onelove-adiely.blogspot.com
ONELOVE.BLOGSPOT.COM: WONDERS OF TANZANIA
http://onelove-adiely.blogspot.com/p/photo-gallery.html
DIFFERENT ANIMALS AND BIRDS FROM ONE OF THE GOOD NATIONAL PARKS IN TANZANIA. Udzungwa Mountains National Park. Brooding and primeval, the forests of Udzungwa seem positively enchanted: a verdant refuge of sunshine-dappled glades enclosed by 30-metre (100 foot) high trees, their buttresses layered with fungi, lichens, mosses and ferns. Not a conventional game viewing destination, Udzungwa is a magnet for hikers. An excellent network of forest trails includes the popular half-day ramble to Sanje Waterf...
youthamasa.blogspot.com
YOUTHAMASA: MWANAUME AFARIKI DUNIA NDANI YA URODA GEST HOUSE ILIYOKO MANZENSE LEO MCHANA......
http://youthamasa.blogspot.com/2013/06/mwanaume-afariki-dunia-ndani-ya-uroda.html
Friday, June 7, 2013. MWANAUME AFARIKI DUNIA NDANI YA URODA GEST HOUSE ILIYOKO MANZENSE LEO MCHANA. Difenda ya polisi ikiuchukua mwili wa marehemu. Mwanaume mmoja ambaye hakujulikana jina lake leo amekutwa amekufa katika gesti bubu iitwayo Uroda iliyopo Manzese Midizini jijini Dar. Kwa mujibu wa mashuhuda waliokuwa eneo la tukio ni kwamba marehemu alikuwa na mpenzi wake ambaye waliingia wote katika gesti hiyo lakini alikutwa jamaa peke yake. Mwili wa marehemu umepelekwa na polisi kwa uchunguzi zaidi.
youthamasa.blogspot.com
YOUTHAMASA: January 2013
http://youthamasa.blogspot.com/2013_01_01_archive.html
Friday, January 11, 2013. Kanga moko hao laki si pesa,balaaa. H uyu ndiye mrembo video quen wa P- unit aliyesababisha nyimbo ya P-unit ifungiwe huko kenya. Thursday, January 10, 2013. LADY JAYDEE na GARDNER WAENDELEA VYEMA NA SAFARI YA KUUPANDA MLMA KILIMANJARO. Jide, Gadner na mpiga picha wao. Gadner na Jide wakipumzika kidogo kupata hewa. Subscribe to: Posts (Atom). View my complete profile. RAMBI RAMBI KUTOKA UJERUMANI KUFUATIA KUANGUKA KWA JENGO DAR. Kanga moko hao laki si pesa,balaaa.
lwitikowilliam.blogspot.com
lwitiko
http://lwitikowilliam.blogspot.com/2014/08/azam-fc-yatoka-0-0-na-rayon-sport-kombe.html
Saturday, August 9, 2014. AZAM FC YATOKA 0-0 NA RAYON SPORT KOMBE LA KAGAME, KMKM NAYO YATOKA 1-1, KCC YAICHAPA GOR MAHIA 2-1. MABINGWA wa ligi kuu soka Tanzania bara, Azam fc wamelazimisha suluhu tasa ya bila kufungana na wenyeji Rayon Sport katika mchezo wa pili wa kundi A kombe la Kagame lililoanza kutimua vumbi leo viwanja viwili tafouti nchini Rwanda. Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com. Subscribe to: Post Comments (Atom). TOA MAONI YAKO HAPA. View my complete profile.
