mtafiti.blogspot.com
It matters: October 2005
http://mtafiti.blogspot.com/2005_10_01_archive.html
Saturday, October 22, 2005. I imani tu au ni kweli? Hizi baadhi y aimani za watu ambozo nimekuwa nikiziskia masikioni mwangu.Na aliyenikumbusha haya ni mwana blogu mmoja aliyekuwa amepanga safari mambo yakataka kuharibika dakika za mwisho http:/ jikombe.blogspot.com. Kufagia nyumba usiku .si vizuri. Hii ni ya kimarekani.usimfagie mtu miguu.nikimaanisha ukiwa unafagia usilogwe ukamsogelea mtu na ufagio wako mbele ya miguu yake atakukimbia na kukuogopa.Hicho ni kisirani. Monday, October 10, 2005. Safari in...
mtafiti.blogspot.com
It matters: December 2005
http://mtafiti.blogspot.com/2005_12_01_archive.html
Friday, December 23, 2005. Ningekuwa na mabawa ningeruka upesii.Nyumbani mbali.ni nani asiyepata ugonjwa wa kukumbuka nyumbani hasa inapofika wakati wa sikukuu? Ninatembea barabarani,ninatazama huku na kule nikijaribu kubadili mazingira kwa akili na macho yangu,nafunga macho, nafungua ni pale pale ambapo nimekuwepo,hakuna jipya zaidi ya mapambo na harakati za sikuuu. Wednesday, December 14, 2005. Hivi siwezi kuaminini mwezi sasa umepita tangu niingie humu ndani ya nyumba yangu kusema lolote.Hivi ni m...