viwanja.blogspot.com
XTRA COVER.: SIKUSTAHILI KUFANYA VILE.
http://viwanja.blogspot.com/2011/09/sikustahili-kufanya-vile.html
KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA. Friday, September 30, 2011. Siku mbili kabla ya mchezo wa ligi kuu ya soka nchini Uingereza ambao utawakutanisha mahasimu wa kaskazini mwa jiji hilo, Tottenham Hotspurs dhidi ya Arsenal, mshambuliaji aliesajiliwa kwa mkopo huko White Hart Lane akitokea Man City Emmanuel Sheyi Adebayor, ametamba kuifunga The Gunners katika mchezo huo. Amesema anat...
viwanja.blogspot.com
XTRA COVER.: Francesco Totti KUREJEA UWANJANI KATI KATI YA OKTOBA.
http://viwanja.blogspot.com/2011/10/francesco-totti-kurejea-uwanjani-kati.html
KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA. Monday, October 3, 2011. Francesco Totti KUREJEA UWANJANI KATI KATI YA OKTOBA. Nahodha na mshambuliaji wa Associazione Sportiva Roma Francesco Totti anapewa nafasi kubwa ya kucheza mchezo ujao wa ligi kuu ya soka nchini humo ambao utawakutanisha na mahasimu wao wakubwa wa mjini Roma Società Sportiva Lazio mnamo October 16. I came across the serac...
viwanja.blogspot.com
XTRA COVER.: UONGOZI WA MAN CITY KUKUTANA NA TEVEZ.
http://viwanja.blogspot.com/2011/10/uongozi-wa-man-city-kukutana-na-tevez.html
KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA. Monday, October 3, 2011. UONGOZI WA MAN CITY KUKUTANA NA TEVEZ. Tevez anakutana na uongozi wa klabu hiyo ya Etihad Stadium, huku akiwa anatumikia adhabu ya kufungiwa majuma mawili kufuatia tukio hilo ambalo lilipokelewa vibaya na wadau wa soka nchini Uingereza pamoja na huko nchini Ujerumani. Katika moja ya taarifa za mshambuliaji huyo mwenye umr...
viwanja.blogspot.com
XTRA COVER.: BAKARI NJE MIEZI MITATU !!!
http://viwanja.blogspot.com/2011/10/bakari-nje-miezi-mitatu.html
KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA. Monday, October 3, 2011. BAKARI NJE MIEZI MITATU! Beki wa pembeni wa klabu ya Arsenal Bacary Sagna, itamchukua muda wa miezi miwili hadi mitatu kurejea tena uwanjani baada ya kuumia akiwa katika mchezo wa jana wa ligi kuu ya soka nchini Uingereza dhidi ya Tottenham Hotspurs walioibuka na ushindi wa mabao mawili kwa moja. Wakati huo huo viongozi w...
viwanja.blogspot.com
XTRA COVER.: Hamburg SV WAPO MSTUNI WAKISAKA MENEJA MPYA.
http://viwanja.blogspot.com/2011/10/hamburg-sv-wapo-mstuni-wakisaka-meneja.html
KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA. Monday, October 3, 2011. Hamburg SV WAPO MSTUNI WAKISAKA MENEJA MPYA. Mkurugenzi wa michezo wa klabu ya Hamburg SV Frank Arnesen amesema klabu hiyo itakua chini ya meneja mpya mara baada ya kumalizika kwa wiki ya michezo ya kimataifa iliyoanza hii leo. August 6, 2015 at 3:05 PM. I came across the serach engine and find your website, you have grea...
viwanja.blogspot.com
XTRA COVER.: PSG WAJIPANGA KUMSAJILI TEVEZ.
http://viwanja.blogspot.com/2011/10/psg-wajipanga-kumsajili-tevez.html
KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA. Tuesday, October 4, 2011. PSG WAJIPANGA KUMSAJILI TEVEZ. Ikiwa imepita siku moja baada ya kufanya mazungumzo na uongozi wa klabu ya Man City, mshambuliaji kutoka nchini Argentina Carlos Tevez, anahUsishwa na taarifa za kuwa mbini kuondoka klabuni hapo na kusajiliwa na vibopa wa ligi ya nchini Ufaransa Paris Saint-Germain. Mbali na klabu ya PSG, p...
viwanja.blogspot.com
XTRA COVER.: King Kenny Dalglish AWAHUSIA MABEKI WAKE.
http://viwanja.blogspot.com/2011/09/king-kenny-dalglish-awahusia-mabeki.html
KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA. Friday, September 30, 2011. King Kenny Dalglish AWAHUSIA MABEKI WAKE. Meneja wa majogoo wa jiji Liverpool King Kenny Dalglish ameitaka safu ya ulinzi ya kikosi chake kufanya juhudui ambazo zitawawezesha kufanya kazi kwa pamoja kwa lengo la kutoruhusu kufungwa katika mchezo wa ligi dhidi ya Everton utakaochezwa kesho huko Goodson Park. HIVI SASA N...
shebbykondo.blogspot.com
PUNTERVERDE.: ALAMA TATA !!!!!!!!!!!!!
http://shebbykondo.blogspot.com/2009/12/alama-tata.html
Karibu sana katika blog yangu, Waweza kutoa maoni yako kadha wa kadhalika. Wednesday, 2 December 2009. Tafadhali ninahitaji msaada wako kwa hali na mali, hapa Kamanda Kova alikua akitoa Amri ama alikuwa akimaanisha mambo safi? Posted by SHABANI O. KONDO. Mmmmh kwa upande wangu ni kama alikuwa anaamru watu kwenda kufanya jambo fulani au kwenda kufanya kazi wanazotakiwa kufanya kila siku. 4 December 2009 at 20:48. Subscribe to: Post Comments (Atom). HIVI SASA NI SAA. SHABANI O.S KONDO.
shebbykondo.blogspot.com
PUNTERVERDE.: Spider man in Dubai.
http://shebbykondo.blogspot.com/2009/12/spider-man-in-dubai.html
Karibu sana katika blog yangu, Waweza kutoa maoni yako kadha wa kadhalika. Sunday, 13 December 2009. Spider man in Dubai. Huyu jamaa anapanda majumba marufu bila support yeyote ile (hatumii kamba! Posted by SHABANI O. KONDO. Subscribe to: Post Comments (Atom). HIVI SASA NI SAA. SHABANI O.S KONDO.
shebbykondo.blogspot.com
PUNTERVERDE.: MASHIMO SABA YA AJABU.
http://shebbykondo.blogspot.com/2009/12/mashimo-saba-ya-ajabu.html
Karibu sana katika blog yangu, Waweza kutoa maoni yako kadha wa kadhalika. Sunday, 13 December 2009. MASHIMO SABA YA AJABU. Yote haya ni maajabu yake Mwenyezi mungu kwa kutuonyesha sisi wanaadamu kwamba ulimwengu ni mpana na ni mkubwa hivyo hakuna ambae anaweza kuubadili ila yeye pekee! Posted by SHABANI O. KONDO. Subscribe to: Post Comments (Atom). HIVI SASA NI SAA. SHABANI O.S KONDO.