k-junior.blogspot.com
K-junior "Always There to Inform You": March 2013
http://k-junior.blogspot.com/2013_03_01_archive.html
I made this widget. Thursday, March 7, 2013. Askofu Bandia afanikiwa Kupenyeza na Kuingia Kwenye Mkutano wa Makadinali. Mtu aliyejifanya Kardinali wa Kanisa Katoliki, Ralph Napierski (kushoto) akisalimiana na Kardinali Sergio Sebiastiana. Napierski alikamatwa akijaribu kuingia kwenye mkutano wa makardinali unaoendelea Vatican. Askofu bandia amefanikiwa kujipenyeza na kuingia kwenye mkutano wa makadinali unaoendelea mjini Vatican, kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi wa Papa mpya. Walinzi wa kundi la Swiss...
k-junior.blogspot.com
K-junior "Always There to Inform You": December 2012
http://k-junior.blogspot.com/2012_12_01_archive.html
I made this widget. Wednesday, December 19, 2012. UINJILISTI KIJITO WAJA NA LIVE SHOOTING. Ule wakati uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu ndo huu hapa umewadia. Si wengine bali watoto wa Kijito, Namaanisha Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama. Watakuwa na Live Shooting ( Video Recording) Ijumaa ya wiki hii . Watasindikizwa na Kwaya mbalimbali. Utajuta ukikosa kushuhudia yatakayojiri siku hii. Mtaarifu na mwengine pia. K wa maelezo zaidi fuati lia picha hii hapa chini. Subscribe to: Posts (Atom). Hivi Sasa ni Saa.
k-junior.blogspot.com
K-junior "Always There to Inform You": October 2012
http://k-junior.blogspot.com/2012_10_01_archive.html
I made this widget. Monday, October 29, 2012. CVC CHANG'OMBE WAZINDUA ALBUM YAO YA NNE. Katika uzinduzi huo ambao umehudhuriwa na watu mbalimbali akiwemo askofu wa kanisa hilo la AICT dayosisi ya Shinyanga,na wachungaji, pamoja na kwaya mbalimbali zikiwemo AIC Dar es salaam Choir kutoka Magomeni, Ukombozi Choir kutoka K.K.K.T Msasani, Majestic Singers kutoka E.A.G.T City centre, Neema Gospel Choir kutoka AIC Chang'ombe pamoja na Matendo Choir ya AIC Chang'ombe. Mpiga picha za video wa CVC akiwa kazini.
k-junior.blogspot.com
K-junior "Always There to Inform You": July 2014
http://k-junior.blogspot.com/2014_07_01_archive.html
I made this widget. Wednesday, July 2, 2014. KATIKA IBADA K.K.K.T KIJITONYAMA. Praise Team wakishirikiana na Mtumishi wa Mungu Mwangosi (anayepiga keyboard) pamoja na wanamuziki wakiongoza washarika katika kuabudu. Akina dada wa Praise Team wakiabudu. Akina kaka wa Praise Team wakiabudu. Kipindi cha sifa mambo ya Zambe wa Moyo! Kanisa lilifurika sana watu walijaa, Kama wanavyoonekana wakijiachilia mbele za uwepo wa Mungu. Mtumishi wa Mungu John Sembatwa akiwa katika mahubiri. Subscribe to: Posts (Atom).
k-junior.blogspot.com
K-junior "Always There to Inform You": July 2013
http://k-junior.blogspot.com/2013_07_01_archive.html
I made this widget. Tuesday, July 9, 2013. Katika Ibada K.K.K.T Kijitonyama Wiki Hii. Mwinjilisti Leonard Kipingu akishirikiana na Parish Worker wakiongoza ibada. Kwaya ya UKWATA Dar Pwani - Kikundi cha mkoa wakimwimbia Mungu katika ibada. Vijana hawa ambao wamefanikiwa kutoa albamu yao "KAMA INAVYOONEKANA KWENYE PICHA HAPO CHINI" walikuwa wakiiuza cku hiyo baada ya ibada. Jipatie nakala yako umtukuze Mungu pamoja nao. Wasiliana nao kwa namba za simu zilizo hapo chini kwenye picha. Katika mahubiri huyu n...
k-junior.blogspot.com
K-junior "Always There to Inform You": Gallery
http://k-junior.blogspot.com/p/gallary.html
I made this widget. Harusi ya Donald na Upendo. Subscribe to: Posts (Atom). Hivi Sasa ni Saa. Mahubiri ya Jumapili hii. SIKILIZA LIVE WAPO RADIO. Live broadcasting by Ustream. Capturing of Videos and Digital Photos. We do Photo Editings, Decoration and Framing at affordable prices. We do Capturing of Videos and Digital Still Pictures in different occasions like Wedding, Birthday and much more. Hesitate not to communicate with us through. Mobile: 255 715 887 717. Office: 255 715 645 621.
k-junior.blogspot.com
K-junior "Always There to Inform You": December 2013
http://k-junior.blogspot.com/2013_12_01_archive.html
I made this widget. Monday, December 30, 2013. CVC WAFANYA SILVER JUBILEE. Watumishi wa Mungu walikuwepo na kuhudumu katika ibada hiyo. Kwaya ya watoto ya AICT Chang'ombe. Kwaya ya wenyeji AICT Chang'ombe Choir. Rose Jefa mwimbaji toka Kenya. Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama. Kwaya ya AIC Shinyanga. Wana LULU toka Mtoni. MC Tito ndiye aliyeongoza jahazi. Keki ya miaka 25. Hawa ni vijana wa kanisani hapo wenye umri wa miaka 25 waliobahatika kula keki hiyo. Mwenyekiti wa AICT Chang'ombe Choir akikata keki.
k-junior.blogspot.com
K-junior "Always There to Inform You": August 2013
http://k-junior.blogspot.com/2013_08_01_archive.html
I made this widget. Thursday, August 29, 2013. ASKOFU MOSES KULOLA HATUNAYE TENA. Taarifa ambazo zimetufikia hivi punde zinasema kuwa Askofu Mkuu wa Evangelistic Assemblies God Tanzania, Moses Kulola amefariki dunia takriban dakika 25 zilizopita. Kwa mujibu wa taarifa tulizozipata kutoka kwa watu wa ndani mwa familia hiyo, zinaeleza kuwa Askofu Kulola amefariki katika hospitali ya AMI (African Medical Investments) iliyopo Slipway jijini Dar es Salaam. Akizungumza mbele ya waandishi wa habari jana, Mtabir...
k-junior.blogspot.com
K-junior "Always There to Inform You": CVC WAFANYA SILVER JUBILEE
http://k-junior.blogspot.com/2013/12/cvc-wafanya-silver-jubilee.html
I made this widget. Monday, December 30, 2013. CVC WAFANYA SILVER JUBILEE. Watumishi wa Mungu walikuwepo na kuhudumu katika ibada hiyo. Kwaya ya watoto ya AICT Chang'ombe. Kwaya ya wenyeji AICT Chang'ombe Choir. Rose Jefa mwimbaji toka Kenya. Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama. Kwaya ya AIC Shinyanga. Wana LULU toka Mtoni. MC Tito ndiye aliyeongoza jahazi. Keki ya miaka 25. Hawa ni vijana wa kanisani hapo wenye umri wa miaka 25 waliobahatika kula keki hiyo. Mwenyekiti wa AICT Chang'ombe Choir akikata keki.