JE TID ALIPANGA KUMUUA ALI KIBA? Inasemekana meneja wa Ali Kiba amesema yafuatayo. Baada sasa ya taarifa hizo kuifikia familia, iliamua kuripoti jambo hilo polisi, polisi walifika eneo lile na kulikuwa kuna watu wawili, mwanaume na mwanamke ambao walifika maeneo jirani na pale anapoishi Ali Kiba wakawa wameweka kambi pale kwa muda wakijaribu kupeleleza eneo lile. Basi moja kwa moja gari la jeshi la polisi likaenda kumkamata TID na hatimaye kumfikisha kwenye kituo cha polisi ch...
zehotpot.blogspot.com
Ze HOT POT: November 2013
http://zehotpot.blogspot.com/2013_11_01_archive.html
Thursday, November 7, 2013. Magazeti ya leo November 07 2013. Ze Hot pot C.E.O Da Legendary Jason. Links to this post. Mitandao ya Marekani na Ulaya imetawaliwa na hii stori ya Will Smith. Story inayosambaa kwenye mitandao ya udaku hivi sasa ni kuhusu skendo inayomuhusu star wa movie Will Smith kwamba inasemekana ametoka nje ya ndoa yake na Jada Pinket ambapo amecheza faulo nje ya ndoa na mwanamke mwenye miaka 23 ambaye wamefanya nae kazi kwenye romantic comedy drama inaitwa Focus. Links to this post.
zehotpot.blogspot.com
Ze HOT POT: TANGAZA NASI.....
http://zehotpot.blogspot.com/2011/10/tangaza-nasi.html
Sunday, October 9, 2011. EMAIL: jamesson.nchimbi@yahoo.com. Ze Hot pot C.E.O Da Legendary Jason. Subscribe to: Post Comments (Atom). Find us on facebook. There was an error in this gadget. Ze HOT POT C.E.O. Dr Nchimbi jr - 0788 089933. There was an error in this gadget. Usibishane na chizi. Mwisho wa siku watu watashindwa jua yupi mzima.". Ze HOT POT BUREAU. 160; Tanzanian Shilling Exchange Rate. Ze HOT POT map. HOT POT CHAT ROOM. MAHABA: Woga, aibu hupunguza kujiamini katika mape. MASTAA WA KIKE BONGO.
SOCIAL ENGAGEMENT