bongomoto.blogspot.com
BONGOMOTO: KOFFI OLOMIDE AFUNIKA VIWANJA VYA LEADERS USIKU WA KUAMKIA LEO...
http://bongomoto.blogspot.com/2012/12/koffi-olomide-afunika-viwanja-vya.html
Saturday, December 15, 2012. KOFFI OLOMIDE AFUNIKA VIWANJA VYA LEADERS USIKU WA KUAMKIA LEO. Hakika palikuwa hapakaliki katika Viwanja vya Leaders Club usiku wa kuamkia leo pale Gwiji la Muziki wa Dansi kutoka nchini Congo DRC, Koffi Olomide na vijana wake wa bendi ya Quartier Latin walipofanya shoo kali ya 'kufa mtu'. Leo Koffi atashusha burudani kali jijini Mwanza. Video zaidi za shoo za wikiendi utazipata Jumatatu. Subscribe to: Post Comments (Atom). SIKILIZA 100.5 TIMES FM LIVE.
bongomoto.blogspot.com
BONGOMOTO: BENDI YA SHENGEN ACADEMY IKISHAMBULIA NDANI YA MANGO GARDEN USIKU WA KUAMKIA JANA...
http://bongomoto.blogspot.com/2012/04/bendi-ya-shengen-academy-ikishambulia.html
Monday, April 2, 2012. BENDI YA SHENGEN ACADEMY IKISHAMBULIA NDANI YA MANGO GARDEN USIKU WA KUAMKIA JANA. Wanamuziki wa bendi ya Shengen Academy wakishambulia jukwaa kwenye Ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni usiku wa kuamkia jana Jumapili. Hawavumi lakini wamo. Ni jina geni kidogo lakini limesheheni wanamuziki wenye majina makubwa katika medani ya muziki. Bendi hii iko chini ya uongozi wa Rais Liva Hassan Sultan. (Video ya ziro99blog). Subscribe to: Post Comments (Atom). SIKILIZA 100.5 TIMES FM LIVE.
bongomoto.blogspot.com
BONGOMOTO: TUMERUDI TENA: DANSI MWANZO MWISHO...
http://bongomoto.blogspot.com/2012/12/tumerudi-tena-dansi-mwanzo-mwisho.html
Monday, December 10, 2012. TUMERUDI TENA: DANSI MWANZO MWISHO. HAKIKA HII SI YA KUKOSA! Baada ya kimya kirefu, sasa blogu yako makini ya BONGOMOTO inarejea kivingine kwa kishindo wikiendi ijayo Desemba 15, 2012 kwa kukuletea mambo motomoto yanayojiri kwenye kumbi mbalimbali, video kali za shoo LIVE. Na mengi usiyoyajua kuhusu wanamuziki wa dansi hapa nchini kwenye mahojiano EXCLUSIVE! Kaa tayari na hakikisha hukosi burudani hii hapahapa. -Mhariri. Subscribe to: Post Comments (Atom).
bongomoto.blogspot.com
BONGOMOTO
http://bongomoto.blogspot.com/2013/04/blog-post.html
Thursday, April 18, 2013. Subscribe to: Post Comments (Atom). SIKILIZA 100.5 TIMES FM LIVE. Http:/ www.kekipoa.blogspot.com. Http:/ www.ziro99.blogspot.com. SIKILIZA 88.4 CLOUDS FM LIVE. Awesome Inc. template. Powered by Blogger.
bongomoto.blogspot.com
BONGOMOTO: WANENGUAJI WA AKUDO IMPACT WAKIFANYA KUFURU KWENYE BONANZA...
http://bongomoto.blogspot.com/2012/04/wanenguaji-wa-akudo-impact-wakifanya.html
Monday, April 2, 2012. WANENGUAJI WA AKUDO IMPACT WAKIFANYA KUFURU KWENYE BONANZA. Wanenguaji wa bendi ya Akudo Impact wakishambulia jukwaa kwa mtindo wa Pekecha-Pekecha! Ilikuwa balaa.Kama ulikosa shoo hii kwenye bonanza la usiku wa kuamkia leo, basi usikate tamaa. Nafasi yako nyingine ni pale Mango Garden, Kinondoni siku ya Ijumaa Kuu na pia Siku ya Pasaka kwenye Bonanza la aina yake maalumu kwa wapenzi wa kupekecha pale Msasani Beach Club. (Video ya ziro99blog). Subscribe to: Post Comments (Atom).
bongomoto.blogspot.com
BONGOMOTO: WIMBO MAALUMU IJUMAA KUU NA PASAKA...
http://bongomoto.blogspot.com/2012/04/wimbo-maalumu-ijumaa-kuu-na-pasaka.html
Thursday, April 5, 2012. WIMBO MAALUMU IJUMAA KUU NA PASAKA. Subscribe to: Post Comments (Atom). SIKILIZA 100.5 TIMES FM LIVE. Http:/ www.kekipoa.blogspot.com. Http:/ www.ziro99.blogspot.com. SIKILIZA 88.4 CLOUDS FM LIVE. Awesome Inc. template. Powered by Blogger.
bongomoto.blogspot.com
BONGOMOTO: SHENGEN ACADEMY WAKIONESHA UMAHIRI WAO JUKWAANI MANGO GARDEN JUZI USIKU...
http://bongomoto.blogspot.com/2012/04/shengen-academy-wakionesha-umahiri-wao.html
Monday, April 2, 2012. SHENGEN ACADEMY WAKIONESHA UMAHIRI WAO JUKWAANI MANGO GARDEN JUZI USIKU. Wanamuziki wa bendi ya Shengen Academy wakati wa onesho lao kwenye Ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni juzi usiku. Ni bendi inayotishia amani ya bendi kongwe hakika. (Video ya ziro99blog). Subscribe to: Post Comments (Atom). SIKILIZA 100.5 TIMES FM LIVE. Http:/ www.kekipoa.blogspot.com. Http:/ www.ziro99.blogspot.com. SIKILIZA 88.4 CLOUDS FM LIVE. Awesome Inc. template. Powered by Blogger.