kunambijr.blogspot.com
Ochu Kunambi: 07/18/10
http://kunambijr.blogspot.com/2010_07_18_archive.html
KWA HABARI MBALIMBALI ZINAZOHUSU TAMADUNI NA AFRICA KWA UJUMLA TEMBELEA BLOG YETU NA TUNAKARIBISHA MAONI KATIKA KUFANIKISHA UBORESHAJI WA BLOG HII. Sunday, July 18, 2010. Barabara za lindi na mtwara,kipande cha kilometa sitini na mbili mbioni kwisha. Jamani uoneni barabara zetu za lindi na mtwara kero tupu! Links to this post. Am Tanzanian citizen,age 28 and a holder of advance Diploma in Information Technology, graduated at The Institute of Finance Management (IFM). Links to this post. HIVI SASA NI SAA.
kunambijr.blogspot.com
Ochu Kunambi: TRUST YOUR SELF
http://kunambijr.blogspot.com/2013/04/trust-your-self.html
KWA HABARI MBALIMBALI ZINAZOHUSU TAMADUNI NA AFRICA KWA UJUMLA TEMBELEA BLOG YETU NA TUNAKARIBISHA MAONI KATIKA KUFANIKISHA UBORESHAJI WA BLOG HII. Tuesday, April 30, 2013. WELCOME TO KUNAMBI BLOG! Maisha ya sasa katika suala zima la mapenzi yamekua ya kusuasua sana kiasi kupeleka wanandoa au wapenzi kusaliatiana na baadae kuleta ugomvi na masikilizani hasi kwenye mahusiano. Kufuatia hali hiyo mchekeshaji mahiri na msanii wa filamu Hollywood nchini marekani Willy Smith aliongea maneno hayo. Hii Ni Orodha...
kunambijr.blogspot.com
Ochu Kunambi: Maisha ni kusaidiana
http://kunambijr.blogspot.com/2013/04/maisha-ni-kusaidiana.html
KWA HABARI MBALIMBALI ZINAZOHUSU TAMADUNI NA AFRICA KWA UJUMLA TEMBELEA BLOG YETU NA TUNAKARIBISHA MAONI KATIKA KUFANIKISHA UBORESHAJI WA BLOG HII. Tuesday, April 30, 2013. WELCOME TO KUNAMBI BLOG! Suala la Maisha ni kusaidiana na si eti kwa sababu mwanamke ameolewa basi baba unakua mtu wa kutoa amri tu ndani ya nyumba,hiyo hapana kuna mda mwengine mama nae anakua kachoka pia so yatupasa kina baba kuelimika na kusaidia wake zetu. Subscribe to: Post Comments (Atom). UBUNIFU WA KUPIGA PICHA ZA WATOTO.
kunambijr.blogspot.com
Ochu Kunambi: Link
http://kunambijr.blogspot.com/2011/10/link.html
KWA HABARI MBALIMBALI ZINAZOHUSU TAMADUNI NA AFRICA KWA UJUMLA TEMBELEA BLOG YETU NA TUNAKARIBISHA MAONI KATIKA KUFANIKISHA UBORESHAJI WA BLOG HII. Wednesday, October 12, 2011. Subscribe to: Post Comments (Atom). Nakaribisha matangazo na maoni kwenye hii Blog. Viumbe Hatari Kabisa Duniani, Anayeshika Namba Moja Ni Mbu! UBUNIFU WA KUPIGA PICHA ZA WATOTO. MULTIPLE USE OF CONDOMS. I find this local weapon in Lindi, it is commonly used by kids to hunt birds and the likes. It is made from used condoms! Mara n...
kunambijr.blogspot.com
Ochu Kunambi: 07/19/10
http://kunambijr.blogspot.com/2010_07_19_archive.html
KWA HABARI MBALIMBALI ZINAZOHUSU TAMADUNI NA AFRICA KWA UJUMLA TEMBELEA BLOG YETU NA TUNAKARIBISHA MAONI KATIKA KUFANIKISHA UBORESHAJI WA BLOG HII. Monday, July 19, 2010. Shuhudia mtoto huyu akicheza mambo ya wakawaka bofya kwenye play hapo kujionea mwenyewe. Mr Kunambi Junior anaribisha maoni. Links to this post. Subscribe to: Posts (Atom). Nakaribisha matangazo na maoni kwenye hii Blog. Viumbe Hatari Kabisa Duniani, Anayeshika Namba Moja Ni Mbu! UBUNIFU WA KUPIGA PICHA ZA WATOTO. MULTIPLE USE OF CONDOMS.