youthamasa.blogspot.com
YOUTHAMASA: May 2013
http://youthamasa.blogspot.com/2013_05_01_archive.html
Tuesday, May 28, 2013. AIBU: VIDEO YA NGONO YA WANAFUNZI WA COLLAGE MOJA ILIYOPO DODOMA YAVUJA.WALIJIREKODI WENYEWE NA KUISAMBAZA. Baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali mjini Dodoma wameoza kwa matukio machafu ya ngono. Uchunguzi wetu umebaini kuwa siyo kila mwanachuo anayepata nafasi hiyo adimu ya kujiunga na elimu ya juu anafanya kile kilichokusudiwa, badala yake wanafanya kinyume kwa kujihusisha na vitendo haramu na hatarishi vya ngono. Hapa walikuwa wakitazama camera ambayo waliitegesha wenyewe.
onelove-adiely.blogspot.com
ONELOVE.BLOGSPOT.COM: May 2013
http://onelove-adiely.blogspot.com/2013_05_01_archive.html
Tuesday, May 14, 2013. MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MCHUNGAJI DKT. MATHEW BYAMUNGU NA MKEWE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mchungaji Dkt. Mathew Byamungu, wakati. Akimkaribisha Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, Mei 13, 2013 alipofika kwa mazungumzo akiwa ameongozana na mkewe, Je-Ynung. DR ABDALLAH KIGODA, Waziri wa Viwanda na Biashara. BIASHARA YA MIITO YA SIMU (RINGBACK TONES). Nao huingia mikatab...
onelove-adiely.blogspot.com
ONELOVE.BLOGSPOT.COM: VING’AMUZI BADO CHANGAMOTO JIJINI DAR ES SALAAM
http://onelove-adiely.blogspot.com/2013/01/vingamuzi-bado-changamoto-jijini-dar-es.html
Thursday, January 3, 2013. VING’AMUZI BADO CHANGAMOTO JIJINI DAR ES SALAAM. Wakati Tanzania imeingia rasmi katika mfumo mpya wa kurusha na kupokea. Matangazo ya Televisheni,baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wamesema. Mfumo huo unakabiliwa na changamoto nyingi. Katika mahojiano mahojiano maalum, baadhi ya watumiaji hao ambao wamesema. Kuwa wananchi hawakujiandaa vilivyo kukabiliana na changamoto. Wananchi wamesema kuwa tatizo kubwa la baadhi ya ving’amuzi ni kukatakata. Kauli hiyo ya Mtei inakuja ...
onelove-adiely.blogspot.com
ONELOVE.BLOGSPOT.COM: MFALME MSATWI AWASILI LEO JIJINI DAR TAYARI KWA KUHUDHURIA MKUTANO WA SMAT PARTNERSHIP JUNI 28
http://onelove-adiely.blogspot.com/2013/06/mfalme-msatwi-awasili-leo-jijini-dar.html
Wednesday, June 26, 2013. MFALME MSATWI AWASILI LEO JIJINI DAR TAYARI KWA KUHUDHURIA MKUTANO WA SMAT PARTNERSHIP JUNI 28. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Mfalme Mswati wa (ii) wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam leo Juni 26, 2013. Mfalme Mswati wa ii, ametua nchini kwa ajili ya. Kuhudhuria Mkutano wa 'Smat Patnership' unaotarajia kuanza Juni 28 mwaka huu. Hon Bernard K. Membe (MP), Minister ...
onelove-adiely.blogspot.com
ONELOVE.BLOGSPOT.COM: MICHEZO
http://onelove-adiely.blogspot.com/p/michezo.html
TASWA FC YACHAPWA MAGOLI 4-0 NA BAGAMOYO VETERANI MJINI BAGAMOYO. Kikosi cha timu ya Chama Cha waandishi wa habari za Mizhezo TASWA FC kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa mchezo wao wa kirafiki kati yake na timu ya Bagamoyo Veteran uliofanyika kwenye uwanja wa Mawanakerenge Mjini Bagamoyo jioni ya leo, ambapo timu ya TASWA FC imechapwa magoli 4-0 na maveterani hao kutoka mjini Bagamoyo,. Hiki ndiyo kikosi cha timu ya Bagamoyo Veteran kilichotoa kichapo kwa timu ya TASWA FC mjini Bagamoyo leo.