kunambijr.blogspot.com
Ochu Kunambi: Viumbe Hatari Kabisa Duniani, Anayeshika Namba Moja Ni Mbu!
http://kunambijr.blogspot.com/2011/10/viumbe-hatari-kabisa-duniani-anayeshika_18.html
KWA HABARI MBALIMBALI ZINAZOHUSU TAMADUNI NA AFRICA KWA UJUMLA TEMBELEA BLOG YETU NA TUNAKARIBISHA MAONI KATIKA KUFANIKISHA UBORESHAJI WA BLOG HII. Tuesday, October 18, 2011. Viumbe Hatari Kabisa Duniani, Anayeshika Namba Moja Ni Mbu! KESI DHIDI YAKE: Mbu anawajibika kusababisha kati ya vifo milioni 2 hadi 3 kwa mwaka. VIJIWE (Hangout) VYAO: Takriban dunia nzima lakini zaidi barani Afrika, Asia na Amerika ya Kaskazini. Nyoka Wenye Sumu Kali. KESI DHIDI YAO: Nyoka wenye sumu kali husababisha kati ya vifo ...
kunambijr.blogspot.com
Ochu Kunambi: UKEKETAJI BARANI AFRICA
http://kunambijr.blogspot.com/2011/04/ukeketaji-barani-africa.html
KWA HABARI MBALIMBALI ZINAZOHUSU TAMADUNI NA AFRICA KWA UJUMLA TEMBELEA BLOG YETU NA TUNAKARIBISHA MAONI KATIKA KUFANIKISHA UBORESHAJI WA BLOG HII. Wednesday, April 6, 2011. Mara nyingi tendo la ukeketaji unaitwa pia "tohara" kwa kulifananisha na upasuaji mdogo wa wanaume, lakini mambo ni tofauti kabisa. Hapa sehemu za nje za viungo vya uzazi zinakatwa kusudi wasifurahie sana tendo la ndoa, hivyo wawe waaminifu zaidi kwa waume wao. Kwa sababu hizo serikali nyingi za dunia zimeupiga marufuku. UUAMBUKIZO h...
kunambijr.blogspot.com
Ochu Kunambi: kwa wale wote wanahitaji nafasi za kazi hebu fuata hiyo link hapo
http://kunambijr.blogspot.com/2010/08/kwa-wale-wote-wanahitaji-nafasi-za-kazi.html
KWA HABARI MBALIMBALI ZINAZOHUSU TAMADUNI NA AFRICA KWA UJUMLA TEMBELEA BLOG YETU NA TUNAKARIBISHA MAONI KATIKA KUFANIKISHA UBORESHAJI WA BLOG HII. Wednesday, August 11, 2010. Kwa wale wote wanahitaji nafasi za kazi hebu fuata hiyo link hapo. Kwa wale wenzangu naotafuta kazi hebu chungulieni kwenye http:/ www.tzonlinejobsearchdatabase/. Kwani kuna wahitimu wengi sana wapo mitaani miaka, na bado hawajapata kazi, fuatilieni mchakato wa utangazaji wa nafasi za kazi katika link hiyo hapo juu. HIVI SASA NI SAA.
kunambijr.blogspot.com
Ochu Kunambi: CHATU
http://kunambijr.blogspot.com/2011/10/chatu.html
KWA HABARI MBALIMBALI ZINAZOHUSU TAMADUNI NA AFRICA KWA UJUMLA TEMBELEA BLOG YETU NA TUNAKARIBISHA MAONI KATIKA KUFANIKISHA UBORESHAJI WA BLOG HII. Thursday, October 13, 2011. Hapa ameona fensi ndo nuksi akaamua king'ata kumbe ndo anapigwa shoti zaidi. Mnyama mwenewe aliyemeza anasazi kama hii hapa.alafu mtamu kuliko mbuzi,anaitwa mbawala kwa waliowahi tembelea mbuga za wanyama watakua wanamfahamu vizuri. Akameza yai linye ukubwa kama picha inavyoonyesha hapo chini. Subscribe to: Post Comments (Atom).